Siri kubwa sana ya Squid Game, kuna kitu kilitokea

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
5,332
Reaction score
6,836
——-VITU VINAVYOTOKEA KWENYE SPIRITUAL REALM——-

In spiritual realm kuna mambo mengi yanatokea. Ni tofauti na ndoto unavyodhani ila yenyewe nafsi yako inakuwa imepelekwa kwenye mazingira fulani na unakuwa unafeel na uwezo wakufanya maamuzi ipo kama real ulivyoduniani tofauti kama ndoto nikama video inaplay unaona ulichoota na nirahisi kusahau.
Image.png

Huu ni Ukweli Vitu vingi unavyoviona kwenye Movie idea au matukio hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho.

Mfano Mazombie jiulize yametokea wapi? Hao mazombie ni mapepo ukiyaota yanawakilisha maadaui kwenye ulimwengu wa kiroho.

Image_1.png

Utashangaa vilivyomo humo ni kama hayo hayo kwenye movie.
1752031758237.png

Na Aliens nao ni jeshi la kuzimu litakalokuja kuleta uharibifu sisi tunaona ni kama wakawaida.

Ila mwishoni kuzimu itafunguliwa vitu vya ajabu ajabu vitaonekana live

Ufunuo Wa Yohana 9:2
Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya ule moshi wa shimoni.

Ufunuo wa Yohana 9:3
Nzige wakatoka katika ule moshi, wakaenda juu ya nchi, wakapewa nguvu kama nguvu waliyo nayo nge wa nchi.

————-SIRI YA SQUID GAME——————-
Image_3.png

Squid Game ukiangalia mchezo wanaoucheza ni wa kifo. In reality mazingira waliyoyaweka ni tofauti na ni kama ulimwengu mwingine
ambao watu wanayapoteza maisha yao humo kwenye huo mchezo.

Wanaanza wengi wanapungua kidogo kidogo kadri wanavyoenda level zingine.
Binadamu akiwa anahangaika kuokoa kwenye maisha yake.

Nilivyoangalia Squid Game ile ya kwanza nikajiuliza mbona haya mazingira na jinsi watu wanavyohangaika ni hivyo hivyo yanatokea kwenye Spiritual Realm.

Hii inatokea pale umelala alafu nafsi yako ikawekwa kwenye mazingira fulani sasa kabla hujaamka ili uamke nafsi inabidi irudi na kurudi huko huko kwenye Spiritual Realm ndani ya hiyo game lazima upambane kwenye hiyo game ili urudi ukiwa hai

Na ikitokea damage humo au umeumia then ukaamka

Basi elewa kupitia hiyo process imetumiwa kukushambulia kimaisha utaona shida inatokea
Labda unaumwa au shida zingine

Na solution ni kuifuta hiyo ndoto kwa Jina la Yesu na madhara yake yasitokee.

Hao waliotunga movie 🎥 iwe wanajua siri yake au wametoa story kwa mtu fulani lakini tambua

Hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho.

Squid Game kwenye Ulimwengu wa Kiroho inatumika kuwachezea watu nafsi zao na kuharibu au kuua kama mtu akifa kwenye game.
Image_4.png

Ila natoa ushauri kwa wewe uliyeangalia hiyo Movie ombea sana nafsi yako. Kuna vitu vinapandikizwa humo Roho za giza kupitia ile hofu zinakuvamia Yani nikama unachukuliwa kupitia movie “the way you will react the same way you will react in spiritual realm and you can change how to react by how you will command your mind” by Marco Seth

——-KILICHONITOKEA KUHUSU SQUID GAME—

Najua wengi mmefuatilia kuangalia Squid Game 3 mimi sikuingailia Roho ilikataa kabisa na kilichotokea ndio maana kule ni Quit kwenye Game sikiliza kilichotokea usiku.

Nilikuwa na wenzangu tunaingia kwenye huo mchezo na tena ilikuwa Usiku. Tulikuwa na umoja
Kulikuwa na njia nyingi za kupita

Tulivyofika kwenye hiyo njia nilivaa viatu na wengine kutokana maelekezo chini kuna maji mengi na daraja jembamba tukaanza kukimbia haraka huku nyuma daraja linavunjika tukikaribia sehemu ingine kwenda level ingine.

