Erick Martie
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 301
- 338
1. JUA KUISHIWA NA ENERGY YAKE INAYOTOA MWANGA.
Kumbuka jua inatumia nguvu ya kinyuklia (Fusion and Fission energy) kati ya Hydrogen na Helium zilizo katika Core yake katika kutengeneza joto na hivyo kutoa Nuru inayomulika katika sayar zake inayozimulika.
Hivyo inakadiriwa kuelekea miaka trillion kadhaa jua litaishiwa na energy hiyo hivyo kupelekea jua kutanuka na kumeza sayari kabla ya kuripuka (Super Nova).
2. UKANDA WA VIMONDO (ASTEROID BELT)
Ifahamike kuwa tupo karibu na ukanda wa Vimondo ambapo unapita katikati ya Mars na Jupita. Na ukanda huu unapita pembezon mwa Dunia mpaka kwenye Jua,
Inakadiriwa miaka millions ijayo ukanda wa vimondo kupita katika njia ya dunia, hivyo kupelekea Dunia yetu kuanza kupokea vimondo kwa wingi na kutishia usalama wa viumbe vilivyomo na hata kuiangamiza dunia kabisa.
3. KUISHA KWA ENERGY YA INTERNAL CORE YA DUNIA.
Inafahamika kuwa dunia ina'layer 3 za chini ya ardhi; Crust, Mantle and Core.
Na core ni uji wa moto wa minerals (Magma) ambao unaosababishia dunia kutengeneza joto lake lenyewe na pia ndo inasababisha kuwepo na nguvu ya usumaku wa dunia,
ambayo inatengeneza Shield ila kuzuia particles hatari kutoka Kwenye Jua visiingie dunian.
So inakadiriwa Kadri miaka inavyokwenda, internal Core ya dunia inapungukiwa na joto lake na miaka mingi mbelen kuisha kabisa na hivyo kupelekea maangamizi ya viumbe vilivyopo duniani.
4. MWEZI KUTOKA NJE YA AKANDA (ORBIT) WAKE NA DUNIA.
Inakadiriwa kadri miaka inavyokwenda Mwezi unasogemea mbali zaid ya dunia, hivyo katika ya miaka mingi ijayo wanasayansi wana'predict utatoka nje ya Dunia na kutokomea kabisa.
Athari inayoweza kuisababisha ni kuondoa balance iliyopo Dunian hususan katika Bahari na Misimu ya nyakati, may be inaweza kupelekea mafuriko na vimbunga vya mara kwa mara who knows!!
5. ROGUE PLANETS.
Hizi ni sayari ambazo hazijashikiliwa katika Solar system zao (free flowing planets).
Hivyo zina'roam randomly katika space, wanasayansi wameweza kuzigundua zipo nyingi katika observarble universe.
Athari ya hizi ni kwamba kuna possibility zikaja kuingilia katika solar system yetu na either kugongana na Jua au sayar yoyote ikiwezakana pia Dunia, na kuharibu balance iliyopo na hivyo kupelekea mwisho wa dunia yetu.
Kumbuka hizi sayari (Rogue Planets) ni kubwa kama ilivyokuwa Dunia yetu au hata kama Saturn.
#Ponti ya nyongeza.
6. MWISHO WA UNIVERSE.
Ifahamike kwamba tangu Hubble alipogundua kuwa Universe inatanuka kwa acceleration ya kasi, ambayo hii wanasayansi wanaikadiria ilianza tangu mwanzo wa BIG BANG,
hivyo Universe unazid kutanuka na kuwa kubwa zaid, kutokana na hali hii baadhi ya wanasayansi wanamini kutanuka huku haiwezi kuwa Infinity so itafika katika Critical stage ambayo Universe can expand no more, na kupelekea Big Crunchy ambayo nguvu ya uvutano (Gravity) imeizid nguvu ya kutanuka (Expansivity).
Kwa hali hiyo kupelekea kuwa mwisho wa ulimwengu na Sayari, Stars, Galaxies, Black holes zake zote obviously ikiwemo na viumbe vyote vinavyo'exist.
Na pia as time goes on, University inazidi kupungukiwa na joto lake na kuifanya kuzid kuwa ya barid, hii ni kutokana na Thermodynamics Law, so Thermal energy won't last forever within the Universe, so probably Vitu vyote vinavyoweza kutengeneza Joto hususani Nyota (ikiwemo Jua) havitakuwa na uwezo huo katika miaka Trillions out of Trillions ijayo.
That's it!
Kama ulikuwa haufahamu,
umeshafahamu!