Mfahamu Ndege wa Taifa aendaye kwa jina la Kori Bustard ambaye huchinjwa kwa kuombewa kibali maalumu kutoka kwa Mhe. Rais

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Ndege huyu anapatikana katika Pori la akiba la Liparamba Nyasa Mkoani Ruvuma.

Anao Uzito wa Kilo 16 na Miguu yake inao urefu wa sentimeta 130

FB_IMG_16055918048760904.jpg
 
Anafanana na Denham Bustard wa Hifadhi ya Taifa Kitulo. Ila wale wa Kitulo ni Migratory Bird kwa maana ya kwamba wakati kukiwa na hali ya hewa mbaya Kitulo wanasafiri kwenda Australia na kukiwa na hali mbaya Australia wanarudi Kitulo. Kwa upande wa Australia wamefaidika sana na ndege huyu kwenye masuala ya utabiri wa hali ya hewa.
 
Wanapassport mkuu? Wanasafiri Kwa muda gani
 
Back
Top Bottom