Je kuna ukweli wowote kuhusu Anunnak ama ni story za kufikirika tu?

Codeboy Breezy

Senior Member
Nov 8, 2018
194
323
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa kufuatilia historia ya ulimwengu pamoja na uwepo wa viumbe ama miungu hii ya ANUNNAK toka katika sayari nyingine.

Maswali ninayojiuliza mpaka sasa ni kwamba

Inafahamika kabisa kwamba kwa jinsi history inavyoelezea ni kwamba ANUNNAK walimuumba mtu wao wa kwanza Duniani mwenye rangi nyeusi hao wazungu ilikuwa ni matokeo ya maasi ya kufanya tendo la ndoa Kati ya mtu na mashetani. Swali langu ni kwa nini Anunnak sasa wanaruhusu mtu wao Mweusi kutawaliwa na mzungu ilhali wanao uwezo wa kumuwezesha huyu mtu Mweusi aweze kumcontrol mzungu?

Kwa nini Anunnak wanaosifika kuwa na teknolojia ya hali ya juu wasije Duniani mara moja na kumsaidia huyu mtu wao mweusi dhidi ya dhuluma na ubaguzi anaofanyiwa na wazungu (waliotokana na njia isiyo ya halali)

Naomba majibu kwa wenye ufahamu kuna jambo nataka kugundua✍️
 
Naomba majibu kwa wenye ufahamu kuna jambo nataka kugundua
Kwa namna ulivyoandika heading ni kama Mtu usiefahamu chochote kuhusu Annunak , lakini katika maelezo yako unaonesha kujua kila kitu , binafsi sijaelewa msingi wa swali lako
 
Msingi wa swali langu ni kwamba ANUNNAK alimuumba mtu Mweusi na si mzungu, so kwa nini Miungu hawa wanaruhusu mzungu kumtawala mtu Mweusi??
 
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa kufuatilia historia ya ulimwengu pamoja na uwepo wa viumbe ama miungu hii ya ANUNNAK toka katika sayari nyingine.

Maswali ninayojiuliza mpaka sasa ni kwamba

Inafahamika kabisa kwamba kwa jinsi history inavyoelezea ni kwamba ANUNNAK walimuumba mtu wao wa kwanza Duniani mwenye rangi nyeusi hao wazungu ilikuwa ni matokeo ya maasi ya kufanya tendo la ndoa Kati ya mtu na mashetani. Swali langu ni kwa nini Anunnak sasa wanaruhusu mtu wao Mweusi kutawaliwa na mzungu ilhali wanao uwezo wa kumuwezesha huyu mtu Mweusi aweze kumcontrol mzungu?

Kwa nini Anunnak wanaosifika kuwa na teknolojia ya hali ya juu wasije Duniani mara moja na kumsaidia huyu mtu wao mweusi dhidi ya dhuluma na ubaguzi anaofanyiwa na wazungu (waliotokana na njia isiyo ya halali)

Naomba majibu kwa wenye ufahamu kuna jambo nataka kugundua✍️
Chanzo cha taarifa yako ni nini? Kwa nini unaamini ni chanzo sahihi?
 
Wakati tunaendelea kungojea wanaofahamu ulichouliza....tafadhali endelea kutupa mengine kuhusu annunaki na sisi mana umeandika unafatilia kwa karibu historia ya ulimwengu,ili tujifunze kitu.

Asante.
 
Msingi wa swali langu ni kwamba ANUNNAK alimuumba mtu Mweusi na si mzungu, so kwa nini Miungu hawa wanaruhusu mzungu kumtawala mtu Mweusi??
alianza wengine kabla ya nyani ambao ndo ww kisha akamalizia na toleo jipya na bora ambao ndo wazungu akasepa.
 
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa kufuatilia historia ya ulimwengu pamoja na uwepo wa viumbe ama miungu hii ya ANUNNAK toka katika sayari nyingine.

Maswali ninayojiuliza mpaka sasa ni kwamba

Inafahamika kabisa kwamba kwa jinsi history inavyoelezea ni kwamba ANUNNAK walimuumba mtu wao wa kwanza Duniani mwenye rangi nyeusi hao wazungu ilikuwa ni matokeo ya maasi ya kufanya tendo la ndoa Kati ya mtu na mashetani. Swali langu ni kwa nini Anunnak sasa wanaruhusu mtu wao Mweusi kutawaliwa na mzungu ilhali wanao uwezo wa kumuwezesha huyu mtu Mweusi aweze kumcontrol mzungu?

