Who was "Babushka lady"?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,794
5,347
Huyu mtu ni moja kati ya vitu vinavyotafutwa sana google (google search suggestions) ukienda google na ukaanza kuandika babu... Suggestions za mwanzo ni babushka lady na f kenedy!!! kwanini!?

Ni nani huyo mtu?!

Kenedy ninayemtegemea ktk google ni alikuwa rais wa USA. Ila babushka ni nani?
 
Huyu demu alikua anachukua picha siku ya tukio la kifo cha Rais Kennedy na baada ya kupigwa risasi rais nae akasepa mpaka leo hajajulikana ni nani na alikuwa na lengo gani na hizo picha alikopeleka hatujui na hilo jina na la kubuni tu "Babushka Lady"
72a1059fbf7eb5d996cd3607cd0f4eac.jpg
 
Tatizo tunapuuza Sana mambo ya kiroho, ukoo wa Kennedy ulikuwa unaandamwa na roho ya mauti hadi wamekwisha wote, na wote vifo vyao ni vya utata na ajabu Sana, huyo Babushka Lady hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa ni pepo, angelikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine ni lazima Kwa intelligence ya Marekani angekamatwa tu, hili nitakuja kuliletea mada yake maalumu humu.
 
Umejulia wapi yote haya au ndio upo kwenye hallucinations?

Mambo ya kufikirika haya,hamna scientific proof yoyote....hebu lete vitu substantiated hapa,hii kuonganisha matukio ili ku-fit ya unachofikiria kichwani ni ufala...yeyote akija na axis yoyote iwe x,y,z au t na kuunga matukio atakavyo yeye ataishia ku-make sense kwake kuendana na pre-determined sequence aliyojichagulia yeye...
 
Angalia YouTube utaona jins alivyopiga picha kifo na JFK na kusepa ghafla kweli inaleta walakini flani"
 
Tatizo tunapuuza Sana mambo ya kiroho, ukoo wa Kennedy ulikuwa unaandamwa na roho ya mauti hadi wamekwisha wote, na wote vifo vyao ni vya utata na ajabu Sana, huyo Babushka Lady hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa ni pepo, angelikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine ni lazima Kwa intelligence ya Marekani angekamatwa tu, hili nitakuja kuliletea mada yake maalumu humu.
yah ni ngumu kuamin bila proof mkuu.....btw binafsi nasubil hyo mada
 
Babushka inamaanisha Bibi kwa lugha ya kirusi huyu mwanamama ni miongoni mwa watu waliokuwa karibu kabisa na J.F Kennedy mnamo 1963 wakati mauaji yanatokea anahisiwa kama alikuwa mwana habari alikuwa karibu mpaka Mlengaji alipo mshoot kennedy hakushtuka wala kushikwa na bumbuazi kama raia wengne walio kuwa karibu na kennedy aliendelea kupiga picha tukio lile na baada ya muda alitoa camera jichoni na kuvuka bara bara baada ya hapo hakuonekana tena Inasemekana CIA wamemsaka sana ila hawajamuona but kuna mengi yalio chini ya kapeti kumuhusu mwana mama huyu
uploadfromtaptalk1460292205748.png
 
Babushka lady ni propaganda za wazungu tuu wanajua mwanzo mwisho wa J.F hizi wanazitengeneza tu ili kuzidi kuwapoteza kwenye ukweli... View attachment 336197

Angalia YouTube utaona jins alivyopiga picha kifo na JFK na kusepa ghafla kweli inaleta walakini flani"
Nani aliyempiga picha huyo mwanamke akiwa anachukua picha zile? Kwa nini hakumfuatilia kwani alionyesha pia ana interest na huyo mwanamke ndo maana akafuatilia kwa ukaribu!
 
Tatizo tunapuuza Sana mambo ya kiroho, ukoo wa Kennedy ulikuwa unaandamwa na roho ya mauti hadi wamekwisha wote, na wote vifo vyao ni vya utata na ajabu Sana, huyo Babushka Lady hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa ni pepo, angelikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine ni lazima Kwa intelligence ya Marekani angekamatwa tu, hili nitakuja kuliletea mada yake maalumu humu.

Bullshit!!
 
Jaman shida yetu sisi wengi hatusomi vitabu.. hii issue wenyewe wanajua bse ndo walio mastermind game yote
 
Back
Top Bottom