Aibu JK azindua kidaraja Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu JK azindua kidaraja Morogoro

Discussion in 'Jamii Photos' started by Yo Yo, Jan 18, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wakuu hii ni aibu ati mkuu wa nchi anakwenda kufungua kidaraja kama hicho???
  [​IMG]

  JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
  Picha zote: Ikulu
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hao watu wa kutuliza ghasia wanahitajika kweli?
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndio mambo..
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wakosoaji wa mambo wanapoishiwa vya kukosoa bana, wewe unaona ni machuma na cement lakini wakazi wa maeneo ya mtombozi wanajua adha iliyo kuwepo, wajawazito wangapi walijifungua ngambo ya mto na wanafunzi wangapi walijeruhiwa na mamba hapo hicho ndicho kinachompa sababu rais wa nchi kwenda kushiriki na wana matombo kusherekea ukombozi huu.
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  "mtombozi", "matombo".....majina yaliisha huko?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Hilo tu ni jibu tosha kabisa.
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu hicho "kidaraja" kimekuwa msaada mkubwa sana huko, si umeona hata majina yenyewe ya vijiji vilivyounganishwa "nacho"?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Maghufuri angeweza fanya Hii kazi si lazima Mk,were kuuza sura
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Kwani hakuna Meya hapo? JK anatakiwa azinduwe daraja la kigamboni kama kweli litajengwa.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Daraja hilo linareflect namna utawala wa JK ulivyo.
   
 11. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hasara ya kuishi mjini.nenda uko kijijini kulikozinduliwa iko kidaraja alafu wambie haya uliyoandika kama watakuelewa.Mkuu adha walioipata mpaka wamejengewa iko unachokiita kidaraja wanamshukuru mwenyezi mungu.Nenda kwengine kaone
  JAMANI TUSIPINGE KILA KITU
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sioni kosa hapo...!!!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  A bad look indeed
   
 14. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio hata asprin za shilingi mia zinaokoa maisha ya watu...lakini it doesn't worth kupiga la mgambo ,mshururu mkubwa mkoa mzima unasimama kufanya kazi kwa ajili ya kitu hicho...ili asee ametimiza ahadi...akitaka hivyo watataka kigoma iwe dubai kama ilivyo ahidiwa ,Watu wana hoji kwa kuwa ni kodi za wananchi zinatumika rais anapotembea .Lakini kwa dhati kabisa hongera Rais kwa kutimiza ahadi japo si kubwa ila moyo wakutimiza ahadi uendeleze na kwenye makubwa pia.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mtombozi na Matombo.
   
 16. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na gharama ingepungua kama taifa tunge save hasa kipindi hichina uchumi huu,mheshimiwa rais angekaa Ikulu kutatua mambo ya msingi zaidi .
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sasa kama hana kazi afanyeje? Mzee wa kusubiri misiba apate pa kwenda kumalizia siku.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Wewe acha kuwa na mawazo mgando, kilichofanyika sio hisani bali ni wajibu wa serikali kwa mujibu wa mkataba wetu kabla hatujawachaguwa. na ukumbuke huo sio msaada bali ni kodi zetu wenyewe.
  Watu wenye mawazo kama yako ni mzigo kuwa nao kwa Dunia ya leo.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe ghasia, akianguka hapo anahitaji wa kumbeba na kumkimbiza garini.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I double dog dare you to shoot me.
   
Loading...