Kwa nini Anunnak wanaosifika kuwa na teknolojia ya hali ya juu wasije Duniani mara moja na kumsaidia huyu mtu wao mweusi dhidi ya dhuluma na ubaguzi anaofanyiwa na wazungu (waliotokana na njia isiyo ya halali)

Naomba majibu kwa wenye ufahamu kuna jambo nataka kugundua✍️
Cc: Dumas the terrible
 
Ni Gahawa tu hiyo mkuu, hakuna Anunnak wala Allian ni stori tupu.
 
ANUNNAK wanasemwa kuwa ni viumbe Giant waliotokea planet ya NIBIRU na walikuja duniani kwa lengo la kuchimba dhahabu mahususi kwa ajili ya kwenda kufanya repairing of atmosphere ya kwenye planet yao atmosphere yao ilikuwa haisapoti kilimo na climate kwa ujumla ilikuwa ishaharibika, na ndipo wakaja duniani kwa lengo hilo, walipofika wakajenga mji mesopotamia na garden ambayo ndo Eden according to history , then wakatengeneza wafanya kazi kwa ajil ya kuchimba dhahabu inadaiwa kwa mara ya kwnza walitengeneza viumbe ambao ni Igi lakini baadae Igi walikuja ku react nakusababisha vita sababu walikuwa wakifanyishwa kazi under low wages na manyanyaso , lakin walishindwa vita wakaisha kufa igi wote , ndipo Anunnak wakaamua kumtengeneza binadamu Kwa ajili ya man power kiumbe asie na madhaka kwao , historia inasema binadamu walifanya kazi mpaka mpango wa Anunnak ulipokamilika ndipo Anunnak wakatoweka kurudi planet kwao na dhahabu zao.

My view,,
1.. Hii story ya Anunnak ni ya kutengeneza na haina uhalisia wowote ,imagine Anunnak waje kutoka planet kwao kuja duniani kuchimba dhahabu na wakamtengeneza binadamu, je kama wao wananguvu kiasi cha kutengeneza binadamu ambao ni adcanced and complex organism walishindwa vipi kuziamuru dhahabu zije kwenye sayali yao na kufunika atmosphere kama kweli wanaguvu hio.

2.. Hizi n theory tu zisizokuwa na ukweli na zimekuwa zikisambazwa na wafuasi wa Masih Dajal hazina ukweli wowote.
 
Asante sana kwa ufafanuzi wako, inafikirisha sana ukitafakari na kuacha pasi na majibu yoyote
 
Kongole,
Hoja zako ni nzurina zina nguvu sana, swali jingine ni kwamba, huyu mwanadamu alitengenezwa kuchimba dhahabu ni dhaifu sana, je alichimba dhahabu kwa vifaa gani?
Mwanadamu wa sasa anapotaka kuchimba dhahabu hutengeneza very complex machine zenye nguvu kuliko yeye zimasaidie kuchimba dhahabu, ila Annunaki kiumbe mwenye akili na maarifa kamtengeneza kiumbe dhaifu achimbe dhahabu inaingia akilini kweli hii?
 
Annunaki miungu ya Wasumeri wa kale, Waakadi, Waashuri na Wababeli. Katika maandishi ya kwanza ya Wasumeri kuhusu wao, ambayo yanatoka kipindi cha Baada ya Akkadian, Anunnaki ni miungu katika jamii, kizazi cha An na Ki, mungu wa mbingu na mungu wa dunia, na kazi yao kuu ilikuwa kuamuru hatima za ubinadamu.Waanunnaki waliaminika kuwa walisimamia hatima za Wasumeri. Hadithi nyingi zilihusisha wanachama wa Anunnaki kutoa hukumu kwa wanadamu.
Miungu ya kale ipo mingi ila An na Ki ni miongoni mwa maarufu hadi kizazi cha leo kiasi watu wengi wamekuwa wakizalisha nadharia mbali mbali za kuvutia.Watafiti wengine wanaamini kwamba Anunnaki wanaweza kuwa viumbe halisi.Nadharia moja maarufu ni kwamba walikuja duniani kutoka sayari nyingine.Wengine wanaamini kuwa walitoka kwenye Sayari X ya ajabu, ambayo wanasema ilipita karibu na Dunia maelfu ya miaka iliyopita.
 
Back
Top Bottom