Nani awezae kulipasuwa fenesi kuonja?

zenmoster

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
952
195
aisee hao wapo kwenye mashindano ya u miss ama wanatafuta wataja? aisee maana watoto wanachafuwa hewa kwa mbali......hahahaha ni hatari tupu..
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
6,544
2,000
Eh mafenesi matamu, na yule pembeni ya alovaa purple ana madafu kifuani au hamjayaona???
 

zodiac

Senior Member
Oct 13, 2012
109
0
Hapo ni Q- bar malaya wa kufa mtu hapo sema target yao ni watasha na malimbukeni wa kibongo.
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
mie, Nina 50000. Na ya chumba 20000 hadi asubuhi , inakuaje?
Hiyo hata hainunui lunch yao hao, nenda bugiruni tu baba.

Kumbe mi bado ni mshamba sana,hiyo hesabu nilikuwa naona ni sawa na kununua kiwanja Rufiji,kumbe hata mlo mmoja watu haiwatoshi dah...Inaonekana hao wadada ni mabosi wakubwa sana kwenye maofisi yao...
 
Top Bottom