Nguvu ya matamko (Neno): Jiponye mwenyewe

Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
542
918
NGUVU YA MATAMKO. (Neno)

Siri ya Uponyaji.

Angalizo.
Uzi huu sio wa kidini isipokuwa nitadokoa tu baadhi ya vifungu kidogo kwenye baadhi ya maandiko matakatifu kujazia jazia nyama ili nieleweke vyema.

Ukiijua siri hii hauta hangaika kamwe, utabakia tu ukiwashangaa watu wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji/ wachawi/ mitume/ manabii/ wasoma nyota na mashehe kwenda kuombewa ili wapate kuponywa matatizo yao huku wakiwa kwenye hatari kubwa ya kutapeliwa pesa zao.

Mpendwa msomaji, maneno yako unayoyatoa katika kinywa chako yana nguvu mno kuliko unavyofikiria (endapo utayanena kwa nia, dhamira na imani)

Hisia

Hisia ni mihemko ambayo binadamu na wanyama hujisikia moyoni na huathiri mwili pia kupitia ubongo.

Kadiri ya saikolojia zinaweza kuwa za upendo, hamu, furaha, au kinyume chake za chuki, woga, hasira, huzuni na nyingine nyingi tu.

Unapokuwa unatamka maneno fulani katika kinywa chako kwa muda mrefu ubongo huanza kuyachukua yale maneno na kuyapeleka moja kwa moja hadi ndani ya moyo na kupelekea moyo kuamsha hisia na kuzisambaza moja kwa moja kwenye mwili mzima.

Tuchukulie kwa mfano, we anza tu kujitamkia, "Nimebarikiwa,,, Nimebarikiwa,,, Nimebarikiwa,,, Nimeponywa,,, Nimeponywa,, Nimeponywa,,, Sintanteseka tena,,, Sintanteseka tena,,, Sintanteseka tena,,,"

We tamka tu halafu utaona How you feel in your heart!. You can heal yourself.

Kumbuka hii kitu inaenda na Imani tu. Tamka huku ukiamini.
Amini na weka hisia zako kwenye maneno unayoyatamka.

Watu wengi wanateseka sana kwasababu waliamini zile taarifa walizozipokea kutoka kwa waganga wakienyeji na wachawi.
Wengine walitamkiwa maneno mabaya, hata ya kukatishwa tamaa, kuvunjwa moyo na wakayabeba katika mioyo yao na hatimae maneno yale yakageuka kuwa laana kwao.

Nguvu inayotenda miujiza:

Ukitamka maneno kwa Imani nguvu kubwa ya kiungu iliyo ndani mwako itaamka na kuanza kutenda kile umeiamrisha itende kwa maneno ya kinywa chako.

Najua hapo ntakuwa nimekuacha kidogo. Taratibu utaelewa tu..

Ndani yako kuna sehemu kubwa sana iliyo na nguvu kubwa sana ambayo huijui. Unaweza ukajiuliza ulipokuwa mdogo nani alikuwa anahakikisha unakua vyema, nani anahakikisha sasa hivi mapafu yako yanasukuma hewa, nani anayehakikisha moyo wako unadunda, ni sehemu ambayo unayo akilini mwako lakini tangu uumbwe mpaka leo hujawahi kuitazama na kujifunza kuitawala. Simaanishi ujue kutawala mapigo yako ya mwili bali namaanisha kuwa ndani mwako kuna nguvu kubwa, ambayo ukiamua kuiamuru kufanya chochote inaweza kukusaidia na kukupa chochote. Nguvu hiyo inaungana na ufahamu wako. Unachokiamini, unachokitafakari, na unachokisema kinaungana na nguvu hiyo vyema na kupelekea kufanyika. Unaweza ukawa hujaona hilo lakini ukiwa makini utagundua hilo.

Kanuni ya USUMAKU inatufunza kuwa, unaumba uhalisia wa maisha yako wewe mwenyewe. Wewe ni kama Sumaku, unavuta uhalisia wowote ule ambao unaushikilia akilini kwa muda mrefu.

Ukiamini kuwa wewe ni mtesekaji utazidi kuwa mtesekaji, ukiamini umebarikiwa basi unapata baraka, na ukiamini unaweza kutimiza jambo fulani nawe utaweza kulitimia.

Hata Yesu alisema; Ukiwa na imani kidogo kama vile Punje ya Haradani unaweza kuuamuru mlima kuhama na ukahama. Jitambue Sasa na yatengeneze maisha yako vyema.

Mara nyingi tumekuwa tukiwaona wale wanaojiita wachungaji/ mitume/ manabii/ walokole na baadhi ya imani wakiwaambia waumini wao wanyenyuwe mikono yao juu na kuwaongoza Toba na kuwatamkisha maneno kama, semeni, "Kuanzia Sasa Mimi ni mzima,,, nimepona,,, cancer tokaa,,, uvimbe towekaa,,, HIV towekaa,,, Nimeponaa,,, Nimekombolewa,,, n.k.". huwa sometimes tunawachukulia kama watu walochanganyikiwa kumbe ndo ukweli halisi ulivyo, pale waaminio ndio wapokeao.

Kumbuka hata mganga wa kienyeji atayapiga manyanga yake wee,,, lakini mwishoni lazima ataachilia matamko tu. Hata Mshana Jr anajua (I'm just kidding) . Pasipo tamko hakuna litakalofanyika/ tendeka.

Hata wachawi wanapomkusudia kumroga mtu lazima Kuna matamko watayaachilia tu, ndio jambo kusudiwa litatendeka.

Rejea hata kwenye Bible
Yohana1;1 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno; naye Neno alikuwako kwa Mungu; naye Mungu alikuwa Neno."

Hata mitaani huwa kuna msemo unaosema kuwa maneno yanaumba.

Nitaendelea ku•update Uzi
 
2014 ilijadiliwa sana na wadau.

KICHWA CHA HABARI:

Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza Ya Uponyaji kwa Imani!. -Kila Mtu Anazo​

By PASCAL MAYALLA
Sahihi mkuu. Hii ilishajadiliwa sana humu, lakini hii waliijadili kwa mfumo wa meditation. Mimi hapa nazungumzia Maneno (Mantra/chanting), ambayo nayo ni ile ile meditation ila njia tofauti. Lengo ni lilelile. Tunajenga nyumba moja kuna fundi rangi, kuna fundi bati, kuna fundi umeme lakini lengo ni moja tu. Upate kujitambua.
Ukifatilia hizi mada zipo nyingi ila kila mtu ameielezea kwa namna tofauti japo lengo ni moja. Ndio maana Kuna MWANZO WA MEDITATION by Rakims Will Powers by Pascal Mayalla na wengine wameielezea kwa namna tofauti tofauti.
 
We ndo unaeleza vema. Sio hao wengine, sjui tulale, sjui sehem tulivu, mara projection, hawaelekagi.
 
Good,, Mada nzuri Sana hii, content nzima imebebwa na facts na sio sijui ukizaliwa tarehe Fulani utaishi hivi au vile. Hakuna habari ya nyota wala utabiri usio na facts.
 
Kweli.
Hii inaweza kufanya kazi, kwenye vitu vilivyo ndani mwetu na ndani ya mfumo wa dunia.
 
Liko jambo hapa unajaribu kutaka kuwaleza watu wakuelewe,ila kuna shida jinsi ya kutirirka au una upeo mdogo wa kulichambua hili jambo...
 
haya ni Moja kati ya madini safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom