Imani ni nini?

Imani ni ufunguo wa kuwekeza. Unaamini kuwa ulichowekeza kitazaa. Huna imani huwezi wekeza
 
imani ni kitendo cha kujiridhisha mwanadam juu ya kile ambacho yeye ana uhakika nacho ndani ya moyo hii ni accoring to me
 
Ni kile unachoamini.........
Kweli kabisaa ume kwenda sawia kabisa na mawazo yangu imani nikile unacho kiamini, tena hai jalishi nini iwe shetani, iwe niwewe ,au ni mke wako hata uki taka kuamini shida zako ukitaka kuamini uume wako chochote utakacho kiamini niimani....Nandio maana una kuta kuna kitu kiitwacho imani ya krsto au kiisilam, sasa hizi mbili nisehemu tu! Yaimani kwa wale wanao ziamini nawala sio zenyewe ndio imani , lahasha nichochote utacho kiamini.
 
Iman ni ile hali yakuamini jambo ambalo ktk hali yakawaida au kibinadam sii rahis mtu kuamin litatokea. Imani ndio pumzi ya uhai wa maisha ya mwanadam pamoja na mafanikio yake. Hakuna mtu aliefika mahal fulan kwa bahati pasipo imani. Upo uhusiano mkubwa kati ya mafanikio ya mtu na iman yake. Imani inakiunganishio ambacho chaweza kuwa Mungu wake ama iman za vitu vinginevyo. Iman inaweza kuwa kubwa au ndogo ila ktk hali yeyote ile imani inatabia za kushangaza sana maana kwa kadir una amin nakuamin basi unakaribia mafanikio yako. Ndio maana mtu mmoja akasema nuwia mambo makubwa ktk maisha yako kwa maana hata kama hutoyafikia ila utayafikia sehem fulan.
 
tafadhali changia unachojua
Habari,

Swali zuri kujiuliza ninalidadavua kwa muktadha wa kufanania 'Ukristu' halafu kwa wa Kiislam, In Shaa Allah.

Lakini hasa ninasimamia kwenye uzoefu wa ginosia[Gnosis, Kng, kutamkwa kama 'nosis'] na kiarabu u-'Arif'-- kujua kwa namna ya Rohoni.

Kwa kuwa kuna vyanzo bora kabisa vya mwangaza juu ya hili, kwa sasa nitaleta aya kutoka kitabu cha Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu halafu nitafanya hivi tena kutokea kwenye mafunzo ya kiuanazuoni wa Kiislam kuhusiana na Imani...

Haya.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Aquarian Age Gospel of Jesus
Injili ya zama za Ndoo ya Yesu

Chapters 22 - 28
Sura 22 - 28

CHAPTER 22
Sura ya 22


The friendship of Jesus and Lamaas. Jesus explains to Lamaas the meaning of truth, man, power, understanding, wisdom, salvation and faith.

Urafiki wa Yesu na Lamaasi. Yesu aelezea kwa Lamaasi maana ya Kweli, mtu, nguvu, uelewa, hekima, uokolewa na imani.

