kwa nini wadada wengi upenda jamaaa kama awa? nyie mnasemaje...

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
552240_200711746731384_308113477_n.jpg

wadada wengi upenda wanaume warefu,je kwa wale wanaume wafup ndio imekula kwao?
 
Mwanaume mrefu nanii yake kawaida inakuwa ndefu, nawafupi vilevile inakuwafupi.
 
Anakua na uhakika wakutobugudhiwa na akina mbuzi mzee! Si unacheki hilo baunsa!
 
Mwanaume mrefu nanii yake kawaida inakuwa ndefu, nawafupi vilevile inakuwafupi.

Wafupi wakikusikia utajuta kuzaliwa! Unajua ina maana gani unapowambia wana dushelele fupi, when it comes to sex, dushelele fupi haiwezi kujaza vagina canal (this is biology plse) hivyo they do not satisfy their partners! watakuua!
 
'
"wadada wengi" do you have data? Wengi kati ya wangapi?justfy your statment
 
Afadhali sasa na sisi wenye mishobobo mirefu tutapata mademu kwa raha zetu, zamani tulikuwa tunakimbiwa na videnish....
 
Namba kutofautiana, uumbaji wa Mungu ni waajabu sana, mtu fupi sio kweli ana dushelele fupi, nimewahi uona mtu mfupi ana ile inaitwa kisayansi "high linear expansivity" kuliko mrefu, wandugu haya ni maumbile tu kama vile mtu mrefu anaweza kuwa na miguu mifupi na mtu mfupi akawa na miguu mirefu.
nawsilisha!!
 
Back
Top Bottom