Waungwana, hii ni Ofisi ya Chama Tawala (CCM) Tawi la Chamakweza, Chalinze! Kila nikitazama hali ya chama hiki naona kinaelekea kaburini tu! Tehe tehe tehe!
Katika pita pita zangu nimekutana na picha ya mama na mwanawe, na mama kambeba mtoto mgongoni kwa kumsimamisha juu ya mwili wake. Jamani nani kama mama???
Star wa Bongo Movies Mtoto mzuri Shilole anaefanya vizuri pia kwenye anga ya muziki wa mduara,yupo katika hatua za mwisho za kumalizia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la...
Kwa wale wengi ambao hawakubahatika kuona hii picha inavyothibiticha uchumi wa nchi unavyokuwa kwa kasi, naiwakilisha hapa. Isome kwa makini na utafakari.
Nilikuwa jukwaa la siasa nafuatilia kisa cha waziri Kagasheki na meya Amani,nikakumbuka kisa cha Kinana kuwa katibu mkuu,Nikajikuta namkumbuka marehemu Ongala...Tafadhali burudika nami....