Askari wa Rwanda wafanya Shambulizi Mpakani

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,413
2,000
Kuna tetesi zimezagaa hapa Mwanza kuwa Askari wa Rwanda wamefanya shambulizi la kijeshi mpakani na Tanzania. Jee kuna ukweli wowote juu ya hili? Wenye vyanzo vizuri vya habari wafuatilie na kutujuza juu ya jambo hili hatari.
 
Commanche

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
1,168
0
Naona zimeanza propaganda za anti-Kagame. Watakuja FAR and interahamwe sympathizers sasa hivi hapa. Oh well tusubiri tusikie habari kamili. Lakini nina wasiwasi sana na ukweli katika hili. Pres Kagame ni kiongozi makini sana. Napata taabu kuamini kuwa anaweza akapotoka kiasi cha kutaka kuishambulia Tanzania. Hana jeuri hiyo. Mwenzi wake Maj. Buyoya alitaka kujaribu miaka ya nyuma, TPDF wakamwambia tutaingia Bujumbura in an hour, akanywea (and he had legitimate reasons to attack because CNDD-FDD and other Hutu rebels were using parts of Tanzania as rear bases and were "allegedly" supplied arms by "some" Tanzanian big wigs). Oh well, tuombe amani kwani vita ni ya kuisikia tu.
 
KATUMBACHAKO

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
397
225
tz3.jpg

ngoja tujiandae tukawachakaze!
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Naona zimeanza propaganda za anti-Kagame. Watakuja FAR and interahamwe sympathizers sasa hivi hapa. Oh well tusubiri tusikie habari kamili. Lakini nina wasiwasi sana na ukweli katika hili. Pres Kagame ni kiongozi makini sana. Napata taabu kuamini kuwa anaweza akapotoka kiasi cha kutaka kuishambulia Tanzania. Hana jeuri hiyo. Mwenzi wake Maj. Buyoya alitaka kujaribu miaka ya nyuma, TPDF wakamwambia tutaingia Bujumbura in an hour, akanywea (and he had legitimate reasons to attack because CNDD-FDD and other Hutu rebels were using parts of Tanzania as rear bases and were "allegedly" supplied arms by "some" Tanzanian big wigs). Oh well, tuombe amani kwani vita ni ya kuisikia tu.

umeharibu uzi wako ulipoandika "kagame ni kiongozi makini sana" nimekudharau.
 
rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
0
Anafunga wapinzania wake vifungo virefu gerezani, juzi kamfunga yule mama wa kihutu. hana ushupavu bari anatumia jeshi lake kuua na kufunga wananchi wenye mtzamo tofauti.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,413
2,000
Wamewashambulia raia? Au wanajeshi? Mwenye tetesi atujuze juu ya jambo hili!

Nimeileta tetesi hii baada ya kuisikia ili wana JF wenye access na habari za ndani watujuze na kama haina ukweli tuweze kuitupa. JF ili ibaki mahala pa kwanza kupata habari za ukweli.
 
Commanche

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
1,168
0
umeharibu uzi wako ulipoandika "kagame ni kiongozi makini sana" nimekudharau.

Jogi mkuu,

Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kutofautiana na Pres Kagame haina maana tumpuuzie au kupindisha yale mema na mazuri anayoyatenda kwa nchi yake na wana-nchi wake. Amefanikiwa katika mambo mengi sana na watu wa Rwanda wanamkubali kwa hilo. We can debate on his methods but the truth of the matter is the guy gets things done in an efficient and effective manner. Watu wa Rwanda wana discipline sasa hivi kwa sababu ya uongozi thabiti wa Baba Kagame. Wengi wanaompinga Kagame either ni wa-Hutu wenye mrengo mkali wanaotawaliwa na ukabila na chuki za visasi e.g. terrorist Victoire Ingabire, Ngeze etc au wa-Tutsi malimbukeni na wenye tamaa ya madaraka wanaomuonea donge Pres Kagame na mafanikio aliyoyaleta katika kipindi kifupi cha utawala wake. Hii inajumuisha na viongozi wasio na shukrani akiwamo Gen. Nyamwasa na wengineo ndani ya Rwanda.
 
Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
894
195
Haya sasa, Mkulo yupo U.S,wa kuithnisha pesa yupo South, wa kuruhusu jeshi ameshajiuzulu! Itakuwa majanga!
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,906
2,000
sidhani kama anaweza attempt that suicidal risk, as the nearest place from kigali to tz border is about 45m or 1 hr drive , kipindi cha ule mvutano wa maneno, people in kigali were moving around with money in their pockets ready to jet off any time if something breaks off, hali ilikua tete, wananchi wa kawaida na wenyewe wanajua historia ya tz katika vita so atafikiria mara mbili kufanya hivyo..
 
East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Haya sasa, Mkulo yupo U.S,wa kuithnisha pesa yupo South, wa kuruhusu jeshi ameshajiuzulu! Itakuwa majanga!

Hakuna askari yeyote duniani anayesubiri amri ya kuruhusiwa na kamanda kupiga kibaka anayewarushia mawe askari wawe wa kimarekani au wa kikurya iwe mtaani au mpakani.Askari wa kikurya akirushiwa jiwe liwe la plastic au kombora lazima aanzishe kipigo hapo hapo mura!!
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,036
2,000
Hizi ni tetesi jamani wana jf waliopo eneo husika tunaomba mtupe habari kamili kwani hili suala ni NYETI SANA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom