Pictures Of Cape Town , South Africa: ebu ona wenzetu walipo

SIERA

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,657
Points
2,000

SIERA

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,657 2,000
Hayo ni mambo ya wazungu wafrika hawana akili ya kufanya mambo yote hayo....wazungu wasingekaa mdawote kuwatawala wasingekua tofauti na waafrika wengine
 
kirumonjeta

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
3,878
Points
2,000

kirumonjeta

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2008
3,878 2,000
Tatizo tulipewa uhuru mapema sana,kwanza tungechezea kichapo kwanza ndo akili zingefanya kazi,wenzetu walishughulikiwa sasa ni kama ulaya,sisi madini yooooooote tunawaachia Wamarekani wajizolee na kutuachia mashimo badala ya magorofa -KALAGABAHO!!!!!!!!!!!
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225

wenzetu wapi hao unaowaongelea? tangu lini wazungu wakawa wenzetu?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225
Cape town is the best vacation destination ever. ina vivutio vingi sana, one week might not be enough.
Kama kawaida typical Mwafrika kupenda uraisi na vitu alivyotolea jasho mwingine, wenzenu wafanye kazi watoe jasho wajenge nyie kazi kwenda kustarehe na kuwaza holliday, kujenga kwenu mhh, ndio maana hamtakiwi kila mahali, kwanza ukifika huko wakikuona tu kaunta ya hoteli watakwambia vyumba vimejaa!
 
Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
395
Points
225

Mrembo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2008
395 225
Kama kawaida typical Mwafrika kupenda uraisi na vitu alivyotolea jasho mwingine, wenzenu wafanye kazi watoe jasho wajenge nyie kazi kwenda kustarehe na kuwaza holliday, kujenga kwenu mhh, ndio maana hamtakiwi kila mahali, kwanza ukifika huko wakikuona tu kaunta ya hoteli watakwambia vyumba vimejaa!
wewe kama huna hela ya vacation sema, sio kunitolea hasira zako bila sababu.
kwa hiyo kwa maoni yako watu tusitembee kwa sababu kwetu hamna ivyo vitu. For your information uzuri wa Capetown unajumisha pia nature ambayo ipo tofauti na hapa kwetu.

Pole sana Mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,390,630
Members 528,220
Posts 34,057,018
Top