Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi...
15 Reactions
197 Replies
17K Views
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe...
85 Reactions
250 Replies
20K Views
Wanajamvi Salam. Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million...
13 Reactions
130 Replies
9K Views
Kuna nadharia zaidi ya milioni moja kutoka mataifa na meaneo mbali mbali yenye kusimulia kuhusu uwepo nguvu isiyo ya kawaida , nguvu yenye uwezo wa kuumba na kutoa uhai.(supernatural power )...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari watu wangu wa nguvu, Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kila ninapowaza kuhusu maisha mengine baada ya haya ya duniani huwa najawa na maswali mengi ambayo sijawahi kupata majibu yake mazuri, Mfano Swali la kwanza ni tofauti kubwa sana kati ya...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in...
37 Reactions
110 Replies
11K Views
Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa. Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya. Malalamiko yao yanakuja baada ya...
19 Reactions
73 Replies
8K Views
Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba. Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma...
3 Reactions
10 Replies
921 Views
HII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA EGYPT 1. Euclid of Alexandria huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt amefanya kazi katika European...
12 Reactions
199 Replies
24K Views
Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
"Ding-dong!" goes the doorbell. Is it Avon calling? Or perhaps Ed McMahon with my three million dollars? No, it's Yahweh's Witlesses again, just wanting to have a nice little chat about the...
5 Reactions
178 Replies
15K Views
Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Dunia imekuwa kama kijiji kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha mwanadamu wa kugundua hata ambavyo vilifikirika kwamba haviwezekani Elimu na ufahamu kuhusu mwili wa mwanadamu kuanzia kuumbwa...
46 Reactions
681 Replies
122K Views
??????? Swali hili ni Muhimu sana hasa dunia ya leo maana limeigawa katika vipande viwili ambavyo havina ukaribu wala ufanano hata chembe. 1:Wanaoamini Dunia iliumbwa(Creationists) - Dunia ina...
13 Reactions
214 Replies
24K Views
Habari Za Muda huu wanajamvi! Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation)...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Jamii imekuwa ni mwongozo wetu kwenye kuishi, hisia zetu mawazo na kufikiria mara zote yanatokana na jinsi jamii ilivyotutafsiria maisha. Kinachotokea ni tunakuwa zao la jamii inavyotaka na kukosa...
1 Reactions
4 Replies
555 Views
MATE, Mwaka 33AD baada ya Kristo kuondoka duniani aliliacha kanisa mikononi mwa Peter kama papa/baba wa kwanza katika kueneza Imani na ushuhuda wa Kristo, Paulo akishirikiana na mitume/wanafunzi...
26 Reactions
60 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…