Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,718
Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa.
Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu ni Director wa CIA.
Lakini sisi tupo hapa hatujaona chochote bado,wanakuja watu toka nje wanatueleza itatokea vita.
Vita,for what reason? Hata Jenerali anapokwenda war school,anafundishwa kwamba vita yake anayitaka kuianzisha lazima iwe na malengo yanayoeleweka. What does he want to achieve?
Watu hawa wanataka kuleta Balkanization of the Great Lakes region,wanataka kuleta universal,widespread chaos.
Natamani ningejua zaidi mambo yanayotokea kule DRC. Wapo watu kule wanajiita Wazalendo,wameamua kuchukua mambo mikononi mwao. Wamewafukuza MONUSCO na sasa they are shooting at the M 23,na wanapata mafanikio makubwa.
Lakini apparently Jeshi la Uganda linakuja and it is shooting at these Wazalendo. Kwa sababu hawa M 23 walikuwa wanasaidiwa na Kagame,lakini sasa Jeshi la Kagame limelemewa sana,na Kagame is in despair. Huyo Kagame,he is in a state of great panic.
Tshitsedeki alisema akichaguliwa kwa muhula wa pili,ataishambulia Rwanda. But surely,that was just campaign rhetoric?
We don't know what's happening now. Lakini,we know what happening. Last time,that was twenty five years ago. last time. Kagame na M7 walitumwa na Wamarekani kumuondoa Mobutu.
Zoezi la kumuondoa Mobutu liliratibiwa na State Department.
Halafu Mwalimu Nyerere alikuwa anashiriki katika zile negotiations,not having the slightest idea what was going on.
I've written enough. Maybe I should go to Church now