Ulimwengu; Ni Kila kitu kilichopo, kilichowahi kuwepo, Na kitakachowahi kuwepo

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?"
Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa Mbali, Kabila zote, Rangi zote, Wanyama wote, mimea yote, viumbe vyote, majengo yote,magari yote,michezo yote,Pesa zote, starehe zote, vifaa vyote,vitu vyote, milima yote, Bahari zote, mabara yote, mawingu yote,Dunia yote, sayari zote, vimondo vyote, nyota zote, black holes zote, galaxies zote, clusters zote Na vingine tusivyovijua vyote),

Lakini pia Ni Kila kitu kilichowahi kuwepo (watu wote waliowahi kuishi Na kufa, Wanyama wote waliowahi kuishi Na kufa, mimea yote iliyokufa, viumbe vyote vilivyokufa, majengo yote yaliyojengwa yakabomoka, milima yote iliyosawazika, Bahari zote zilizokauka, mabara yote yaliyopotea, mawingu yote yaliyopotea, Dunia zote zilizoisha, sayari zote zilizoharibika, vimondo vyote vilivyoisha, nyota zote zilizokufa, black holes zote zilizokufa, galaxies zote zilizokufa, clusters zote Na vingine tusivyovijua vyote vilivyowahi kuwepo vikafa),

Lakini pia Ni Kila kitu kitakachokuwepo (
watu wote watakaokuja kuzaliwa, Wanyama wote watakaokuja kuzaliwa, mimea yote itakayokuja kuzaliwa, viumbe vyote vitakavyokuja kuzaliwa, majengo yote yatakayokuja kujengwa, milima yote itakayokuja kuform, Bahari zote zitakazoform, mabara yote yatakayoform, mawingu yote yatakayoform, Dunia zote zitakazoform, sayari zote zitakazoform, vimondo vyote. Vitakavyoform, nyota zote zitazozaliwa, black holes zote zitazoumbika, galaxies zote zitakazoumbika, clusters zote zitakazoumbika Na vingine tusivyovijua vyote vitakavyokuja).

Je, nilikuwa sahihi kumpa hii definition?
 
Umeandika utumbo
 
Mkuu mtoto wa kidato cha pili ulimpiga ngwini yote hiyo? Ili aweze kukuelewa kwa urahisi ungaliweza kuufananisha ulimwengu yaani "universe" na dunia yaani "earth"

Ungaliweza kumwambia dunia ni sayari ambayo ni makazi ya asili ya binadamu na viumbe hai wengine na mazingira yanayowazunguka. Lakini ulimwengu ni mazingira ya mifumo yote inayoizunguka dunia hata ile iliyo nje ya upeo na ufahamu wa akili ya mwanadamu.
 
Huyu Dogo ana upeo kidogo
 
Sahihi ndo ulimwengu huo, yaliyokuyapo yaliyopo na yatakayokuja kuwako yooooooooooooooooote, du ni noma!
 
Back
Top Bottom