hahhaah shikamoo[emoji119] [emoji119]mbona hana kimo?
wazuri wapo wa kila namna wapo wafupi visu na warefu visu nadhani asilimia 70 ya wanaume wabongo wafupi ,na 90 per ya wanaume wote huwa hawajiamini kudate warefu kuwazidi ,so usiunderestimate soko la kupendwa la wanawake wafupi mkuumbona hana kimo?
Unaambiwa huyu huwa anatoa juice sio damu.Anapata Bleed? Kama anapata uzuri wake uko wapi!!!
Ukiona Mwanamke anaweza kubinuka hivyo na kuweka picha kwa umaa ujue huyo ni demu wa Umma.Unaambiwa huyu huwa anatoa juice sio damu.