Image_5.png

Kabla hatujaingia kwenye hilo gate wenzangu waliniambia kwa kuwa najua kwenye huo mchezo huko mbeleni kuna nini. Hapo hapo walikuwa na simu zao wanarecord live kwamba wanaenda kucheza hiyo level na wakipost status ila Roho iliniuma Kwa sababu wengi wao walikuwa wanaenda kufa .

Image_6.png

nikamuambia mtu mmoja wapo ikitokea mamba wamekufuata ukiingia kwenye mmaji jitahidi utoke uende kwenye chumba fulani uokoe maisha. Sasa

Nikatangulia wakawa wanafuata kwa nyuma kulikuwa na kona kali alafu chini mamba ni wengi ila wametulia inabidi ukipita usitetemeke au kuanguka. Nikafika wenzangu wakawa wanaruka kufika kwenye hilo Daraja ili tutembee bahati mbaya mmoja akaanguka

Mamba wakaanza kung’ata kutufuata tulipo watumeze walikuwa wakali watu wakaanza kunezwa nikajitupa kwenye maji wakawa wananifuata kwa kasi kuelekea kwenye hicho chumba ili niokoea maisha Nilijitahidi nikafika kwenye hicho chumba kilichopo juu niliwaacha wenzangu wakipambana

Image_7.png

Nili Quit kwenye Squid Game
Ikaandika Kwenye Screen kwamba nime Quit Game then i waked up

Ushauri Sali kuondoa Roho za Giza Zilizokuvamia kupitia movie. Kingine Usiwe na Hofu unapoziangalia
Kama unahofu usiangalia kabisa

Point yangu ni hii
“Yanyotokea kwenye Ulimwengu wa Kiroho mengi tunayaona kwenye movie na hata kama mnasema ni story ya kweli whatever ila kwenye ulimwengu wa kiroho utathibitisha na kuona yamo kwenye movie “
 
——-VITU VINAVYOTOKEA KWENYE SPIRITUAL REALM——-

In spiritual realm kuna mambo mengi yanatokea. Ni tofauti na ndoto unavyodhani ila yenyewe nafsi yako inakuwa imepelekwa kwenye mazingira fulani na unakuwa unafeel na uwezo wakufanya maamuzi ipo kama real ulivyoduniani tofauti kama ndoto nikama video inaplay unaona ulichoota na nirahisi kusahau.
View attachment 3399043
Huu ni Ukweli Vitu vingi unavyoviona kwenye Movie idea au matukio hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho.

Mfano Mazombie jiulize yametokea wapi? Hao mazombie ni mapepo ukiyaota yanawakilisha maadaui kwenye ulimwengu wa kiroho.

View attachment 3399041
Utashangaa vilivyomo humo ni kama hayo hayo kwenye movie.
View attachment 3399044
Na Aliens nao ni jeshi la kuzimu litakalokuja kuleta uharibifu sisi tunaona ni kama wakawaida.

Ila mwishoni kuzimu itafunguliwa vitu vya ajabu ajabu vitaonekana live

Ufunuo Wa Yohana 9:2
Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya ule moshi wa shimoni.

Ufunuo wa Yohana 9:3
Nzige wakatoka katika ule moshi, wakaenda juu ya nchi, wakapewa nguvu kama nguvu waliyo nayo nge wa nchi.

————-SIRI YA SQUID GAME——————-
View attachment 3399045

Squid Game ukiangalia mchezo wanaoucheza ni wa kifo. In reality mazingira waliyoyaweka ni tofauti na ni kama ulimwengu mwingine
ambao watu wanayapoteza maisha yao humo kwenye huo mchezo.

Wanaanza wengi wanapungua kidogo kidogo kadri wanavyoenda level zingine.
Binadamu akiwa anahangaika kuokoa kwenye maisha yake.

