SatCitAnanda

JF-Expert Member
Dec 11, 2022
643
1,090
Makala Iliyopita:

Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya:

1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

2) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye makaa ya mawe yanayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

3) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye Almasi na grafiti zinazodaiwa kuna na mabilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

4) Bado hakuna uwiano sawa wa utengenezaji na utolewaji wa Carbon-14 ambao kwa mahesabu ya wanamageuzi ulipaswa kufikiwa miaka 30,000 tu baada ya dunia kuwepo.

5) Kupungua kwa nguvu la shamba la sumaku la dunia, ikimaanisha kuwa kulikuwa na kiwango kidogo cha Carbon-14 hapo zamani kulinganisha na sasa, na hivyo kutoa umri mkubwa wa sampuli kimakosa.

- Pia mahesabu yanaonyesha kuwa shamba hili la sumaku haliwezi kuwa na zaidi ya miaka 10,000.

6) Kutokea kwa gharika dunia nzima ambayo ilizika idadi kubwa ya viumbe hai (mimea na wanyama), hivyo kutengeneza nishati iliyopo chini ya ardhi (fossil fuels), ambapo inakadiriwa kulikuwa na mimea na viumbe hai mara 500 zaidi ya hivi leo, kimahesabu hii ilipunguza idadi ya Carbon-14 iliyokuwepo wakati huo hivyo kupunguza uwiano wa Carbon-12 na Carbon-14.

Leo: Radioisotope dating

Kama tunavyojua karibu kila chombo cha habari, kitabu, majarida ya wanazuoni yanataja kuwa dunia ina umri wa takriban miaka 4,600,000,000 (bilioni 4.6), umri unaodaiwa kutosha kwa kiumbe cha kwanza kuibuka na mageuzi kutokea hadi kuwe na viumbe wote walipo leo hii.

Njia kuu wanayotumia kupima umri huo ni Radioisotope dating ambayo wanazuoni wanaipigia chapuo kuwa ni ya uhakika kabisa.

Njia hii (Radioisotope dating) hutumika kupima mwamba wa mgando (igneous rocks), ambazo hutengenezwa baada ya uji wa moto (molten material) kupoa na kuganda.

Mfano wa miamba ya mgando ni graffiti na basalt.

images (14).jpeg

Graphite-233436.jpg

graffiti

Tumeshaona kuhusu isotopes na half life kwenye Makala iliyopita. Labda niongeze msamiati mmoja, umbo mtoto (daughter element) ambalo ni umbo (element) lililotokea baada ya isotope kubadilika (decay).

Uranium na Potassium ndiyo hutumika kwenye Radioisotope dating.

Uranium ni isotope ambayo ikianza kubadilika (decay) inatoa umbo mtoto Thorium, ambayo unabadilika na kutoa umbo mtoto chuma (Lead).

Potassium inakuwa Argon.

images (2).png

Kama kawaida kuhesabu umri unahitaji kujua
i) idadi ya umbo mtoto
ii) kiwango cha kubadilika cha umbo husika (decay rate).

(Kumbuka: decay rates zinazopimwa leo hii ni sahihi sana, hata rate ndogo kama za miaka billioni moja, inachukua masaa machache tu kupima).

Sayansi na Dhana

Kwenye sayansi ya kupima umri wa mabaki, sayansi pekee inayoweza kushuhudiwa (Observational science) inayotumika ni hiyo kuhesabu kiwango cha umbo mtoto kwenye sampuli na kupima kiwango cha kubadilika cha umbo (decay rate).

Baada ya hapo njia zizobaki ni sayansi ya historia (Historical science). Njia hizi haziwezi kushuhudiwa.

Kwa mfano kuchunguza mazingira yaliyokuwepo wakati jiwe au mwamba fulani unatengenezwa ni sayansi ya historia.

Pia kutambua jinsi mazingira yalivyoathiri mwamba hapo zamani pia ni sayansi ya historia.

Kwahiyo, kwakuwa Radioisotope dating inatumia njia zote mbili, maana yake hatuwezi kwa uhakika kupima umri sahihi wa kitu. Tunaweza kukadiria tu kwa kutumia dhana.

Dhana tatu zinazotumiwa kwenye Radioisotope dating

i) mazingira ya mwanzo wakati mwamba/jiwe linatokea yanajulikana kwa uhakika

ii) kiwango ya umbo mtoto kwenye sampuli hakijabadilishwa na kitu kingine chochote zaidi ya radioactive decay.

iii) kiwango cha kubadilika cha umbo (decay rate) kimekuwa sawa tangu huo mwamba/jiwe utengenezwe.

Mfano wa Kioo cha saa (Hourglass)

Tunajua tunaweza kupima muda kutumia Kioo cha saa tulichokikuta kwenye chumba fulani kwa kuangalia kiwango cha mchanga kilicho juu na chini.

images (4).jpeg

Kwa kukadiria mwendo wa mchanga kushuka kutoka juu na kuangalia kiwango cha mchanga kilicho chini, tunaweza kukadiria muda uliopita tangu saa ya Kioo igeuzwe.

Mahesabu yote yanaweza kuwa sahihi (Observational science) lakini majibu yakawa sio sahihi, kwasababu hatujazingatia dhana fulani muhimu:

i) kabla kioo cha saa hakijageuzwa, je kulikuwa na mchanga chini? (Mazingira ya mwanzo)

ii) Je, kuna mchanga wote uliotolewa au kuwekwa ndani? (Ingawa hii haiwezekani kwenye mfumo wa kioo cha saa kilichofungwa, lakini mwamba/jiwe ni mfumo ulio wazi (open system)).

iii) Je, mchanga huo ulikuwa unamwagika kwa kiwango kile kile muda wote?

Kwakuwa hiki kioo cha saa tulikikuta tu na hatukuona mazingira ya kuanzia yalikuwaje, tunatengeneza dhana (assumptions). Dhana hizi zinaathiri mahesabu yetu.

UKWELI

Tunajua Radioisotope dating huwa sio sahihi muda wote kwasababu tunaweza kujaribia kwenye mawe ambayo yanajulikana umri wake.

Mwaka 1997, timu wa watafiti wa kisayansi nane walioitwa RATE
(Radioisotopes and the Age of The Earth) walienda kutafiti dhana zinazotumiwa kwenye njia za kupima umri wa vitu vya zamani (Radioisotope dating).

images (7).jpeg

Matokeo ya tafiti zao ni muhimu sana na yanaathiri moja kwa moja tarehe za mageuzi za mamilioni ya miaka!

Walichukua sampuli ya mawe yaliyotoka tu kutengenezwa (kuganda) kutoka kwenye ujiuji (lava) wa Mlima Helens na kupima kutumia Potassium-Argon.

images (13).jpeg

Mawe hayo yalikutwa na umri kati ya miaka milioni 0.5 na milioni 2.8!! Umri huo unaonyesha kuwa kulikuwa na kiwango kikubwa cha umbo mtoto Argon kilichokuwepo wakati mawe hayo yanatengenezwa!

(Ilitegemewa kuwe na kiwango kidogo sana cha umbo mtoto kwasababu muda haujapita).Kwahiyo dhana ya kwanza, kuwa mazingira ya mwanzo yanajulikana SIO KWELI.

