Ndege ya British Airways aina ya Boeing 747-400 imegonga jengo dogo la ofisi kiwanjani Oliver Tambo, Johannesburg Afrika Kusini. Ilikuwa inaelekea kondoka kwenda London, Uingereza.
Inaelekea ni...
Hapa chini ni baadhi ya mbinu za kukuwezesha kufaulu interview hata kama mko wengi na wanahitajika wachache.siku zote watu wamekuwa wakifanya maandalizi duni katika interview na hivo kuambulia...
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.
Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na...
Salama wana jf wote !
Ni ukweli usiofichika pia asilimia kubwa sana ya Watanzania nyoyo zao zinahuzunika sana hasa hili tatizo la madawa ya kulevya kuonekana kuishinda Serikali kabisa...
Inasemekana kuwa wanasayansi ktk nchi zilizoendelea wanaamini kuwa tishio kubwa kuliko lote duniani ni ongezeko la wanaadamu, wanaamini kuwa wanaadamu ndo wanaoharibu mazingira kuliko viumbe...
Ndugu zangu Watanzania
Nilichokiona Leo kinanipa Picha halisi Kwamba CCM pasina shaka inajiandaa Na Mauaji ya Halaiki Kama Yale ya Kimbari Rwanda.
Wengine hawajui niseme nilichokiona Leo...
Wasomi duniani wanajitahidi sana kutumia elimu zao katika kutatua shida mbalilmbali jamii inazokutana nazo ikiwa ni pamoja na kuwapa ushauri. Wonderful enough they fail to use their education for...
Wakuu habari zenu,
Mimi nikiwa sina kazi siku za wikiendi huwa napenda sana kwenda movie na vijana wangu juzi kati nilikuwa mmoja ya watu n waliokuwapo katika kuangalia movie mpya ya Skyfall...
Habari zenu wakuu nachukua hatua hii muhimu kwa ajili ya kuokoa nchi yangu ya tanzania dhidi ya mtu huyu ambaye ni wazi kabisa anauhusiano na kikundi cha alshaba cha nchini somalia.
Huyu bwana...
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari...
1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.
2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.
Seal team six ni branch ya US Special Naval operation iliyoanzishwa mwaka 1987. Ni team inayoundwa na makomandoo waliowekwa tayari kwa ajili ya special missions ambazo huwa ni high risky. Hawa...
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini...
siku ya 6 August 2011 ni siku ambayo helikopta ya kijeshi ya marekani iliyobeba askari wa jeshi la marekani wakiwemo SEAL TEAM SIX ilitunguliwa huko Afghanistani,kwa ujumla ndani ya helikopta...
Wakuu nimejikuta nikijiuliza maswali kadha wa kadha kuhusiana na hiki chombo kinachoitwa usalama wa taifa.
1. Je chombo hiki kina bajeti?
2. Bajeti hiyo huwa inajadiliwa bungeni na...
Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV.
Dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.