Nilivyoangalia Squid Game ile ya kwanza nikajiuliza mbona haya mazingira na jinsi watu wanavyohangaika ni hivyo hivyo yanatokea kwenye Spiritual Realm.

Hii inatokea pale umelala alafu nafsi yako ikawekwa kwenye mazingira fulani sasa kabla hujaamka ili uamke nafsi inabidi irudi na kurudi huko huko kwenye Spiritual Realm ndani ya hiyo game lazima upambane kwenye hiyo game ili urudi ukiwa hai

Na ikitokea damage humo au umeumia then ukaamka

Basi elewa kupitia hiyo process imetumiwa kukushambulia kimaisha utaona shida inatokea
Labda unaumwa au shida zingine

Na solution ni kuifuta hiyo ndoto kwa Jina la Yesu na madhara yake yasitokee.

Hao waliotunga movie 🎥 iwe wanajua siri yake au wametoa story kwa mtu fulani lakini tambua

Hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho.

Squid Game kwenye Ulimwengu wa Kiroho inatumika kuwachezea watu nafsi zao na kuharibu au kuua kama mtu akifa kwenye game.
View attachment 3399042
Ila natoa ushauri kwa wewe uliyeangalia hiyo Movie ombea sana nafsi yako. Kuna vitu vinapandikizwa humo Roho za giza kupitia ile hofu zinakuvamia Yani nikama unachukuliwa kupitia movie “the way you will react the same way you will react in spiritual realm and you can change how to react by how you will command your mind” by Marco Seth

——-KILICHONITOKEA KUHUSU SQUID GAME—

Najua wengi mmefuatilia kuangalia Squid Game 3 mimi sikuingailia Roho ilikataa kabisa na kilichotokea ndio maana kule ni Quit kwenye Game sikiliza kilichotokea usiku.

Nilikuwa na wenzangu tunaingia kwenye huo mchezo na tena ilikuwa Usiku. Tulikuwa na umoja
Kulikuwa na njia nyingi za kupita

Tulivyofika kwenye hiyo njia nilivaa viatu na wengine kutokana maelekezo chini kuna maji mengi na daraja jembamba tukaanza kukimbia haraka huku nyuma daraja linavunjika tukikaribia sehemu ingine kwenda level ingine.

View attachment 3399047
Kabla hatujaingia kwenye hilo gate wenzangu waliniambia kwa kuwa najua kwenye huo mchezo huko mbeleni kuna nini. Hapo hapo walikuwa na simu zao wanarecord live kwamba wanaenda kucheza hiyo level na wakipost status ila Roho iliniuma Kwa sababu wengi wao walikuwa wanaenda kufa .

View attachment 3399048

nikamuambia mtu mmoja wapo ikitokea mamba wamekufuata ukiingia kwenye mmaji jitahidi utoke uende kwenye chumba fulani uokoe maisha. Sasa

Nikatangulia wakawa wanafuata kwa nyuma kulikuwa na kona kali alafu chini mamba ni wengi ila wametulia inabidi ukipita usitetemeke au kuanguka. Nikafika wenzangu wakawa wanaruka kufika kwenye hilo Daraja ili tutembee bahati mbaya mmoja akaanguka

Mamba wakaanza kung’ata kutufuata tulipo watumeze walikuwa wakali watu wakaanza kunezwa nikajitupa kwenye maji wakawa wananifuata kwa kasi kuelekea kwenye hicho chumba ili niokoea maisha Nilijitahidi nikafika kwenye hicho chumba kilichopo juu niliwaacha wenzangu wakipambana

View attachment 3399046

Nili Quit kwenye Squid Game
Ikaandika Kwenye Screen kwamba nime Quit Game then i waked up

Ushauri Sali kuondoa Roho za Giza Zilizokuvamia kupitia movie. Kingine Usiwe na Hofu unapoziangalia
Kama unahofu usiangalia kabisa
mkuu unataka kusema squid game inatisha? Mbona ni movie ya kawaida sana, anyway acha kuangalia movie utakuwa kichaa bure
 
Back
Top Bottom