Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Habari wanabodi,

Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu upande huo basi niulize na wanaofahamu zaidi wataweza kuelekeza kupitia Thread hii ikiwa kuna jambo litakuwa gumu basi tutalijadili kwa pamoja,

images-20-1-jpeg.1080884

Rakims
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,152
Points
2,000
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,152 2,000
Nawezaje kujiponya bila kwenda hospitali/kwa mganga/kanisani
Yani mwenyewe tu
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,152
Points
2,000
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,152 2,000
Wowote wa kimwili
Kama mgongo.Homa etc
 
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
2,281
Points
2,000
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
2,281 2,000
HIVI NI KWELI KWA NYAKATI ZA SASA WAGANGA WAKIENYEJI BADO WAPO AU WASHAPOTEA NA KUABAKI MATAPELI TU????
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,235
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,235 2,000
Rejea kwenye thread yangu ya kujiponya kwa kutumia ubongo mkuu
Hesabu ( somo la hesabu ) na somo la Biology... katika ulimwengu wa roho yana maana gani ?
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
458
Points
500
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
458 500
Habari wanabodi,

Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu upande huo basi niulize na wanaofahamu zaidi wataweza kuelekeza kupitia Thread hii ikiwa kuna jambo litakuwa gumu basi tutalijadili kwa pamoja,

View attachment 1080884

Rakims
are demons real? or myth
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Hesabu ( somo la hesabu ) na somo la Biology... katika ulimwengu wa roho yana maana gani ?
Mkuu swali lako linahitaji maelezo na maelekezo mapana lakini nitalijibu hivi:

Hesabu kwa ulimwengu wa pande ya pili ni kila kitu na jambo linalofanyika na hesabu ni njia ya kupata au kubashiri matukio yaliyopita yaliyopo na yajayo, maana nyingine hayana tofauti na maana za kawaida na vile vile biology.
Jaribu kutanua swali mkuu naweza kulijibu vema zaidi

Rakims
 
N

Nipe Kavu

Member
Joined
Oct 27, 2018
Messages
95
Points
150
N

Nipe Kavu

Member
Joined Oct 27, 2018
95 150
Utagunduaje kua umerogwa na utajiponyaje bila ya mganga au dini?
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,705
Points
2,000
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,705 2,000
Unafikiri ni nini kinamsukuma Mungu kumwacha shetani nyakati zote aendelee na madhara kwa wanae ilihali ana mamlaka hayo?
Katika maandiko matakatifu tuna wito wa kumpinga sheitwan nae atawakimbia.
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,696
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,696 2,000
Unafikiri ni nini kinamsukuma Mungu kumwacha shetani nyakati zote aendelee na madhara kwa wanae ilihali ana mamlaka hayo?
Katika maandiko matakatifu tuna wito wa kumpinga sheitwan nae atawakimbia.
Anamuacha kwa maana kaisha zungumzia kwenye vitabu vyake kuwa huyo kamuumba kama mtihani kwetu ambao anatupima kwake mkuu, kutokana na kuasi kwake
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,705
Points
2,000
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,705 2,000
Anamuacha kwa maana kaisha zungumzia kwenye vitabu vyake kuwa huyo kamuumba kama mtihani kwetu ambao anatupima kwake mkuu, kutokana na kuasi kwake
Sasa ikatokea jamaa akatushinda nguvu tutawajibika kutumikia adhabu?
Maana kama ni maandalizi ni yeye Mungu aliyetuandaa kushinda. Na je kushindwa ni nani katuandalia?
 
tremendous

tremendous

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Messages
3,177
Points
2,000
tremendous

tremendous

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2016
3,177 2,000
Kwanini tunapoota tunasafiri huwa hatufiki sehemu lengwa(destiny)?
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,235
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,235 2,000
Mkuu swali lako linahitaji maelezo na maelekezo mapana lakini nitalijibu hivi:

Hesabu kwa ulimwengu wa pande ya pili ni kila kitu na jambo linalofanyika na hesabu ni njia ya kupata au kubashiri matukio yaliyopita yaliyopo na yajayo, maana nyingine hayana tofauti na maana za kawaida na vile vile biology.
Jaribu kutanua swali mkuu naweza kulijibu vema zaidi

Rakims
Mtu ameota yupo darasani ana mtihani wa hesabu, na mwingine akaota anajiandaa kufanya mtihani wa biology.. Sio mwanafunzi ni mtu mzima na maisha yake na familia yake, alishaga maliza mambo ya elimu zamani sana
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
1,525
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
1,525 2,000
Rejea kwenye thread yangu ya kujiponya kwa kutumia ubongo mkuu
Mkuu ningekuomba labda uwe unazivuta hizo uzi zako zilizoelezea mambo mbali mbali ya kiroho kulingana na maswali ya wadau kama kuzi activate, kwa wale ambao wanaopenda kusoma nyuzi zako kama mimi.
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
458
Points
500
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
458 500
Ok Mr Rakims show me the way so i can prove their existence
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top