Tena wakaenda New Zealand kwenye Mlima Ngauruhoe ambayo ni active volcano wakachukua mawe yaliyotokana lava iliyotoka baada ya Mlima huo kulipuka miaka ya 1949, 1954, 1975, miaka isiyozidi 70 tu iliyopita!

Mawe hayo yakapimwa na kukutwa na miaka kati ya milioni 0.27 na milioni 3.5! Hii tena unaonyesha ile dhana ya kwanza SIO KWELI.

Kama hii Radioisotope dating haiwezi kutoa umri sahihi wa mawe yenye umri unaojulikana kwanini tuiamini kwenye umri wa mawe yenye umri usiojulikana?

Isochron dating

Njia hii ya kupima umri inachunguza sampuli nne na zaidi kutoka kwenye jiwe Moja, badala ya kuhesabu idadi ya atomi, inatumia uwiano na grafu (ratios and graphs). Haitegemei kiwango cha umbo mtoto kuanza na sifuri kama ile njia nyingine ya kutumia sampuli moja.

images (3).png

Njia hii inadhaniwa kuwa ni sahihi kwasababu inafuta dhana kuhusu mazingira ya kuanzia.

Lakini hata njia hii pia ina dhana zake kuhusu mazingira ya kuanzia na inaweza kutoa umri usio sahihi!

Kama njia ya kutumia sampuli moja na ya kutumia sampuli nyingi (Isochron dating) ni sahihi na za kutegemeka, lazima majibu yake yafanane. LAKINI mara nyingi hayafanani!

Kwa mfano, kikundi cha RATE kilichukua sampuli ambazo zilishapimwa kutoka sehemu kumi tofauti. Ili kuepuka upendeleo wowote, sampuli hizi zilipelekwa maabara tofauti tofauti.

Kwenye kila sampuli, umri uliopatikana kutumia Isochron dating ulitofautiana kwa kiwango kikubwa sana na umri uliopatikana kwa kutumia njia ya sampuli moja, tofauti hadi ya miaka milioni 500!!

Hata kwa kutumia Isochron dating ambapo wanasoma grafu za kulinganisha sampuli zaidi ya nne kutoka kwenye jiwe moja, bado kulikuwa na utofauti mkubwa sana wa umri kati ya hizo sampuli nne!

Sasa kama njia tofauti tofauti zinatoa majibu yasiyofanana hata kidogo, na hata ndani ya njia moja (Isochron dating) majibu ya sampuli tofauti kutoka kwenye jiwe moja hayafanani, wanasayansi wanawezaje kujua umri wa mawe na miamba, na hata umri wa Dunia yetu?

Kwenye case moja, walichukua sampuli kutoka huko mashariki mwa Grand Canyon, kwenye safu fulani ya miamba iitwayo Cardenas Basalt, amabayo ni kati ya safu za zamani zaidi huko.

Wakachukua pia sampuli kutoka magharibi mwa Grand Canyon ambapo kuna safu changa zaidi.

images (12).jpeg

Walitumia
Rubidium-Strontium isochron dating. Zile safu za zamani zikakutwa na umri wa miaka billioni 1.11.

Na zile safu changa zilikutwa na miaka billioni 1.14!

Yani safu za zamani zaidi na safu za karibuni zaidi zote zilikuwa na miaka billioni!

Je, tarehe zinazochapishwa kwenye vitabu na majarida ya wanazuoni ni sahihi?

Sikuzote Radioisotope dating hutoa majibu yasioendana tena Kwa utofauti mkubwa!

Kesi mbili za mfano

Kikundi cha RATE kilichagua sehemu mbili (Arizona’s Grand Canyon na milima ya Beartooth)
za kuchukulia sampuli ili wazipime kutumia njia tofauti tofauti za Radioisotope dating.

Hizo sehemu zinatambulika kuwa na umri wa kati ya miaka milioni 541 na milioni 4,600.

Sampuli zote kwanzia mawe mazima mazima na madini ya ndani ya mawe yalipimwa Kwa kutumia njia nne za Radioisotope dating:

i) Potassium-Argon (K-Ar)
ii) Rubidium-Strontium (Rb-Sr)
iii) Samarium-Neodymium (Sm-Nd)
iv) Lead-Lead (Pb-Pb)

Ili kuepuka upendeleo wowote, walipeleka sampuli kwenye maabara za kibiashara huko Canada na Massachusetts.

Umri kutoka njia zote hizo unapaswa kulingana (concordant). Usipolingana, umri unasemwa kuwa discordant.

Matokeo yalionyesha tofauti kubwa kati ya njia tofauti kwenye jiwe moja, na tofauti ya umri wa madini tofauti ndani ya jiwe ni moja i.e umri ulikuwa discordant!

Sehemu nyingine jiwe linaonekana la zamani kuliko madini yaliyo ndani yake, sehemu zingine madini yanaonekana ya zamani kuliko jiwe!

Matokeo ya umri wa madini kutumia
potassium-argon yalikutwa na tofauti ya hadi miaka milioni 1,100!

Fikiria pia sampuli ya mawe kutoka huko Grand Canyon ambayo safu ya mwamba yalipotolewa inatambulika kuwa na umri wa miaka milioni 1,070. Matokeo ya RATE yanatofautiana kabisa na umri huo.

Mawe mazima mazima yalipimwa na Potassium-Argon na kukutwa na miaka milioni 841.5, huku yakipimwa na Samarium-Neodymium yanakutwa na miaka milioni 1,379. Tofauti ya miaka milioni 537.5.

Maelezo kuelezea tofauti hizi

i) Inawezekana ilitokea kuchanganyika kwa isotopes zilizotoka kwenye uji uji (lava) na zilizokuwemo kwenye jiwe ambamo lava iligandia. Kuna njia ya kujua kama hili lilitokea hivyo sababu hii sio.

ii) Madini yaligandia kwenye jiwe katika nyakati tofauti. Lakini hakuna uthibitisho kuwa lava hupoa na kuganda kwa taratibu kiasi hicho! Yani miaka milioni bado haijaganda! . Kwahiyo hii sio sababu.

iii) Kiwango cha kubadilika (decay) kilikuwa tofauti hapo zamani tofauti na sasa. Tutachunguza kwanini haya ndo maelezo bora ya utofauti wa umri.

Gunduzi mpya

Tafiti mpya za kikundi cha RATE zinathibitisha kuwa Radioactive dating inaunga mkono Dunia changa.

Tafiti Moja inahusisha kiwango cha Helium kwenye mawe ya Granite.

Granite Ina vioo vidogo vidogo (crystals) vya zicron, ambayo vina Uranium inayobadilika kuwa chuma (Lead).

What Is Granite And How Is It Formed.jpg

granite

Wakati Uranium inabadilika kuwa chuma, kila atomi moja inapobadilika, atomi nane za Helium zinatengenezwa na kwa haraka haraka zinatoroka kutoka kwenye vioo vya zicron na granite yenyewe..

