HIVI, unafikiri maisha ya Kijijini ni bora zaidi kuliko ya Mjini?

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
Nakumbuka hizi nyumba za udongo, fisi walikuwa wanajipanga wanakojolea ukuta ukiloa wanaingia nao ndani.
Hawa wanyama walikuwa washenzi sana.
Hiyo kali, sasa wakiingia huko ndani si inakuwa mtafutano wa kufa mtu!??
 

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,831
Points
1,225

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,831 1,225
Kwa mtu asiyependa jembe kama mimi, mjini kutafuta na kuchakarika maana opportunities ni nyingi tu...napenda kijijini kumpumzika.
 

Forum statistics

Threads 1,390,140
Members 528,096
Posts 34,043,595
Top