Call me GHOST
Member
- Jan 18, 2019
- 52
- 93
Hi socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukijua kwamba dollar ya marekani ndio fedha yenye thamani zaidi duniani lakini kuna pesa zingine ambazo zina thamani kuzidi ata hiyo dollar ya marekani
Na hii hapa ndio top 10 ya pesa zenye thamani zaidi duniani kutokana na ripoti ya January 3, 2020 ikiwa nyingi zao ni nchi za mashariki ya kati.
1.Kuwait Dinar ($3.29)
2.Bahrain Dinar ($2.66)
3.Oman Rial ($2.60)
4.Jordan Dinar ($1.41)
5.British Pound Sterling ($1.32)
6.Cayman Islands Dollar ($1.22)
7.European Euro ($1.11)
8.Swiss Franc ($1.01)
9.US Dollar
10.Canadian dollar ($0.75)
Swali la kujiuliza ni kwanini fedha ya marekani(USD) kutumika zaidi katika kuendesha uchumi wa dunia japo kuwa kuna fedha zingine ambazo zina thamani kuizidi?
Basi twende sawa hapa ili tujue ni kwanini inatumika zaidi dollar ya marekani
Tukirudi nyuma mpaka July1, 1944 katika mkutano wa Bretton Woods Conference uliopewa jina jingine kama "United Nations and Financial Conference" ulioendeshwa mpaka July 22, 1944 katika Hotel ya Mount Washington Uko United States
Mkutano huu uliowajumuisha wawakilishi 730 kutoka nchi zote 44 zenye nguvu duniani ukiwa na malengo matatu
1. Kuanzishwa kwa International Monetary Fund(IMF)
2. Kuanzishwa kwa International Bank for Reconstruction and Development(IBRD) World Bank
lengo la hizi taasisi mbili(IMF na IBRD) ilikuwa ni kusimamia hii new gobal monetary system ambayo ni US Dollar
3.Mapendekezo mengineyo juu ya uchumi wa mataifa mbalimbali
Haya marengo yote yalikuwa na target ya kuimarisha uchumi baina ya mataifa hayo baada ya vita ya pili ya dunia
Walichokubaliana katika mkutano huo ni ku replace global monetary system kutoka kwenye gold standard na kuwa US Dollar na hivyo kuifanya US Dollar kuwa global currency. Na marekani ikawa economy powerhouse ya dunia.
Taifa pekee lenye mamlaka ya kuchapisha US Dollar ni Marekani. Waliamua kuchagua kutumia US Dollar na sio currency nyingine kwa sababu kipindi hicho Marekani ilikuwa na 2/3 ya total world gold reserve. So the USD was the most stable currency na thamani yake na nguvu yake ilianza kuongezeka kuanzia kipindi hicho.
System iliyoanzishwa katika mkutano wa Bretton woods ilikoma mwaka 1970.
Swali jingine ni kwanini bado US Dollar ina nguvu japokuwa agreement ya Bretton woods Conference ilikomea mwaka 1970?
Well, Ni kwasabu Marekani bado ni Economy powerhouse ya Ulimwenguni. Takwimu zinaonyesha 90% ya forex trading inafanywa kwa kutumia US Dollar, 31% Euro na 21% Yen.
Kwahiyo US Dollar is still a very strong and stable currency in the world.
Fikiria only 35% ya US Dollar bills ndio zinazotumika Marekani, 65% ya bills zinazobakia zinatumika nje ya Marekani...pia kuna mataifa zaidi ya 9 yanatumia US Dollar kama local currency.
Kwa anaejua zaidi anaweza ongezea niishie hapo.
Thanks,
Sent using Jamii Forums mobile app