Nani mmiliki wa Primefuels (T) Ltd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mmiliki wa Primefuels (T) Ltd?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Nzi, Feb 25, 2011.

 1. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Salaam wanaJF!

  Hiyo kampuni ni ya usafirishaji wa bidhaa za mafuta (petroleum). Na destination yao ni kwenye migodi ya madini inayomilikiwa na Barrick kupitia kwa African Barrick!

  Hii kampuni ina lorries zaidi ya 100! Kwa wale wanaokaa pembezoni mwa barabara ya DSM-Moro-Dom-Singida-Igunga-Kahama-Biharamulo,naamini wanafahamu namna gani hiyo kampuni ilivyo na lorries za kumwaga.

  Sasa mmiliki wake ni nani? Kwani kampuni hiyo inaandikwaga kama PRIMEFUELS (T) LTD! Ina mana ipo pia na nje ya TZ,ya hapa TZ ni kama branch. Nani anamiliki mali yote hiyo?
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Are you thick or something!!!!??????
  Wewe inakuhusu nn hata zikiwa elfu, Wabongo mmejaa majungu tu, fanyeni kazi mnunue ya kwenu. Hamkawii kusema RA na EL kwa jinsi mlivyo wazito kufikiri.
  Shame on you......
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wewe kwa kweli unasikitisha kwa nini unamtukana kwani uliambiwa kuuliza ni ujinga? Nani alikuambia ukiuliza juu ya business za watu mtu hawezi pata kujifunza nae kujiendeleza?

  Wewe ni mmoja wa watanzania walio dhaifu juu na hata kama umeenda shule ujue shule sio kujua jinsi ya kuishi au kujua biashara I mean unaweza ukawa hauna skills zingine nyingi zinazoitajika maishani kila siku

  Unasikitisha sana kama haikuusu usijibu pumba humu

  U don hear or u wan make I dey yan u pigin?
   
 4. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Massaiboi usiandike kiingereza sababu hata neno sick umeshindwa kuliandika. When you call somebody idiot si ustaarabu na wala si busara sababu unaweza ukawa ni rais wa ma-idiot wote ulimwenguni..

  Aliyeuliza kuhusu hiyo kampuni wote hatufahamu nia yake, ni bora tu kama unajua jibu ungemsaidia,labda anataka tu kujifunza mbinu mbalimbali za kibiashara kwa kumtumia huyo mfanyabiashara mkubwa wa mafuta kama role model wake........kuna kosa hapo......
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  Punguza munkari mkuu. Hili ni jukwaa la JF intelijensia. Unajua maana ya intelligence? Kama ungekua unajua wala husingeandika ulivyoandika. Nway kama huna jibu yero,ipotezee.
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  One source of mine imeniambia kua hii kampuni ni subsidiary ya Barrick,ambayo ipo specifically kwa kupeleka mafuta ya kuendeshea mitambo migodini. If it is so then why has Barrick done so? Are there no reliable local fuels transporters in TZ? What is the trickle down effect of Barrick owned mines in the fuel transportation sector?

  If there are those who have more information of this company please help me.
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  how do a THICK person look like?
  I gues you didn't mean to write sick!! no yes I mean a big no.
  you canot replace ''s'' with a ''th'' erroneously, If that is the case then you must be sick!!
   
 8. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamani ... Hebu Mwacheni mtu wa watu ingawaje ustaarabu si jambo la kununulika dukani... nina maana kwamba alieuliza swali ana maana yake na hakuna haja ya kuparura kama makucha ya nyau bila sababu....

  Pli Neno thick ni la kawaida kabisa na ni tusi kubwa kwa wazungu ...mtu asije kukuambia are you thick ukafikiria amekosea akimaanisha are you sick... zote thick na thick ni matusi ya wazungu yanayobeba uzito tofauti...

  Are you thick ni kama vile mtu akikuambia hivi wewe ni taahira kichwani?
  Na akikuambia are you sick ni kama vile amekuambia vipi una upungufu wa mawazo? au hivi wewe ni opunguani wa akili?

  Neno Thick ni tusi kubwa kuliko sick maana haya manano hutumia mara nyingi na wazungu wenye ma hasira yao au kama wakiudhiwa na mtu kama wewe na mimi waweza kusema hivyo in a heat of the moment.... hii ni kwa tafsiri yangu na tafadhalini msije mkanikimbilia kuniambia hebu leta source... haya ni maneo ya mitaani sana kama vile maneno kihiyo, zezeta, zuzu, Jero au wekundu wa msimbazi yanavyotumika kwa kiswahili cha kawaida....
   
