Udukuzi Wa Marekani

Y

young super

Senior Member
Joined
Jan 21, 2013
Messages
168
Likes
161
Points
60
Y

young super

Senior Member
Joined Jan 21, 2013
168 161 60
Inasemekana Kuwa Udukuzi Wa Marekani Upo Hadi Ikulu Ya Tz Hv Kuna Umuhimu Gani Wa Kuwa Na Urafiki Mataifa Yanayo Wachunguza Ki Siri?
 
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
401
Likes
44
Points
0
Age
40
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
401 44 0
Hakuna umuhimu,tatizo letu la umaskini wa kujitakia ndo linatufanya tuwe waoga.
 
Mbeky

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
673
Likes
181
Points
60
Mbeky

Mbeky

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
673 181 60
Inasemekana Kuwa Udukuzi Wa Marekani Upo Hadi Ikulu Ya Tz Hv Kuna Umuhimu Gani Wa Kuwa Na Urafiki Mataifa Yanayo Wachunguza Ki Siri?
Swali la kizushi hivi wewe unapungukiwa nini Marekani wakifanya udukizi ikulu ya TZ..??
 
Ubavu

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Messages
2,696
Likes
2,560
Points
280
Ubavu

Ubavu

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2012
2,696 2,560 280
mi nadhani sio tatizo kwani hyo ndio intelijensia yenyewe kinachotakiwa ni kulinda mianya yote ya habari na sisi kujitahidi kupata info zao !
 
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
4,484
Likes
2,620
Points
280
Age
53
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
4,484 2,620 280
Udukuzi ni sehemu ya maisha, kama wewe hujaanza udukuzi anza sasa. Udukuzi utakusaidia nani anatembea na mkeo, nani anapanga njama za kuiba gari lako, basi lipi ni bovu usipande, kiwanja kipi kimeuzwa mara mbili usikinunue, nani ana chuma ulete mtaani kwako, n.k. Udukuzi una faidi nyingi sana kuliko hasara. Dukua tu hata kama mtu ni rafiki yako namna gani, jambo la msingi ni kuhifadhi vizuri taarifa za mtu usizozihitaji na zisizo na madhara kwako ambazo ulizipata wakati wa kudukua. Marekani ina haki ya kumdukua yeyote yule kwasababu hakuna mtu, taasisi wala nchi iliyoipatia Marekani taarifa yoyote ya kuepusha mashambulizi yale ya Septemba 11, hivyo ina haki ya kum-suspect mtu yeyote duniani.
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,979
Likes
9,988
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,979 9,988 280
bila hiyo mambo hakuna nchi, ni kuzidiana tu ujanja wenyewe wako mbali sana uwezo wa ni mkubwa zaidi na umeboreshwa
 
Mbeky

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
673
Likes
181
Points
60
Mbeky

Mbeky

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
673 181 60
Udukuzi ni sehemu ya maisha, kama wewe hujaanza udukuzi anza sasa. Udukuzi utakusaidia nani anatembea na mkeo, nani anapanga njama za kuiba gari lako, basi lipi ni bovu usipande, kiwanja kipi kimeuzwa mara mbili usikinunue, nani ana chuma ulete mtaani kwako, n.k. Udukuzi una faidi nyingi sana kuliko hasara. Dukua tu hata kama mtu ni rafiki yako namna gani, jambo la msingi ni kuhifadhi vizuri taarifa za mtu usizozihitaji na zisizo na madhara kwako ambazo ulizipata wakati wa kudukua. Marekani ina haki ya kumdukua yeyote yule kwasababu hakuna mtu, taasisi wala nchi iliyoipatia Marekani taarifa yoyote ya kuepusha mashambulizi yale ya Septemba 11, hivyo ina haki ya kum-suspect mtu yeyote duniani.
Haaaa haaa nimeipenda sana hii...ningekuwa na uwezo ningekupa hata likes mia...
Udukizi ndio habari ya mjini kama mpaka leo hii hujaanza kudukua basi mambo mengi yamekupita pengine hata huyo mkeo/demu washaanza kukumegea kimya kimya bila ya we kujua...
 
F

frank cain

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Messages
470
Likes
1
Points
0
F

frank cain

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2012
470 1 0
na wanadukuaga mambo mengi - makubwa kwa madogo. na inawasaidia kutupeleka watakavyo.
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,763
Likes
17,420
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,763 17,420 280
Kama mtu ni Gaidi lazima tu atahangaika hangaika
 
Forum statistics

Threads 1,275,066
Members 490,894
Posts 30,531,990