Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

UTANGULIZI Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai...
43 Reactions
2K Replies
155K Views
Kwa wale ambao wamekuwa wakifatilia ziara za hivi karibuni za mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watakuwa wamepata nafasi ya kuona baadhi ya Magwanda yaliyovaliwa na Walinzi au...
2 Reactions
160 Replies
46K Views
Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Sema:Hakuwa yeye (Isa) ila mtumwa tuliyemnemesha na tukamfanya mfano wa bana israel,hakika Yeye Ni dalili za alama za kiyama,( 1Timotheo12-19,Waraka wa waebrania7,Isaya 53...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers. Kwa mfano unaposikia Major...
15 Reactions
40 Replies
5K Views
Hellow guys, I hope kila mmoja wetu humu ndani ni mzima wa afya njema kabisa,,,,,mara nyingi ni msomaji wa nakara nyingi zinazoelezea uhalisia [nature] ya ulimwengu under its forces operating...
33 Reactions
212 Replies
37K Views
1.SIMEONI.Hawa wangekuwa "WAKURIA"."Panga zao ni silaha za jeuri.Ghadhabu yao na ilaaniwe,maana ilikuwa kali,Na hasira yao,maana ilikuwa haina huruma"'. 2.REUBENI.Hawa wangekuwa...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake. Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua...
6 Reactions
141 Replies
11K Views
Sabato njema, Leo nimeamka na Kiranga na atheist wenzake wote. Kuna hii sentence huwa unaipenda " Mungu mwenye mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote " hayupo kwasababu kuwepo kwa ulimwengu...
8 Reactions
105 Replies
6K Views
Binadamu ni i. Roho iii. Nafsi iii. Mwili Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind) Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho. Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena hoja ya Bunge kupitisha sheria ya kurudisha ofisi ya Kadhi Mkuu linajitokeza tena huku waislamu wakitaka Bunge litunge sheria ya kutambua uwepo wake na wakristu wakipiga...
54 Reactions
4K Replies
485K Views
Zaidi ya asilimia 80 % Mungu huzungumza kupitia ndoto, ujumbe wa picha na alama ambazo zinakua zimebeba ujumbe au maagizo fulani. Mungu huzungumza kwa mafumbo, ishara na picha tunaweza kuziona...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dunia imebadilikia, utandawazi unatukutanisha na watu mbalimbali duniani. Fikra mpya, filosofia na elimu inatujuza mitazamo ya watu mbalimbali katika Historia na hata ulimwengu tulio nao. Moja...
29 Reactions
130 Replies
9K Views
(usomaji wa dakika 14) Tufanye hesabu! Kabla hatujaanza, kuna maandiko haya matatu. 1 Wathesalonike 5:21 Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema. Yohana 8:44 Yeye alikuwa muuaji tangu...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu...
17 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanajukwaa Salam, Ningekua nikfikilia hili Jambo kwa muda mrefu Sana. Aridhi kwa ufupi ndiyo inawwzesha maisha ya viumbe vyote hai duniani kuwepo.Mimea ambayo ndiyo chanzo Kikiuu Cha chakula...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Makala Iliyopita: Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya: 1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
CIA na AIDs Labda unajua virusi vya AIDS, lakini huenda usifahamu nadharia kwamba sio virusi vinavyotokea kwa kawaida, lakini kuna ukweli kwamba imetengenezwa na mwanadamu na kusambazwa na CIA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Do not outshine your master!Naam kamwe ''usimzidi Bwana wako." Katika nchi za watu weusi kama mkaa,rangi ya majabali yaliyoijenga Ulaya na Amerika yote wakiwaacha wato to, wazee na viwete katika...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwenye historia ya vitabu vya simulizi za watoto maafuru kama (FAIRLY TALE STORIES) ipo simulizi ya Daktari Frakenstain ambe inasa elezwa kuwa alikua na teknolojia ina weza kufufua wafu, Alitumia...
1 Reactions
5 Replies
796 Views
Back
Top Bottom