 9. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,719
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  nadhani ni waarabu kutoka kenya...

  unaweza pata details zaidi katika website yao lakini bahati mbaya hakuna shareholding details..hiyo labda uende BRELA.

  kwamba wamekamata deal ya supply ya mafuta kwa barrick ni may be b'se wako smart..ukisoma website yao ni interesting namna walivyoanza business...very small lakini sasa ni giant..determination na attitude imewafikisha hapo walipo...fatilia history ya Tanga fresh kuanzia around late 90s in tanga mpaka leo..its fascinating

  soma hapa mkuu:
  Primefuels Ltd
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Inaelekea huyu Mkuu anataka aende :hand:akaji-bouaziz kwenye maghala ya mafuta ya hao Primefuels...
   
 11. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  Asante mkuu kwa taarifa. Ila nimeicheki iyo website haina information juu ya owners;yes inaonekana ni ya Mombasa,but who are the owners? And who are the shareholders kwa hii subsidiary ya hapa TZ?
   
 12. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari nlizo nazo ambazo ukitizama zinaweza kuwa na ukweli fulani, ni kwamba kuna mkakati unaandaliwa kutoka South Africa ambao makampuni yao yaliyo SADEC YA MADINI NA mengineyo yana mkakati na mabenki yao kuhakikisha kidogokidogo wanakamata secta ya uchukuzi kwa kuyapa au kuunda makapuni yao watakayoyapa tenda ya kusafirisha mizigo yao. Njia rahisi ya kuua ya kwetu ni kuyabana kutokuyalipa kwa wakati na kuwapa visingizio kibao kwamba pesa hazijatumwa nakadhalika mpaka wewe mwenyewe uwakimbie! Tusubiri tutayaona yakija kwa njia mbalimbali na mifumo mbalimbali. Hapendwi mtu hapa ni wao kwa wao tu! Kama matransporter wetu hawatakuwa imara na wamoja wataishia hivi hivi kwa kuambiwa hawawezi kumbe walinyongwa kidogokidogo mpaka wakakimbia wenyewe. Ndyo njama zao hizo! Nawasilisha.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,151
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa hamjuwi kama data za makampuni yote yaliyosajiliwa Tanzania hupatikana pale BRELA?
   
 14. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35


  Wewe nenda BRELA kaulize wamiliki wa Richmond kama hilo file utaliona.....:A S 13::A S 13::A S 13:
   
 15. B

  Bobby JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Nina wasiwasi ndugu yangu huijui hata ofisi ya BRELA inafananaje. May be unaishia kuisoma magezetini tu. Ningekushauri uietembelee hiyo ofisi na I'm sure baada ya hiyo ziara ukiwa mkweli utaomba radhi kwa upupu uliutema hapa
   
 16. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Jamaa wako fit sana kibiashara, wana yard yao kubwa pale Kipawa, karibu kabisa na depot ya Jeje Steel ambhayo imejaa hayo malori ya kusafirishia mafuta.
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,396
  Trophy Points: 280
  haya makampuni makubwa huwa na vigogo ndani yake hushangai malori mengi ya super star yenye tender total ni ya mramba?na sasa ndio wanapeleka mafuta iptl!
   
 18. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu nimekugongea!! Neno thick kwa maana nyingine ni sawa na mtu kukwambia STUPID (slow to learn or understand things). Lakini huyo bwana hakupaswa na yeye kumtukana mwuliza swali! Maana mtu anapouliza kuna sababu kwa hiyo sidhani kama ni njia sahihi kwa wana-JF kuanza kung'atana kwa sababu fulani kauliza swali ambalo linakukera.

  Hii siyo sahihi wandugu!!!
   
 19. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama naweza unganisha dots...

  Paul Eloff,
  General Manager Primefuels Tanzania

  Qualifications :
  Paul Eloff joined the group from 1st February 2009 from BP Tanzania Ltd, where he had worked as the Financial controller. Paul is a graduate engineer and a Chartered Accountant, South Africa. He brings in a wealth of experience from the Oil industry in Southern Africa as well as in the engineering field in South Africa. The Operations Manager in Tanzania is Hadya Basavalingappa who has been with the Company for over 6 years. (source: www.primefuel.com)

  Huyu kama ni south African, ametokea BP baada ya kutangazwa kuuzwa na alikuwa financial controller, inawezekana amesoma ramani huko Primefuels na kuona kuna deal kama sio kati ya shareholders.

  Ni mawazo yangu tu.
   
 20. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nimefata web adress yao kwa chini kuna link ya designed by Kibiri

  ukifata hiyo link unaenda Ezeetec Limited, mi nilijua ni web adress ya web designers kumbe kampuni nyingine imeandikwa kwa lugha za kizungu.

  anyways, tafuta webdesigners wao wakusaidie, ukishindwa basi ongea na hao madereva wa malori
   
Loading...