Huyu ndugu ni mtumishi wa umma.
Baadhi ya maamuzi afanyayo yamejikita kwenye hisia na fanatism kwa chama tawala badala ya misingi ya kisheria.
Ni wajibu, na haki yetu kumdadavua huyu ndugu...
Wana JF,
Hivi mmewahi kusikia habari yoyote kuhusu Teolojia ya Maendeleo? Kama bado, hauko peke yako. Wengi bado. Lakini kwa leo, pokea andiko la Mwanateolojia mmoja Mtanzania ukalipitie. Anaitwa...
Wakuu,
Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa...
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.
Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu...
Habari Wana Jamvi?
Hivi Kwanini Paka Dume Wana Tabia Ya Kupotea? Na Je Wakipotea Huwa Wana Elekea Wapi??
Kuna Uhusiano Gani Uliopo Kati Ya Paka Dume Na Imani Za Kishilikina?
KUFUTA CHALE ZA WANGA
kwakweli ukiongelea juu ya chale za wanga,jua kwamba kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI ambayo huwa anawekwa mtu usoni na...
I. INTRODUCTION
A challenge of colonization and decolonization of the human mind is the subject matter which has severally been addressed by different authors. They include: Kwasi Wiredu, Gustavo...
Jambo hilo lenye kushangaza hutukia kwa sababu dunia inapozunguka jua kila mwaka, mhimili wa dunia huwa umeinama kwa digrii 23.5 kutoka kwa jua. Hivyo, wakati wa kiangazi katika Kizio cha...
Mitandao ya simu ipo mingi tu, na kila kukicha utasikia mtandao umeanzisha bahati nasibu kwa mfano sasa airtel utasikia shinda gari aina ya IST au vodacom JAY milioni. lakini concern yangu ni...
Ilikuwa ni usiku wa jana kuamkia leo nilipojikuta naingia kwenye ndoto ambayo mpaka sasa sijapata kujua ikomaanisha nini.
Ndoto Yenyewe:
Tulikuwa watu wawili yaani nimimi na mdogo wangu, mdogo...
Wanajamvi, wasalaam
Nimekua nikiwaza kuhusu vifaa vinavyoenda kufanya tafiti kwenye sayari zingine mf. Apolo, vifaa hivi nina hakika vimetengenezwa kuwa na mwendikasi kwa kuzingatia vigezo vingi...
DUNIA IMEKWISHA
Kuna Msichana huwa ananikera sana
Kila siku yeye kumpondea na kumtukana Paroko wetu nikijaribu kumwambia aache ni dhambi kuwasonta vidole watumishi wa Mungu ananijibu kwa dharau...
Habari zenu wana JF,
Ningependa kwa wanaojua maana ya giza ni nini wanijuze nilisha tafakari nikakosa majibu na hata nilishawauliza baadhi ya watu waliishia kuguna tu.
Inavyoonekana kuna vitu...
Why get cross about Xmas?
By Emma Griffiths
BBC News
It fits neatly on shop sale signs and in headlines but the word 'Xmas' has a tendency to get people riled.
Some complain it takes the...
Habari zenu wajuzi wa mambo,
Ni mgeni kwenye JamiiForums. Nilivutiwa kujiunga kwani nilikuwa nautembelea sana huu mtandao, kwani una mambo mengi mazuri.
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anajua...
Habari zenu wakuu,
Kuna kitu kinaitwa future ningepende kufahamu ni ulimwengu wa namna gani? na unakadiriwa kutokea baada ya miaka gani ijayo? na ikitokea hakutakua na future nyingine tena...
Katika hali ya kushangaza na kuwafanya viongozi wengi wa kikristo waishie kumpuuza,Wengine kupanic na kumtukana Researcher na proffessor wa mambo ya bibilia amekuja na hii kali. Prof Ziony Zevit...
Katika maisha au ktk nyanja yeyote ya maisha unatakiwa uwe na mguso chanya..Uwepo wako lazima utambulike sio kwa kujaribu kujiinua mbele za watu na kujivika vazi la ukuu bali kwa kuwa na mguso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.