Taifa namba moja ulimwenguni, lenye nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi. Ambapo ni mfano kwa maitaifa mengine unafikiri ni kwa namna gani kiongozi wa taifa hilo anasafiri. Safari moja ya rais wa...
Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe...
Jicho la tatu!
Kwa nini maandiko kwenye biblia yalieza kuumbwa kwa mtu kabla ya siku saba ambazo alimaliza kuumba.mwanzo 1:26-31
Mwanzo 1:26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa...
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile...
Kama nilivyo ahidi Huu ni mwendelezo wa mada ya kuwajua viumbe hawa, kabla hujasoma hii ni vyema ukasoma mada yangu inahusu Wananiuliza Devil ni nani. Baada ya kumjua devil ni zamu ya lucifer...
1. JUA KUISHIWA NA ENERGY YAKE INAYOTOA MWANGA.
Kumbuka jua inatumia nguvu ya kinyuklia (Fusion and Fission energy) kati ya Hydrogen na Helium zilizo katika Core yake katika kutengeneza joto na...
Tukirejea katika utawala wa Roman Empire nguvu yao kubwa ilikua imebase sana kwenye misingi ya sheria na nguvu ya kiuchumi (kama ilivyo marekani leo hii)
Waliitajika watu wakweli na wawazi katika...
Ni kwa nini Israel ina jeshi la kisasa zaidi kwa teknolojia duniani
Israel ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa mauzo ya silaha duniani, ikiwa inauza silaha zenye thamani ya dola za kimarekani...
Kwa miaka miaka mingi imekuwepo 'nadharia dhahania' pasipo ushahidi wala vielelezo kuhusu namna ambavyo shirika la Ujasusi la nchini marekani CIA wanavyo uendesha ulimwengu vile watakavyo kwa...
Baada ya vumbuzi 7 zilizokuja kubadili kabisa dunia ya leo na ile ya kabla ya 1760 huku mwaka 1820 mapinduzi ya viwanda yakiipeleka dunia kwa kasi na kupelekea maendeleo makubwa ya...
US military's top 10 weird gizmos and gadgets
As a laser weapon capable of shooting down enemy drones is developed by the US military, we look at other weird gizmos and gadgets soon to be rolled...
The World’s Biggest Arms Importing Countries In 2018
The world’s ten biggest arms importing countries received arms worth more than $15bn from overseas in 2018.
Army-technology.com ranks the top...
Kama kusingekuwa na kifo au binadamu wakiacha kufa leo hii kitu gani kikubwa cha kwanza ungekifanya ambacho sasa hivi hukifanyi kwa sababu ya hofu ya kifo?
Pia kitu gani usingeendelea kufanya...
1) Vita ya Nyuklia (Nuclear Armagedon)
Bomu moja la Nyuklia lina uwezo wa kusababisha kifo kwa asilimia 80 hadi 95 kutoka eneo lililoripuliwa kuelekea umbali wa kipenyo cha Km 4 ingawa uharibifu...
Umofia kwenu wakuu,
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa...
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea...
Miaka kadhaa tangu kutolewa kwa filamu ya Apocalypto(mwaka 2006),bado nimeguswa kuandika makala yangu ya kwanza kwenye blogu hii kuhusu filamu hiyo.Ninaipenda sana filamu hii.
Mel Gibson na...
Sio katika misingi yote dunia imekuwa ikiongozwa katika usahihi!,zipo taarifa ambazo zimekuwa zikileta utata na imekuwa hivyo kwa makusudi ya watu fulanifulani.
Zipo nadharia, taarifa na imani...
PALINDROME ni neno au tarakimu zinazosomeka sawa kutoka upande wowote ule, wa kushoto au wa kulia.Mfano wa maneno ambayo ni palindrome ni kama:
Are we not pure? "No sir!" Panama's moody Noriega...
Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.
He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling...