Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt).
Huyu Jamaa Alisoma Diploma...
Wanaopinga uwepo wa Mungu, ukiwauliza kuhusu asili ya huu ulimwengu na jinsi ulivyo katika mpangilio ambao hauna dosari ndani yake, watakwambia ni nature au coincidence.
Mimi mtu akinambia hivi...
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile...
Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye !
Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani...
Ahalan wasahlan wamarhaban bikum!
Wapendwa wasomaji na wenye hamu ya kufahamu mambo mbali mbali, nimependa kuwaletea mada hii ili kuweza kujua mbinu mbali mbali wanazotumia binadam wenzetu wenye...
Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi?
Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa...
Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la...
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Sijawahi kuona popote pale Waziri wa...
Salaaam wakuu,
Katika kukakaa muda mrefu nikinufaika na nondo za mabingwa wa kuzitumia akili zao katika kuzifikirisha na kuleta mada ambazo zinasaidia kubadilisha mitazamo ya jamii, na Mimi...
Ellen na pacha wake Elizabeth walizaliwa mnamo mwaka1827/9/26
,kutoka kwa familia ya Mzee Robert na Eunice Gorham Maine, mzee Robert aliingiza kipato kwa kutengeneza kofia kwa kutumia mercuric...
SIMON MAGUS NA WACHAWI KANISANI!
Simon Magus alikuwa ni mchawi kutoka kabila la Samaria aliyeingia Ukristo baada ya kufufuka kwa Yesu. Kabla ya hapo alitumia uchawi wake kama biashara...
Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na...
Nimejaribu kujiulizaa, hivi akili ya mtu huwa inapimwa na nini? Mpaka inafikia mtu anakuambia hauna akili wewe. Maana ukifeli mtihani unaambiwa huna akili je mtihani ndio kipimo cha akili...
Features:
Heavy duty, full metal receiverQuick detach barrel system, like the real thing!CNC Machined aluminum outer barrelMetal mock heat shieldIntegrated front RIS for additional tactical...
Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na...
Habari za jioni wakuu moja kwa moja niende kwenye mada husika za kukumbushana kuhusu watu wa kale waliofanya makubwa leo ningependa tumgusie Nimrod aliyetawala Babylon ya kale huko mashariki ya...
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa...
Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo...
ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU".
Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’...
Humu 'Mitaani' wanasema kwamba.....
1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka
2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.