Landlocked Countries - Wananunuaje silaha?

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
8,843
12,386
Wana JF,

Ningependa kufahamu, nchi kama Rwanda, Burundi, Zambia etc zinasafirisha vipi silaha nzito nzito kama vifaru, magari makubwa na silaha nyingine kubwa kubwa.
 
kwa land locked states lazima wawe na nchi rafiki zenye bandari,hii ndo njia mojawapo kubwa,mizigo yao ikifika bandarini,kama ni vifaru huwa vishapakiwa na vingine wame dismantle, so ikiwa kuna njia ya reli.kama TAZARA huwa mizigo inapakiwa hivyo,au wanaweza chukua convoy ya several lorries na ikibidi wanazipa escort na kuzuga kama zimebeba "sumu" au madawa mengine ya kemikali so msafara wao hawapati vikwazo.
Njia nyingine ni anga,ndege kubwa kubwa kama antonov An-225 na boeing 747-8 huweza kubeba mizigo pasi na shida yoyote.Kama utakumbuka South sudan mizigo yao walikua na bado wanapitshia kwenye bandari ya mombasa(kuna meli yiliyokuwa na tanks za south sudan ilitekwa na pirates),kulishawai tokea malalamika kuwa eti baadhi ya magari ya mashirika ya misaada yalikuwa yanatumia convoys zao kupeleka tanks south sudan,ni claims ambazo kila nchi inazikataa,cha muhimu ni kujumlisha akili zako pia
 
Back
Top Bottom