Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Annael, Aug 19, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
  Hii ni kwa sababu:-
  1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
  2. Mipango thabiti ya jeshi
  3. Mfumo mzuri wa jeshi.

  Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.

  Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.

  Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
  1. Afrika ya kusini
  2. Ethiopia
  3. Libya
  4. Misri
  5. Ghana

  na ya sita Tanzania.

  Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
  Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.


  Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
  Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo

  Naipenda TANZANIA
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Annael...hizi tetesi umezipata wapi mkuu??! Au wewe ni memba wa jwtz??!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Changanya na zile silaha tulizoingiza juzikati kwanini tusiwe juu? Chezeiya tanganyika weye.
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  lazima ujipe raha hata kama ungesema ni ya kwanza sawa tu!
   
 5. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Nilizipata toka ndani ya jeshi. Na Jeshi linavifaa vya kisasa kabisa.
   
 6. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Sio ya kwanza nimesema ya sita. Hii ni kweli majeshi mengine wanaijua Tanzania vizuri sana. Tafuta habari kutoka kwenye majeshi na utaijua TZ na sio kwenye google.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ishu nyeti kama hii unaileta chini ya usimamizi wa 'tetesi'????

  Na olimpik mlienda kwa tetezi mmerudi na tetesi za medali.
   
 8. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Nimesema jipe raha hata ukisema ni ya kwanza hatutakubishia.
   
 9. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Ndio hivyo.
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Poa basi
   
 11. m

  markj JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ni kweli mkulu, na hivi soon kuna wajamaaa wanaondoka kwenda china kwa training ya 1yr, ni ma capten ambao wengi wao wako airforce! MIMI NASUBIRIA INTAKE HII INAYOKUJA YA MAPROOO
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ila hapo kwa Libya mkuu utakuwa umekosea labda tuweke..Liberia..
   
 13. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jeshi lolote lisilo na vita ni bora hakuna pa kulipima uwezo na silaha zake.Litakapoingia katika vita na kugundua ya kua silaha na vifaa vingi za kivita zimeisha expire hapo ndio tutajua!Milipuko ya mabomu gongo la mboto na mbagala ni mfano.
   
 14. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Tungekuwa mbali zaidi Kama tungekuwa hatuongozwi na mafisadi. Hawa wezi wameviza kasi yetu ya maendeleo.
   
 15. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,194
  Trophy Points: 280
  Tanzania inafanya operation nyingi sana duniani ikishirikiana na majeshi mangine duniana. Na riport zimekuwa zikija positive.
  Marekani hawana vita, china hawana vita lakini majeshi yao ndio yenyenguvu dunian. Vilevile India haina vita lakini nikati ya 10 bora duniani. Umenipata?
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hakuna anayedharau chake, labda awe hana akili
   
 17. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,835
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  waambie wa malawi ambao wanaleta unyasa wao hapa watapigwa
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Salaam kwa malawi, au siyo? Idd njema!
   
 19. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  hakika wewe ni makengeza huoni wala husikii huwezi kuchukulia mirupuko ya g/mboto au mbagala ni kuchakaa vifaa hitilafu popote inaweza kutokea bulgeria na urusi na nchi kadhaa zilizoendelea yameshatokezea
   
 20. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  RUbbish
   
Loading...