AMONG the priests of Jagannath was one who loved the Jewish boy. Lamaas Bramas was the name by which the priest was known. MIONGONI mwa makuhani wa Jaganathi kulikuwepo na mmoja aliyempenda kijana wa Kiyahudi. Lamaasi ni jina alikuwa akijulikana nalo kuhani. 2 One day as Jesus and Lamaas walked alone in plaza Jagannath, Lamaas said, My Jewish master, what is truth? Siku moja Yesu na Lamaasi walipokuwa akitembea peke yao katika ukumbi wa njiani Jaganathi, Lamaasi alisema, Mkuu wangu wa Kiyahudi, Kweli ni kitu gani? 3 And Jesus said, Truth is the only thing that changes not. Na Yesu akasema, Kweli ni kitu kisichobadilika. 4 In all the world there are two things; the one is truth; the other falsehood is; and truth is that which is, and falsehood that which seems to be. Kote Ulimwenguni kuna viwili; kimoja ni kweli na kingine usikweli; na kweli ni kile ni ambacho, na kisikweli ni kile kiionekanacho kana kweli 5 Now truth is aught, and has no cause, and yet it is the cause of everything. Sasa kweli si chochote,na haina sababishi, na hapo hapo ni sababu ya kila kitu. 6 Falsehood is naught, and yet it is the manifest of aught. Usikweli ni bure tupu, na hapo hapo ni dhahiriko la si chochote.7 Whatever has been made will be unmade; that which begins must end. Kile chochote kilichofanyika hakina kitarudia kutofanyikika; kile chenye kuanza hakina budi kufikia mwisho. 8 All things that can be seen by human eyes are manifests of aught, are naught, and so must pass away. Kila kitu chenye kuweza kuonekana kwa jicho la mwanadamu ni dhahiriko la si chochote, ni bure tupu na basi hakina budi kupita zake. 9 The things we see are but reflexes just appearing, while the ethers vibrate so and so, and when conditions change they disappear. Vitu tuvionavyo ni tu vitekenyano hisia kutokea, pale ambapo aetha zatetema hivi na vile, na pale hali inapobadilika vyapotea. 10 The Holy Breath is truth; is that which was, and is, and evermore shall be; it cannot change nor pass away. Pumzi Takatifu ni kweli; ni kile kilichopata kuwa, kilicho, na daima zaidi kuwa; haiwezi kubadilika na kupita zake. 11 Lamaas said, You answer well; now, what is man? Lamaasi akasema, umejibu vema; sasa mtu ni kitu gani? 12 And Jesus said, Man is the truth and falsehood strangely mixed. Na Yesu akasema, mtu ni kweli na usikweli kwa namna ya ajabu kuchanganyikana. 13 Man is the Breath made flesh; so truth and falsehood are conjoined in him; and they strive, and naught goes down and man as truth abides. Mtu ni Pumzi kufanyika nyama; hivyo kweli na usikweli vyaunganika namna moja katika yeye; na pamoja kufanya bidii ya kuishi, bure tupu huishia chini na mtu kadri kweli hubakia. 14 Again Lamaas asked, What do you say of power? Tena Laamasi akauliza, unasema vipi juu ya nguvu? 15 And Jesus said, It is a manifest; is the result of force; it is but naught; it is illusion, nothing more. Force changes not, but power changes as the ethers change. Na Yesu akasema, ni dhahiriko; matokeo ya kani; si jingine ila bure tupu; ni danganyiko la kimuonekano, si zaidi. Kani haibadiliki, lakini nguvu yabadilika kadri aetha kubadilika. 16 Force is the will of God and is omnipotent, and power is that will in manifest, directed by the Breath. Kani ni nia ya Mungu na ni iwezayo yote, na nguvu ni nia hiyo katika kudhahirika, kuongozewa namna yake na Pumzi. 17 There is power in the winds, a power in the waves, a power in the lightning's stroke, a power in the human arm, a power in the eye. Kuna nguvu katika pepo za kuvuma, nguvu katika mawimbi, nguvu katika mapigo ya radi, nguvu katika mkono wa mtu, nguvu katika jicho. 18 The ethers cause there powers to be, and thought of Elohim, of angel, man, or other thinking thing, directs the force; when it has done its work the power is no more. Aetha zasababisha nguvu hizi kuwa, na fikara la Elohimu, malaika, mtu na kile chenye kufikiri, kuongezea namna za kani; pale ambapo zishafanya kazi yake nguvu haipo tena. 19 Again Lamaas asked, Of understanding what have you to say? Tena Lamaasi akauliza, juu ya sifa ya kuelewa ni kipi ulichonacho kusema? 20 And Jesus said, It is the rock on which man builds himself; it is the gnosis of the aught and of the naught, of falsehood and of truth. Na Yesu akasema, ni mwamba ambao juu ya huo mtu ajijenga yeye mwenyewe; ni ginosia ya usichochote na ya bure tupu, ya usikweli na ya kweli. 21 It is the knowledge of the lower self; the sensing of the powers of man himself. Ni maarifa ya nafsi ya chini ya mtu; nguvu za kuweza kuhisi za mtu mwenyewe. 22 Again Lamaas asked, Of wisdom what have you to say? Tena Lamaasi akauliza, juu ya hekima kipi ulichokuwacho kusema? 23 And Jesus said, It is the consciousness that man is aught; that God and man are one; Na Yesu akasema, ni ufahamu ya kwamba mtu ni usichochote; kwamba Mungu na mtu ni moja; 24 That naught is naught; that power is but illusion; that heaven and earth and hell are not above, around, below, but in; which in the light of aught becomes the naught, and God is all. Kwamba bure tupu ni bure tupu; kwamba nguvu ni danganyiko la kimuonekano; kwamba mbingu na dunia na kuzimu haviko juu, kuzunguka nyuma, chini, ila ndani; katika nuru ya kisicho kitu kwaja bure tupu, na Mungu ni vyote. 25 Lamaas asked, Pray, what is faith? Lamaasi akauliza, ombi, imani ni nini? 26 And Jesus said, Faith is the surety of the omnipotence of God and man; the certainty that man will reach the deific life. Na Yesu akasema, imani ni uhakika na uweza yote wa Mungu na mtu; uhakika ya kwamba mtu atafikia maisha ya kidaifi. 27 Salvation is a ladder reaching from the heart of man to heart of God. Uokolewaji ni ngazi ya kufikia kutoka kwenye moyo wa mtu hadi moyo wa Mungu. 28 It has three steps; Belief is first, and this is what man thinks, perhaps, is truth. Ina ngazi tatu; Kusadiki ni ya kwanza, na hichi ni kile mtu akifikiriacho kuwa, labda, ni kweli. 29 And faith is next, and this is what man knows is truth. Imani ni yenye kufuatia, na hichi ni kile mtu ajua ni kweli.30 Fruition is the last, and this is man himself, the truth. Kufanyika tunda ni ya mwisho, na hii ni mtu mwenyewe, kuwa kweli. 31 Belief is lost in faith; and in fruition is lost; and man is saved when he has reached deific life; when he and God are one.Usadikifu hupotelea kwenye imani; na kwenye kufanyika tunda nayo yapotelea; mtu anakuwa kaokolewa pale ambapo yeye kafikia uzima wa kidaifi. Pale ambapo yeye na Mungu ni moja.


Chanzo: The Aquarian Age Gospel of Jesus, the Christ of the Piscean Age

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++


Pia tazama uzi huu: Nafsi ni kitu gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom