Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kumekuwa na debate nyingi kuhusu uwepo wa uhalisia wa covid-19 Vaccination!Je was the pandemic created or reality? Kuna cha kujifunza kutokana na ugonjwa huo kwa Nchi masikini? What is next after...
0 Reactions
5 Replies
481 Views
Umewahi kujiuliza kwa nini watu wana ndoto? Ndoto ni nini? Kwa nini inaitwa ndoto? Watu huziita ndoto kwa sababu watu huota ndoto wakiwa wamelala. Inawafanya wahisi kuwa kila kitu sio kweli...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
1. Ubongo umeundwa na mafuta. Asilimia 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta yaani ubongo ni moja ya fat organ. Fatty acid iliyomo ndani ya ubongo ni msaada mkubwa katika afya ya ubongo kwa...
25 Reactions
31 Replies
5K Views
HEDGES WITCH Wachawi wa Hedge, au Hedges kwa kifupi, ni Wachawi ambao hufanya uchawi bila kuwa na elimu rasmi katika shule za Kichawi labda kwa lugha rahisi tuseme wachawi wa kienyeji Kwa...
22 Reactions
83 Replies
16K Views
PANDORA BOX Nlipata kueleza machache kati mengi kuhusu MEDUSA katika nyuzi yangu moja, uzuri wengi wetu MYTH hizi tunazifahamu aidha Tumezisoma na kuhadithiwa au Tumeziona katika movie...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa...
19 Reactions
60 Replies
9K Views
wasaalam , Hakuna mwanadamu mungu alimrudhuku vipawa vingi kama mwanasayansi Leornardo Da Vinci yule mchoraji nguli sana wa mchoro Tata wa mwanadada monalisa. Mungu alimpa vipawa vingi sana...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari za mchana wana JF, hivi Karibuni nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu historia ya siasa za maziwa makuu ila nikagundua kitu fulani kilichonishangaza kidogo nikaona nilete mjadala kwa great...
21 Reactions
252 Replies
28K Views
UTAPELI, CONSPIRACY & SECRET SOCIETIES: UHALISIA WA UMILIKI WA KESHO YA ULIMWENGU Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa...
219 Reactions
730 Replies
189K Views
Kuna vitu tunaviona ni vidogo sana maishani na hatuvipi umuhimu wowote, lakini vimebeba maana kubwa sana nyuma yake Wenzetu wenye kuwaza zaidi ya kuwaza wamevifuatilia, kuvifanyia utafiti na...
13 Reactions
65 Replies
13K Views
Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wewe ni Mvulana au Mwanaume.? Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo. Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Naombeni kusadiwa kujua kuhusu majini. Nina imani watu wengi huwa tunatishwa sana.. Nina maswali naombeni kupewa msaada.. [emoji117] Nani aliwaumba majini? [emoji117] Majini wameumbwaje na...
21 Reactions
867 Replies
127K Views
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa...
12 Reactions
28 Replies
8K Views
Vijana wa Sasa ksema ukweli hawjitambui ni muhimu Kwa wazazi na wazee kuacha kutupa lawama tuu! Bali waanze kuongea ukweli. Ili kuokoa kizazi hiki kilicho athiriwa na maendeleo ya sayansi na...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
9 Reactions
83 Replies
8K Views
Za masaa wana JF. Leo nimeona ni vyema kuwaletea kisa kilichonitokea mwaka 1987 nikiwa kidato cha tano huko Ilboru secondary school. Nilikuwa nikisikia tu habari za malaika kwenye ibada za...
44 Reactions
232 Replies
30K Views
Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake...
27 Reactions
59 Replies
14K Views
Wakuu, Nimepata maswali mengi sana kuhusu dhana ya viumbe anga za mbali. Baadhi nitayajibu hapa kadri ya uwezo wangu. Utata: Wana-anga na wanasayansi wamekuwa wakiangalia mienendo ya nyota...
28 Reactions
101 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…