"Ndani ya vioo vya zicron, Helium yoyote inayotengenezwa kupitia radioactive decay ilipaswa kuwa imetoroka zamani. Ungetegemea gesi ya Helium itoke ardhini na kupotelea angani. Cha kushangaza, kiwango kikubwa sana cha Helium kimekamatwa kwenye vioo vya Zicron.

Kiwango cha kubadilika (decay rate) cha Uranium ni kidogo (half life yake ni miaka billioni 4.5). Na kwakuwa Helium hutoroka haraka kutoka kwenye mawe, hakukupaswa kuwa na Helium kwenye vioo vya zicron.

Kwanini Kuna kiasi kikubwa sana cha Helium kwenye Granite?

Moja ya sababu inayowezekana ni kuwa, muda fulani hapo zamani kiwango cha kubadilika (decay rate) kiliongezwa kwa spidi kubwa. Kilikuwa kikubwa sana kiasi kwamba Helium ilitengenzwa kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyokuwa inatoroka, na kusababisha kiwango kikubwa cha Helium kibaki kwenye Granite.

Kikundi cha RATE kimekusanya uthibitisho kuwa hapo zamani viwango vya kubadilika viliwahi kuongezwa kwa spidi (accelerated).

Majaribu (experiments) yaliyoagizwa na kikundi cha RATE yamehakikisha kwa uwazi kabisa utabiri uliotolewa na modeli ya Uumbaji.

Data na uchambuzi umeonyesha kuwa kiasi cha kupotea (decay) ,kilichopaswa kutoka ndani ya miaka billioni kimetokea hivi karibuni, kati ya miaka 4,000 na 8,000 iliyopita.

Uhakiki huu unapatikana kupitia weusi uliotengenezwa na mionzi iliyotokea wakati wa kubadilika kwa Uranium na moja ya umbo mtoto wake Polonium (Uranium and Polonium radiohalos), ambao ulitengenezwa pia kwa wakati huo huo kwenye chembe za madini ya Biotite ndani ya hiyo hiyo Granite.

images (1).png

( Radiohalos—The Mysterious Vanishing Bullets )

Weusi huu (radiohalos) ni uthibitisho unaoshuhudiwa (observable evidence) kuwa kuna decay nyingi iliyotokea kwenye historia ya Dunia.

images (6).jpeg

Lakini kwasababu huyu umbo mtoto Polonium ni wa muda mfupi sana (anabadilika ndani ya dakika tatu (3) tu, kulinganisha Uranium inayomchukua miaka milioni 4.47), basi ule weusi iliosababishwa na Polonium (Polonium radiohalos) ulipaswa kuwa umetokea ndani ya masaa machache au siku chache tu.

Lakini ili kupata kiwango cha Polonium cha kutoa weusi huo wa Polonium uliopo (Polonium radiohalos), ndani ya muda huo mfupi, atomi za Uranium zilipaswa kupotea (decay) kwa kiwango kikubwa zaidi (accelerated rate).

Kwahiyo kiwango cha Uranium ambacho kilipaswa kupotea ndani ya miaka mamia ya mamilioni (kwa kulinganisha na decay rate ya leo) kilipaswa kutokea ndani ya masaa machache au siku chache Ili kutokeza weusi huu uliosababishwa na mionzi.

Kikundi cha RATE kimependekeza kuwa, kuongezeka huku wa kupotea (accelerated decay) ulitokea ndani ya wiki ya Uumbaji, au kipindi cha gharika.

Accelerated decay ya kiwango hichi ilisababisja joto kubwa sana kwenye mawe. Kutambua jinsi joto hili lilivyotolewa kutoka kwenye mawe ni fursa mpya yenye kusisimua kwa watafiti watetea uumbaji.

Kwa viwango vya Helium vilivyoganda kwenye Granite vilivyopimwa, uchunguzi umekadiria umri a vioo vya zicron kuwa miaka 6000 +- 2000.

Hii inapatana na historia ya biblia kihalisi, na ni umri mdogo wa zicron mara 250,000 kuliko ule wa miaka billioni 1.5 unaotangazwa.

Data za kiwango cha kutoka kwa Helium (Helium diffusion data) zinaunga mkono modeli ya Dunia changa (Young Earth).

Hitimisho

Njia nzuri ya kujifunza kuhusu historia na umri wa Dunia ni kurejea kitabu cha Historia cha Ulimwengu - BIBLIA.

Wanasayansi wengi na wanatheolojia wengi wanakubali usomaji wa moja kwa moja wa biblia na wanakubali kuwa Dunia Ina miaka 6000.

Ni bora kutumia neno la Mungu kutengeneza dhana zetu za kisayansi kuliko kubadilisha NENO Ili liendane na dhana za kibinadamu zenye dosari!

Sayansi ya kweli itaunga mkono neno la Mungu.

Tuhitimishe pia kuwa kwakuwa nuclear decay tayari imeonekana kuwa iliongezwa spidi hapo zamani wakati mawe yalikuwa yanatengenezwa kutokea kwenye uji uji, hadi kutengeneza vioo (crystalizing) hadi kupoa, njia za radiometric dating haziwezi kupima umri wa uhakika kwa decay rates za leo zilizo taratibu, kwa kutumia dhana ya constant decay wakati wote wa historia ya dunia!

Radiometric dating sio njia za kutegemeka kabisa na hazithibitishi kuwa Dunia ni ya muda mrefu!

Makala kwa hisani ya answersingenesis.org

*******

Lengo langu lilikuwa kuandika na kutafsiri makala mfululilizo kuhusu uthibitisho wa historia mbalimbali kama vile uthibitisho wa usahihi wa biblia kihistoria, ufufuo wa Yesu, wa gharika la Noah n.k, lakini nimeona niishie hapa!

Biblia ni kitabu cha kihistoria sahihi na chenye kutegemeka chenye rekodi za matukio halisi yaliyotokea, ambacho pia kinaungwa mkono na vitabu vingine na waandishi wengine na kila leo wanavumbua mabaki mapya yanayothibitisha matukio yaliyotokea kwenye biblia.

Kwanzia rekodi za vizazi na koo, rekodi za wafalme na muda wao wa utawala, kumbukumbu za mataifa (annals), taarifa za kiserikali za mataifa mengine n.k.

Kuna unabii mwingi uliandikwa kitambo kabla ya matukio na kweli yalitokea miaka mingi baadae, hasa unabii kuhusu Masihi/Kristo.

Pamoja na kuwa vitabu vya biblia havikuandikwa kwenye nyenzo zinazodumu kama mawe lakini imewezakana kuinakili na kuipitisha tena kwa kopi nyingi kwa kila kitabu.

(Pamoja na kuwa kuna maandishi ya zamani kuliko biblia, lakini tumuangalia muandishi, lengo lake, heshima yake kuelekea ukweli na anayefuata viwango vya haki. Mfano mdogo, watu wengi mashuhuri kwenye Biblia wamendikwa na makosa yao wakati huku duniani hawakuandika madhaifu ya watu mashuhuri ili waonekane mashujaa, mfano Musa aliua, Daudi aliua na alizini, Paulo aliunga mkono wanaoua wakristo n.k)

Pamoja na kuwa Biblia ni
jumla ya vitabu 66,
kutoka kwa waandishi 40,
kutoka mabara matatu,
walioandika kwa miaka 2,000,
kwa lugha 3,
kutoka kila kada (Wafalme, waamri jeshi, makuhani, wavua samaki, wachungaji n.k),
walioandika kutoka kila mahali (kwenye makasri yao, kifungoni, uhamishoni, nyikani n.k),
walioandika historia, sheria, unabii, methali, mashairi),
kuhusu mada chungu nzima,

Bado kuna upatano na ushikamano wa taarifa, ambapo taarifa kuu ilikuwa ujio wa Masihi.

Hizo zinazosemwa na waongo kuwa ni contradictions mara nyingi huwa ni:

- Hasa kusoma nje ya muktadha

(mfano, Je Mungu hujuta? Je, kila anayeliitia jina la Bwana ataokolewa? Yesu alimponya yule kipofu wapi? Je Abraham alihesabiwa kuwa muadilifu kwa imani au kwa matendo? n.k)

- tafsiri iliyokosewa

(mfano, Je wote tuna dhambi? Je Yesu ni Mungu?)

- kutozingatia matumizi ya lugha i.e halisi au ya mfano

(mfano Je, watoto watii wazazi au wachukie wazazi Ili wamfuate Kristo? Mwandishi kuandika kuhusu jua kutua na kuchomoza inamaanisha Biblia haijui sayansi?)

- kutozingatia mtazamo wa mwandishi. Watu wawili walioshuhudia jambo moja wanapotoa taarifa wanaweza wasiseme maneno yale yale kikamili, lakini ujumbe unapaswa kuwa mmoja.

(mfano askari aliongea na Yesu mwenyewe au alituma wazee waongee na Yesu kuhusu mtumishi wake mgojwa?)

- historia na tamaduni

(mfano, Yesu alisulubiwa saa ngapi?)

- matatizo ya kisaikolojia. Mtu anelezea hisia zake tu. Haoni tu, hajisikii tu.

(Mfano, miujiza haiwezekani kwahiyo Biblia sio ya kweli kwasababu kuna miujiza humo. Kwahiyo anakataa miujiza hivyo anakataa Biblia ambayo inaelezea Mungu mwenye uwezo wa Miujiza ambayo anaikataa hivyo anakataa Biblia ambayo inaelezea......... circular reasoning. Inshort anasema Biblia sio ya kweli kwasababu sio ya kweli).

Nakusihi uitazame na uichunguze Biblia upya!

-----

Niwatakie msako mwema wale wapole wenye njaa na kiu ya Kweli.

images (8).jpeg

------

Wathesalonike 5:21 BHN

Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema

Matendo 17:11 BHN

Watu wa huko walikuwa wasikivu zaidi kuliko wale wa Thesalonike. Waliupokea ule ujumbe kwa hamu kubwa, wakawa wanayachunguza Maandiko Matakatifu kila siku, ili kuona kama yale waliyosema Paulo na Sila yalikuwa kweli.

Yohana 17:17

Watakase kwa neno lako; kwa maana neno lako ndilo kweli.

Yohana 14:6

Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima....

Psalm 34:8

Taste and see that the Lord is good;
 
Makala Iliyopita:

Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya:

1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

2) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye makaa ya mawe yanayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

3) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye Almasi na grafiti zinazodaiwa kuna na mabilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo).

4) Bado hakuna uwiano sawa wa utengenezaji na utolewaji wa Carbon-14 ambao kwa mahesabu ya wanamageuzi ulipaswa kufikiwa miaka 30,000 tu baada ya dunia kuwepo.

5) Kupungua kwa nguvu la shamba la sumaku la dunia, ikimaanisha kuwa kulikuwa na kiwango kidogo cha Carbon-14 hapo zamani kulinganisha na sasa, na hivyo kutoa umri mkubwa wa sampuli kimakosa.

- Pia mahesabu yanaonyesha kuwa shamba hili la sumaku haliwezi kuwa na zaidi ya miaka 10,000.

6) Kutokea kwa gharika dunia nzima ambayo ilizika idadi kubwa ya viumbe hai (mimea na wanyama), hivyo kutengeneza nishati iliyopo chini ya ardhi (fossil fuels), ambapo inakadiriwa kulikuwa na mimea na viumbe hai mara 500 zaidi ya hivi leo, kimahesabu hii ilipunguza idadi ya Carbon-14 iliyokuwepo wakati huo hivyo kupunguza uwiano wa Carbon-12 na Carbon-14.

Leo: Radioisotope dating

Kama tunavyojua karibu kila chombo cha habari, kitabu, majarida ya wanazuoni yanataja kuwa dunia ina umri wa takriban miaka 4,600,000,000 (bilioni 4.6), umri unaodaiwa kutosha kwa kiumbe cha kwanza kuibuka na mageuzi kutokea hadi kuwe na viumbe wote walipo leo hii.

Njia kuu wanayotumia kupima umri huo ni Radioisotope dating ambayo wanazuoni wanaipigia chapuo kuwa ni ya uhakika kabisa.

Njia hii (Radioisotope dating) hutumika kupima mwamba wa mgando (igneous rocks), ambazo hutengenezwa baada ya uji wa moto (molten material) kupoa na kuganda.

Mfano wa miamba ya mgando ni graffiti na basalt.

View attachment 2680166

View attachment 2680167
graffiti

Tumeshaona kuhusu isotopes na half life kwenye Makala iliyopita. Labda niongeze msamiati mmoja, umbo mtoto (daughter element) ambalo ni umbo (element) lililotokea baada ya isotope kubadilika (decay).

Uranium na Potassium ndiyo hutumika kwenye Radioisotope dating.

Uranium ni isotope ambayo ikianza kubadilika (decay) inatoa umbo mtoto Thorium, ambayo unabadilika na kutoa umbo mtoto chuma (Lead).

Potassium inakuwa Argon.

View attachment 2680170

Kama kawaida kuhesabu umri unahitaji kujua
i) idadi ya umbo mtoto
ii) kiwango cha kubadilika cha umbo husika (decay rate).

(Kumbuka: decay rates zinazopimwa leo hii ni sahihi sana, hata rate ndogo kama za miaka billioni moja, inachukua masaa machache tu kupima).

Sayansi na Dhana

Kwenye sayansi ya kupima umri wa mabaki, sayansi pekee inayoweza kushuhudiwa (Observational science) inayotumika ni hiyo kuhesabu kiwango cha umbo mtoto kwenye sampuli na kupima kiwango cha kubadilika cha umbo (decay rate).

Baada ya hapo njia zizobaki ni sayansi ya historia (Historical science). Njia hizi haziwezi kushuhudiwa.

Kwa mfano kuchunguza mazingira yaliyokuwepo wakati jiwe au mwamba fulani unatengenezwa ni sayansi ya historia.

Pia kutambua jinsi mazingira yalivyoathiri mwamba hapo zamani pia ni sayansi ya historia.

Kwahiyo, kwakuwa Radioisotope dating inatumia njia zote mbili, maana yake hatuwezi kwa uhakika kupima umri sahihi wa kitu. Tunaweza kukadiria tu kwa kutumia dhana.

Dhana tatu zinazotumiwa kwenye Radioisotope dating

i) mazingira ya mwanzo wakati mwamba/jiwe linatokea yanajulikana kwa uhakika

ii) kiwango ya umbo mtoto kwenye sampuli hakijabadilishwa na kitu kingine chochote zaidi ya radioactive decay.

iii) kiwango cha kubadilika cha umbo (decay rate) kimekuwa sawa tangu huo mwamba/jiwe utengenezwe.

Mfano wa Kioo cha saa (Hourglass)

Tunajua tunaweza kupima muda kutumia Kioo cha saa tulichokikuta kwenye chumba fulani kwa kuangalia kiwango cha mchanga kilicho juu na chini.

View attachment 2680139

Kwa kukadiria mwendo wa mchanga kushuka kutoka juu na kuangalia kiwango cha mchanga kilicho chini, tunaweza kukadiria muda uliopita tangu saa ya Kioo igeuzwe.

Mahesabu yote yanaweza kuwa sahihi (Observational science) lakini majibu yakawa sio sahihi, kwasababu hatujazingatia dhana fulani muhimu:

i) kabla kioo cha saa hakijageuzwa, je kulikuwa na mchanga chini? (Mazingira ya mwanzo)

ii) Je, kuna mchanga wote uliotolewa au kuwekwa ndani? (Ingawa hii haiwezekani kwenye mfumo wa kioo cha saa kilichofungwa, lakini mwamba/jiwe ni mfumo ulio wazi (open system)).

iii) Je, mchanga huo ulikuwa unamwagika kwa kiwango kile kile muda wote?

Kwakuwa hiki kioo cha saa tulikikuta tu na hatukuona mazingira ya kuanzia yalikuwaje, tunatengeneza dhana (assumptions). Dhana hizi zinaathiri mahesabu yetu.

UKWELI

Tunajua Radioisotope dating huwa sio sahihi muda wote kwasababu tunaweza kujaribia kwenye mawe ambayo yanajulikana umri wake.

Mwaka 1997, timu wa watafiti wa kisayansi nane walioitwa RATE
(Radioisotopes and the Age of The Earth) walienda kutafiti dhana zinazotumiwa kwenye njia za kupima umri wa vitu vya zamani (Radioisotope dating).

View attachment 2680155

Matokeo ya tafiti zao ni muhimu sana na yanaathiri moja kwa moja tarehe za mageuzi za mamilioni ya miaka!

Walichukua sampuli ya mawe yaliyotoka tu kutengenezwa (kuganda) kutoka kwenye ujiuji (lava) wa Mlima Helens na kupima kutumia Potassium-Argon.

View attachment 2680160

Mawe hayo yalikutwa na umri kati ya miaka milioni 0.5 na milioni 2.8!! Umri huo unaonyesha kuwa kulikuwa na kiwango kikubwa cha umbo mtoto Argon kilichokuwepo wakati mawe hayo yanatengenezwa!

(Ilitegemewa kuwe na kiwango kidogo sana cha umbo mtoto kwasababu muda haujapita).Kwahiyo dhana ya kwanza, kuwa mazingira ya mwanzo yanajulikana SIO KWELI.

Tena wakaenda New Zealand kwenye Mlima Ngauruhoe ambayo ni active volcano wakachukua mawe yaliyotokana lava iliyotoka baada ya Mlima huo kulipuka miaka ya 1949, 1954, 1975, miaka isiyozidi 70 tu iliyopita!

Mawe hayo yakapimwa na kukutwa na miaka kati ya milioni 0.27 na milioni 3.5! Hii tena unaonyesha ile dhana ya kwanza SIO KWELI.

Kama hii Radioisotope dating haiwezi kutoa umri sahihi wa mawe yenye umri unaojulikana kwanini tuiamini kwenye umri wa mawe yenye umri usiojulikana?

Isochron dating

Njia hii ya kupima umri inachunguza sampuli nne na zaidi kutoka kwenye jiwe Moja, badala ya kuhesabu idadi ya atomi, inatumia uwiano na grafu (ratios and graphs). Haitegemei kiwango cha umbo mtoto kuanza na sifuri kama ile njia nyingine ya kutumia sampuli moja.

View attachment 2680140

Njia hii inadhaniwa kuwa ni sahihi kwasababu inafuta dhana kuhusu mazingira ya kuanzia.

Lakini hata njia hii pia ina dhana zake kuhusu mazingira ya kuanzia na inaweza kutoa umri usio sahihi!

Kama njia ya kutumia sampuli moja na ya kutumia sampuli nyingi (Isochron dating) ni sahihi na za kutegemeka, lazima majibu yake yafanane. LAKINI mara nyingi hayafanani!

Kwa mfano, kikundi cha RATE kilichukua sampuli ambazo zilishapimwa kutoka sehemu kumi tofauti. Ili kuepuka upendeleo wowote, sampuli hizi zilipelekwa maabara tofauti tofauti.

Kwenye kila sampuli, umri uliopatikana kutumia Isochron dating ulitofautiana kwa kiwango kikubwa sana na umri uliopatikana kwa kutumia njia ya sampuli moja, tofauti hadi ya miaka milioni 500!!

Hata kwa kutumia Isochron dating ambapo wanasoma grafu za kulinganisha sampuli zaidi ya nne kutoka kwenye jiwe moja, bado kulikuwa na utofauti mkubwa sana wa umri kati ya hizo sampuli nne!

Sasa kama njia tofauti tofauti zinatoa majibu yasiyofanana hata kidogo, na hata ndani ya njia moja (Isochron dating) majibu ya sampuli tofauti kutoka kwenye jiwe moja hayafanani, wanasayansi wanawezaje kujua umri wa mawe na miamba, na hata umri wa Dunia yetu?

Kwenye case moja, walichukua sampuli kutoka huko mashariki mwa Grand Canyon, kwenye safu fulani ya miamba iitwayo Cardenas Basalt, amabayo ni kati ya safu za zamani zaidi huko.

Wakachukua pia sampuli kutoka magharibi mwa Grand Canyon ambapo kuna safu changa zaidi.

View attachment 2680158

Walitumia
Rubidium-Strontium isochron dating. Zile safu za zamani zikakutwa na umri wa miaka billioni 1.11.

Na zile safu changa zilikutwa na miaka billioni 1.14!

Yani safu za zamani zaidi na safu za karibuni zaidi zote zilikuwa na miaka billioni!

Je, tarehe zinazochapishwa kwenye vitabu na majarida ya wanazuoni ni sahihi?

Sikuzote Radioisotope dating hutoa majibu yasioendana tena Kwa utofauti mkubwa!

Kesi mbili za mfano

Kikundi cha RATE kilichagua sehemu mbili (Arizona’s Grand Canyon na milima ya Beartooth)
za kuchukulia sampuli ili wazipime kutumia njia tofauti tofauti za Radioisotope dating.

Hizo sehemu zinatambulika kuwa na umri wa kati ya miaka milioni 541 na milioni 4,600.

Sampuli zote kwanzia mawe mazima mazima na madini ya ndani ya mawe yalipimwa Kwa kutumia njia nne za Radioisotope dating:

i) Potassium-Argon (K-Ar)
ii) Rubidium-Strontium (Rb-Sr)
iii) Samarium-Neodymium (Sm-Nd)
iv) Lead-Lead (Pb-Pb)

Ili kuepuka upendeleo wowote, walipeleka sampuli kwenye maabara za kibiashara huko Canada na Massachusetts.

Umri kutoka njia zote hizo unapaswa kulingana (concordant). Usipolingana, umri unasemwa kuwa discordant.

Matokeo yalionyesha tofauti kubwa kati ya njia tofauti kwenye jiwe moja, na tofauti ya umri wa madini tofauti ndani ya jiwe ni moja i.e umri ulikuwa discordant!

Sehemu nyingine jiwe linaonekana la zamani kuliko madini yaliyo ndani yake, sehemu zingine madini yanaonekana ya zamani kuliko jiwe!

Matokeo ya umri wa madini kutumia
potassium-argon yalikutwa na tofauti ya hadi miaka milioni 1,100!

Fikiria pia sampuli ya mawe kutoka huko Grand Canyon ambayo safu ya mwamba yalipotolewa inatambulika kuwa na umri wa miaka milioni 1,070. Matokeo ya RATE yanatofautiana kabisa na umri huo.

Mawe mazima mazima yalipimwa na Potassium-Argon na kukutwa na miaka milioni 841.5, huku yakipimwa na Samarium-Neodymium yanakutwa na miaka milioni 1,379. Tofauti ya miaka milioni 537.5.

Maelezo kuelezea tofauti hizi

i) Inawezekana ilitokea kuchanganyika kwa isotopes zilizotoka kwenye uji uji (lava) na zilizokuwemo kwenye jiwe ambamo lava iligandia. Kuna njia ya kujua kama hili lilitokea hivyo sababu hii sio.

ii) Madini yaligandia kwenye jiwe katika nyakati tofauti. Lakini hakuna uthibitisho kuwa lava hupoa na kuganda kwa taratibu kiasi hicho! Yani miaka milioni bado haijaganda! . Kwahiyo hii sio sababu.

iii) Kiwango cha kubadilika (decay) kilikuwa tofauti hapo zamani tofauti na sasa. Tutachunguza kwanini haya ndo maelezo bora ya utofauti wa umri.

Gunduzi mpya

Tafiti mpya za kikundi cha RATE zinathibitisha kuwa Radioactive dating inaunga mkono Dunia changa.

Tafiti Moja inahusisha kiwango cha Helium kwenye mawe ya Granite.

Granite Ina vioo vidogo vidogo (crystals) vya zicron, ambayo vina Uranium inayobadilika kuwa chuma (Lead).

View attachment 2680171
granite

Wakati Uranium inabadilika kuwa chuma, kila atomi moja inapobadilika, atomi nane za Helium zinatengenezwa na kwa haraka haraka zinatoroka kutoka kwenye vioo vya zicron na granite yenyewe..

"Ndani ya vioo vya zicron, Helium yoyote inayotengenezwa kupitia radioactive decay ilipaswa kuwa imetoroka zamani. Ungetegemea gesi ya Helium itoke ardhini na kupotelea angani. Cha kushangaza, kiwango kikubwa sana cha Helium kimekamatwa kwenye vioo vya Zicron.

Kiwango cha kubadilika (decay rate) cha Uranium ni kidogo (half life yake ni miaka billioni 4.5). Na kwakuwa Helium hutoroka haraka kutoka kwenye mawe, hakukupaswa kuwa na Helium kwenye vioo vya zicron.

Kwanini Kuna kiasi kikubwa sana cha Helium kwenye Granite?

Moja ya sababu inayowezekana ni kuwa, muda fulani hapo zamani kiwango cha kubadilika (decay rate) kiliongezwa kwa spidi kubwa. Kilikuwa kikubwa sana kiasi kwamba Helium ilitengenzwa kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyokuwa inatoroka, na kusababisha kiwango kikubwa cha Helium kibaki kwenye Granite.

Kikundi cha RATE kimekusanya uthibitisho kuwa hapo zamani viwango vya kubadilika viliwahi kuongezwa kwa spidi (accelerated).

Majaribu (experiments) yaliyoagizwa na kikundi cha RATE yamehakikisha kwa uwazi kabisa utabiri uliotolewa na modeli ya Uumbaji.

Data na uchambuzi umeonyesha kuwa kiasi cha kupotea (decay) ,kilichopaswa kutoka ndani ya miaka billioni kimetokea hivi karibuni, kati ya miaka 4,000 na 8,000 iliyopita.

Uhakiki huu unapatikana kupitia weusi uliotengenezwa na mionzi iliyotokea wakati wa kubadilika kwa Uranium na moja ya umbo mtoto wake Polonium (Uranium and Polonium radiohalos), ambao ulitengenezwa pia kwa wakati huo huo kwenye chembe za madini ya Biotite ndani ya hiyo hiyo Granite.

View attachment 2680151

( Radiohalos—The Mysterious Vanishing Bullets )

Weusi huu (radiohalos) ni uthibitisho unaoshuhudiwa (observable evidence) kuwa kuna decay nyingi iliyotokea kwenye historia ya Dunia.

View attachment 2680163

Lakini kwasababu huyu umbo mtoto Polonium ni wa muda mfupi sana (anabadilika ndani ya dakika tatu (3) tu, kulinganisha Uranium inayomchukua miaka milioni 4.47), basi ule weusi iliosababishwa na Polonium (Polonium radiohalos) ulipaswa kuwa umetokea ndani ya masaa machache au siku chache tu.

Lakini ili kupata kiwango cha Polonium cha kutoa weusi huo wa Polonium uliopo (Polonium radiohalos), ndani ya muda huo mfupi, atomi za Uranium zilipaswa kupotea (decay) kwa kiwango kikubwa zaidi (accelerated rate).

Kwahiyo kiwango cha Uranium ambacho kilipaswa kupotea ndani ya miaka mamia ya mamilioni (kwa kulinganisha na decay rate ya leo) kilipaswa kutokea ndani ya masaa machache au siku chache Ili kutokeza weusi huu uliosababishwa na mionzi.

Kikundi cha RATE kimependekeza kuwa, kuongezeka huku wa kupotea (accelerated decay) ulitokea ndani ya wiki ya Uumbaji, au kipindi cha gharika.

Accelerated decay ya kiwango hichi ilisababisja joto kubwa sana kwenye mawe. Kutambua jinsi joto hili lilivyotolewa kutoka kwenye mawe ni fursa mpya yenye kusisimua kwa watafiti watetea uumbaji.

Kwa viwango vya Helium vilivyoganda kwenye Granite vilivyopimwa, uchunguzi umekadiria umri a vioo vya zicron kuwa miaka 6000 +- 2000.

Hii inapatana na historia ya biblia kihalisi, na ni umri mdogo wa zicron mara 250,000 kuliko ule wa miaka billioni 1.5 unaotangazwa.

Data za kiwango cha kutoka kwa Helium (Helium diffusion data) zinaunga mkono modeli ya Dunia changa (Young Earth).

Hitimisho

Njia nzuri ya kujifunza kuhusu historia na umri wa Dunia ni kurejea kitabu cha Historia cha Ulimwengu - BIBLIA.

Wanasayansi wengi na wanatheolojia wengi wanakubali usomaji wa moja kwa moja wa biblia na wanakubali kuwa Dunia Ina miaka 6000.

Ni bora kutumia neno la Mungu kutengeneza dhana zetu za kisayansi kuliko kubadilisha NENO Ili liendane na dhana za kibinadamu zenye dosari!

Sayansi ya kweli itaunga mkono neno la Mungu.

Tuhitimishe pia kuwa kwakuwa nuclear decay tayari imeonekana kuwa iliongezwa spidi hapo zamani wakati mawe yalikuwa yanatengenezwa kutokea kwenye uji uji, hadi kutengeneza vioo (crystalizing) hadi kupoa, njia za radiometric dating haziwezi kupima umri wa uhakika kwa decay rates za leo zilizo taratibu, kwa kutumia dhana ya constant decay wakati wote wa historia ya dunia!

Radiometric dating sio njia za kutegemeka kabisa na hazithibitishi kuwa Dunia ni ya muda mrefu!

Makala kwa hisani ya answersingenesis.org

*******

Lengo langu lilikuwa kuandika na kutafsiri makala mfululilizo kuhusu uthibitisho wa historia mbalimbali kama vile uthibitisho wa usahihi wa biblia kihistoria, ufufuo wa Yesu, wa gharika la Noah n.k, lakini nimeona niishie hapa!

Biblia ni kitabu cha kihistoria sahihi na chenye kutegemeka chenye rekodi za matukio halisi yaliyotokea, ambacho pia kinaungwa mkono na vitabu vingine na waandishi wengine na kila leo wanavumbua mabaki mapya yanayothibitisha matukio yaliyotokea kwenye biblia.

Kwanzia rekodi za vizazi na koo, rekodi za wafalme na muda wao wa utawala, kumbukumbu za mataifa (annals), taarifa za kiserikali za mataifa mengine n.k.

Kuna unabii mwingi uliandikwa kitambo kabla ya matukio na kweli yalitokea miaka mingi baadae, hasa unabii kuhusu Masihi/Kristo.

Pamoja na kuwa vitabu vya biblia havikuandikwa kwenye nyenzo zinazodumu kama mawe lakini imewezakana kuinakili na kuipitisha tena kwa kopi nyingi kwa kila kitabu.

(Pamoja na kuwa kuna maandishi ya zamani kuliko biblia, lakini tumuangalia muandishi, lengo lake, heshima yake kuelekea ukweli na anayefuata viwango vya haki. Mfano mdogo, watu wengi mashuhuri kwenye Biblia wamendikwa na makosa yao wakati huku duniani hawakuandika madhaifu ya watu mashuhuri ili waonekane mashujaa, mfano Musa aliua, Daudi aliua na alizini, Paulo aliunga mkono wanaoua wakristo n.k)

Pamoja na kuwa Biblia ni
jumla ya vitabu 66,
kutoka kwa waandishi 40,
kutoka mabara matatu,
walioandika kwa miaka 2,000,
kwa lugha 3,
kutoka kila kada (Wafalme, waamri jeshi, makuhani, wavua samaki, wachungaji n.k),
walioandika kutoka kila mahali (kwenye makasri yao, kifungoni, uhamishoni, nyikani n.k),
walioandika historia, sheria, unabii, methali, mashairi),
kuhusu mada chungu nzima,

Bado kuna upatano na ushikamano wa taarifa, ambapo taarifa kuu ilikuwa ujio wa Masihi.

Hizo zinazosemwa na waongo kuwa ni contradictions mara nyingi huwa ni:

- Hasa kusoma nje ya muktadha

(mfano, Je Mungu hujuta? Je, kila anayeliitia jina la Bwana ataokolewa? Yesu alimponya yule kipofu wapi? Je Abraham alihesabiwa kuwa muadilifu kwa imani au kwa matendo? n.k)

- tafsiri iliyokosewa

(mfano, Je wote tuna dhambi? Je Yesu ni Mungu?)

- kutozingatia matumizi ya lugha i.e halisi au ya mfano

(mfano Je, watoto watii wazazi au wachukie wazazi Ili wamfuate Kristo? Mwandishi kuandika kuhusu jua kutua na kuchomoza inamaanisha Biblia haijui sayansi?)

- kutozingatia mtazamo wa mwandishi. Watu wawili walioshuhudia jambo moja wanapotoa taarifa wanaweza wasiseme maneno yale yale kikamili, lakini ujumbe unapaswa kuwa mmoja.

(mfano askari aliongea na Yesu mwenyewe au alituma wazee waongee na Yesu kuhusu mtumishi wake mgojwa?)

- historia na tamaduni

(mfano, Yesu alisulubiwa saa ngapi?)

- matatizo ya kisaikolojia. Mtu anelezea hisia zake tu. Haoni tu, hajisikii tu.

(Mfano, miujiza haiwezekani kwahiyo Biblia sio ya kweli kwasababu kuna miujiza humo. Kwahiyo anakataa miujiza hivyo anakataa Biblia ambayo inaelezea Mungu mwenye uwezo wa Miujiza ambayo anaikataa hivyo anakataa Biblia ambayo inaelezea......... circular reasoning. Inshort anasema Biblia sio ya kweli kwasababu sio ya kweli).

Nakusihi uitazame na uichunguze Biblia upya!

-----

Niwatakie msako mwema wale wapole wenye njaa na kiu ya Kweli.

View attachment 2680144
------

Wathesalonike 5:21 BHN

Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema

Matendo 17:11 BHN

Watu wa huko walikuwa wasikivu zaidi kuliko wale wa Thesalonike. Waliupokea ule ujumbe kwa hamu kubwa, wakawa wanayachunguza Maandiko Matakatifu kila siku, ili kuona kama yale waliyosema Paulo na Sila yalikuwa kweli.

Yohana 17:17

Watakase kwa neno lako; kwa maana neno lako ndilo kweli.

Yohana 14:6

Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima....

Psalm 34:8

Taste and see that the Lord is good;
Bible haiwezi kuwa sahihi katika kuelezea history ya dunia.
Bible ni jambo la kiimani tu na imetungwa tu nawatu.

Unafahamu hiyo genesisi ilinakiliwa wapi!?
 
Unaandika nakala ndefu hadi nashindwa kuzisoma, toa themes basi unazojaribu kuportray ndo itasaidia
 
Bible haiwezi kuwa sahihi katika kuelezea history ya dunia.
Bible ni jambo la kiimani tu na imetungwa tu nawatu.

Unafahamu hiyo genesisi ilinakiliwa wapi!?
Huwa simuelewi jamaa kabisa na makala zake ndefu na ndo maana zinakosa wachangiaji
 
Bible haiwezi kuwa sahihi katika kuelezea history ya dunia.
Bible ni jambo la kiimani tu na imetungwa tu nawatu.

Unafahamu hiyo genesisi ilinakiliwa wapi!?
Tahadhari kama unafikiri ku copy maandishi ya jamii zingine ilikuwa ni kawaida. Haikuwa hivyo! Tena wayahudi wakopi wababiloni?

Ni kweli kuna story za wapagani ziliandikwa kabla ya kitabu cha Mwanzo kuelezea uumbaji na gharika.

Kuna sababu nyingi za kuona kuwa muandishi wa kitabu cha Mwanzo aliandika mahususi ili kukataa masimulizi hayo, na sio kuwa alikuwa anawaigilizia.

Pia muandishi wa Mwanzo alikuwa anaandika hitoria in chronological order, na sio hadithi za matukio yasioeleweka zilizoongezwa vionjo kama zilivyoandikwa na wapagani, ndomana mbali na hiyo uumbaji na garika hakuna kingine wanachofanana.

Pia ni uthibitisho wa garika kwani ilikuwa ni kumbukumbu iliyorithishwa vizazi vilivyotapakaa tangu watengane kutoka kwenye Mlima Babeli.

Naweza kukupa link kwa taarifa zaidi kama unataka but I won't debate this here.
 
Bibilia inaweza ikawa na fiction stories
Na science inaweza ikawa na foolproof at the moment

And as time goes on, am talking century and centuries truth will be hard to be known
 
Ukweli unasimama milele! Hiyo ndo sifa ya ukweli! Utaukataa na kuuchepusha na kwenda njia nyingine lakini kama ni KWELI, utakuja kukupiga tu usoni, eventually utakubali tu mwenyewe nafsini mwako hata ukikataa kukubali mbele za watu.
 
Tahadhari kama unafikiri ku copy maandishi ya jamii zingine ilikuwa ni kawaida. Haikuwa hivyo! Tena wayahudi wakopi wababiloni?
Ndiyo inawezekana.
Wewe unafikiri ni kwanini zinafanana ilihali hizo hadithi za uongo za uumbaji zilitangulia kuandikwa na wasumeri (Babilon/Iraq ya sasa) kabla ya kuandikwa na wayahudi.

Kwanini unadhani wayahudi hawawezi kucopy?

Ni kweli kuna story za wapagani ziliandikwa kabla ya kitabu cha Mwanzo kuelezea uumbaji na gharika.

Kuna sababu nyingi za kuona kuwa muandishi wa kitabu cha Mwanzo aliandika mahususi ili kukataa masimulizi hayo, na sio kuwa alikuwa anawaigilizia
Hapo unapoongelea Pagans sijajua unaongelea kwa kumaanisha ni nini.

Kwa mujibu wako Unaelewa mpagan ni mtu wa aina gani?

♦️ Kama mwandishi wa kitabu cha mwanzo aliandika kukataa masimulizi yaliyokuwepo mwanzo, huoni kuwa hii ni mbinu chafu ya myahudi kutaka kuhalalisha ya kwake!?

Kwanini akatae kilichomtangulia?
Unafurahia kuona Mohammed alivyokuja kukataa hadithi za kwenye bible naye akaja na zake za ukweli kuliko biblia?

Kwanini myahudi hakuja na hadithi yake?

Kwanini hadithi hiyo ianzie kwa hao Wapagan? (kwa mujibu wako)

Kwamaana hata story ya Uumbaji ya bible ukiisoma unaelewa kabisa kuwa kuna miungu zaidi ya mmoja wakiwa wanawasiliana katika kuumba, sawa sawa kabisa na hadithi za epic of Gilgamesh za kule summeria.

Lakini kwasababu imani hazilazimiki kufuata kanuni wanatheology wakaja wanatuambia kuwa Mungu huyo huyo alikuwa anazungumza na yesu kuwa "Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu"

Tumeona hadithi ya wasumeri, Mungu Enki (Mungu wa maji, hekima na ufundi) akimpatia taarifa Atrahasis kujenga safina ili kuwakomboa watu ikibadilishiwa majina ya wahusika tu, kwenye bible akaitwa Nuhu.

Sasa kabla sijamwamini Nuhu lazima nimuamini Atrahasis kwanza.
Hiyo hadithi original iko kwa wasumeri na sio biblia.
Ila ni kweli kwako tu kwasababu wewe ni muamini wa biblia.
 
Ndiyo inawezekana.
Wewe unafikiri ni kwanini zinafanana ilihali hizo hadithi za uongo za uumbaji zilitangulia kuandikwa na wasumeri (Babilon/Iraq ya sasa) kabla ya kuandikwa na wayahudi.

Kwanini unadhani wayahudi hawawezi kucopy?

Hapo unapoongelea Pagans sijajua unaongelea kwa kumaanisha ni nini.

Kwa mujibu wako Unaelewa mpagan ni mtu wa aina gani?

♦️ Kama mwandishi wa kitabu cha mwanzo aliandika kukataa masimulizi yaliyokuwepo mwanzo, huoni kuwa hii ni mbinu chafu ya myahudi kutaka kuhalalisha ya kwake!?

Kwanini akatae kilichomtangulia?
Unafurahia kuona Mohammed alivyokuja kukataa hadithi za kwenye bible naye akaja na zake za ukweli kuliko biblia?

Kwanini myahudi hakuja na hadithi yake?

Kwanini hadithi hiyo ianzie kwa hao Wapagan? (kwa mujibu wako)

Kwamaana hata story ya Uumbaji ya bible ukiisoma unaelewa kabisa kuwa kuna miungu zaidi ya mmoja wakiwa wanawasiliana katika kuumba, sawa sawa kabisa na hadithi za epic of Gilgamesh za kule summeria.

Lakini kwasababu imani hazilazimiki kufuata kanuni wanatheology wakaja wanatuambia kuwa Mungu huyo huyo alikuwa anazungumza na yesu kuwa "Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu"

Tumeona hadithi ya wasumeri, Mungu Enki (Mungu wa maji, hekima na ufundi) akimpatia taarifa Atrahasis kujenga safina ili kuwakomboa watu ikibadilishiwa majina ya wahusika tu, kwenye bible akaitwa Nuhu.

Sasa kabla sijamwamini Nuhu lazima nimuamini Atrahasis kwanza.
Hiyo hadithi original iko kwa wasumeri na sio biblia.
Ila ni kweli kwako tu kwasababu wewe ni muamini wa biblia.
Kwamba kwakuwa walikuwa wa kwanza kuandika maana yake waliandika ukweli? Umemaliza analysis!

Waliopigwa kwenye majimaji war wangeandika wa kwanza kuwa wao ndo walishinda maana yake wao ndo wa kweli!

That's not how this works. This is historical science so it's all about data interpretation, you have to consider as many facts as possible.

Nimekuelezea kwa sentensi moja kuwa wanahistoria wamehitimisha kuwa muandishi wa Mwanzo alikuwa akikana masimulizi wa wababiloni.

Wamefanya analysis ya mambo mengi kufikia hapo, mfano mmoja nimekupa jinsi kitabu cha Mwanzo ni mchakato wa matukio yaliyoenda maelfu ya miaka, wakati story za wababiloni ni hizo tu, hadithi zisizokuwa na lengo, tena zilizoongezwa vionjo.

Ukitaka kusikia jinsi wanahistoria wamehitimisha Biblia kuwa kitabu halisi cha Historia, utatafuta habari mwenyewe ukisukumwa na hamu yako na sio mimi kukaa kubishana na wewe, the information is in plain sight, imefichwa na mioyo migumu!

This is my last reply to you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom