Mwanaume wa Dar apigwa na mwanamke wa Mkoani Mara

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
357b8c9c5592deeb2b5747ba66187592.jpg
 
Ha ha ha ha

Wanawake wa mkoa wa Mara wana miili imejengeka kama ya wanaume aisee, hata wakati wa kutembea wanatembea vifua mbele kama wanaume kabisa.

Miguu yao wengi imekomaa balaa,wana vile vigimbi kama vya wacheza mpira, wenyewe wanaita "mbugusi"
Mkuu asigwa tafadhali sana, mara Kuna warembo sana sema hujatembea tyu
 
Mimi kila siku huwa nawaambia mara yangu ya kwanza kufika Dar nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke yaani wote wanafanana kutembea mikorogo midomo yaani ni shida nikamuuliza mwenzangu akasema labda wakivua ndiyo tofauti itaonekana
Mwanaume wa dar anakunywa soda eti nae anashindwa kumaliza anabakiza kwenye chupa au sahani moja ya chips+mayai anashindwa maliza wakati sie hata sahani 8 zinaisha kwa nini asipigwe na mwanamke wa mara?
By the way wanaume wa dar sio ndio wale wanao tuharibia lugha yetu eti nao badala ya kusema vipi wanasema vepeee, badala ya nini wanasema nenee acha wapigwe.
 
Ohooo!!
 
Ushasikia mwanaume wa dar amejinyonga? Mara mnatia aibu
 
Back
Top Bottom