Ni muda mrefu sasa nashuhudia vijana mateja wakivamia malori na kukinga mafuta yaliyobaki kwenye foleni, jana niliwakuta Tazara wakikinga mafuta wengine wakiwa wanavuta sigara.
Nataka kujua hawa...
Anaandika Robert Heriel,
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko...
Nimehangaika kumfuatilia huyu mtu lakini bila mafanikio yoyote.
Inasemekana huyu mtu ndiyo mwanzilishi wa bitcoin. Hakuna picha yake yoyote mtandaoni hata bilionea Elon Musk hamjui Satoshi...
Wasalaam,
Hofu ya upweke ni hofu ya kawaida sana maishani, na sote tunapitia hilo kwa kulazimishwa kujitenga na umbali wa kijamii. Kwa kuwa wanadamu ni "wanyama wa kijamii", ina maana kwamba...
Tangu kuumbwa kwa Dunia, kumeshuhudiwa gunduzi nyingi sana zingine zikiwa kutisha. Najiuliza ni nani aligundua namna ya kupima IQ.
Tunaambiwa IQ ni uwezo wa mtu wa akili na ufahamu, inapima kwa...
Heshima kwenu wote humu ndani.
Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of...
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani...
Moja ya kitu kinachoniuma ni kuona huu utahira wa mambo ya ovyo yanayoendelea na ktk hili yanifanya niamini kweli kila mmoja kuna namna yake ya kuona!.
Asili yetu tumeitupa, tunaishi tamaduni za...
Kuna mambo ya kuvutia katika jinsi ubongo unavyofanya kazi, ni mengi lakini la utunzaji wa kumbukumbu ni jambo la kushangaza iwapo utafikiria kiundani. Nimeandaa mada hii kugusia hili kwa ufupi na...
Nimeileta hili ili nisaidiwe kupata ufafanuzi zaidi maana najua hapa kuna wajuzi wa mambo kwa nyanja mbalimbali. Suala langu ni kuhusiana na utofauti wa saa kati ya eneo moja na lingine.
Naomba...
Toka kwa The Light Keepers
Ni ngumu ndege aliyezaliwa katika uzio kujua nini maana ya uhuru na hata akiachwa mlango ukiwa wazi ni ngumu kumkimbia mfugaji.
Hapo ndipo ulipo mtego wa maisha yetu...
Ni kweli sisi ni wamiliki wa mawazo yetu ?
Maisha yetu Yamekuwa kama redio tunakamata Mawimbi ya vitu tunavyoendana navyo au kufanana jinsi tulivyo.
Picha, Fikra, maneno hata mawazo ya wengine...
Wasalaam,
Kumekuwa na Hadithi nyingi sana Kumuhusu diktekta maarufu , mwamba wa Ujerumani Adolph Hitler, katika hatma yake Wengine wakidai alichomoka kwenda kwa wafadhili wake wa Argentina...
Malcolm X au (Al-Hajj Malik El-Shabazz) huyu wengi wetu tunamjua wengineo wakimwiga na kufata matendo yake, na itikadi zake. Huyu mmarekani mweusi ambaye Alisiliimu na kuitwa jina maliki el...
Kumekuwa na debate nyingi kuhusu uwepo wa uhalisia wa covid-19 Vaccination!Je was the pandemic created or reality?
Kuna cha kujifunza kutokana na ugonjwa huo kwa Nchi masikini?
What is next after...
Umewahi kujiuliza kwa nini watu wana ndoto? Ndoto ni nini? Kwa nini inaitwa ndoto? Watu huziita ndoto kwa sababu watu huota ndoto wakiwa wamelala.
Inawafanya wahisi kuwa kila kitu sio kweli...
SOMO LA TISA
Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya...
1. Ubongo umeundwa na mafuta. Asilimia 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta yaani ubongo ni moja ya fat organ. Fatty acid iliyomo ndani ya ubongo ni msaada mkubwa katika afya ya ubongo kwa...
HEDGES WITCH
Wachawi wa Hedge, au Hedges kwa kifupi, ni Wachawi ambao hufanya uchawi bila kuwa na elimu rasmi katika shule za Kichawi labda kwa lugha rahisi tuseme wachawi wa kienyeji
Kwa...
PANDORA BOX
Nlipata kueleza machache kati mengi kuhusu MEDUSA katika nyuzi yangu moja, uzuri wengi wetu MYTH hizi tunazifahamu aidha Tumezisoma na kuhadithiwa au Tumeziona katika movie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.