Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Kumekuwa na theory nyingi mitaani kuwa watu wenye intelligence kubwa na ma-genius wengi wana tabia nyingi za ukichaa au ni vichaa kabisa, madaktari bingwa wengi kwenye mahospitali makubwa hapa nchini ambao wanategemewa wengi huwa ni "wehu".
Hata katika viunga vya vyuo vikuu maprofessor wengi wakubwa wa kuaminika wengi huwa ukikaa nao utagundua tu wana-"wehu" fulani.

Ukifuatilia biography nyingi za watu waliokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili na wavumbuzi wengi wakubwa hapa duniani katika sayansi na katika sanaa utagundua historia zao zimegubikwa na uchaa wa hali ya juu.
  • Mtu kama Isaak Newton inasemekana alikua na magonjwa ya akili na saikolojia ambayo kwa sasa kitaalamu yanaitwa "schizophrenia", huu ni ugonjwa wa mtu kutokuweza kuishi na mtu yeyote,historia inaonesha Newton alikuwa ni mtu wa kujistukia muda wote kama mtu aliyeua vile, na mara nyingi aliwashutumu ndugu zake kuwa wanataka kumuwekea sumu kwenye chakula .Alipofika miaka 40 hali ilikua mbaya zaidi na alikua hawezi kuishi hata na ndugu zake wa karibu akajitenga completely .
  • Albeit Einstein yeye alikua na tabia ya uchafu uliopindukia, inasemekana chumba alichokuwa akiishi kilikua kama zizi la nguruwe, kula hapo hapo kujisaidia hapo hapo hakuna mtu wakawaida anayeweza kuingia ndani, kilikua kinanuka kwa uvundo lakini pia hata nguo zake alikuwa anaweza kuvaa miezi bila kufua na kutokana na tabia yake ya uchafu na kutokujipenda na kutopenda kunyoa wengi walijua ni mwehu, wataalamu wa magonjwa ya akili kwa sasa wanauita ugonjwa huu schizotype.
  • Alexander Graham Bell, huyu ni mvumbuzi wa simu, yeye alikua na tatizo la hisia kali za mapenzi , hisia zilizopitiliza mpaka alikuwa kero kwa mpenzi wake miss Hello. Inasemekana alikua kama zombi kabisa kwa mpenzi wake kuna nyakati ilibidi mpenzi wake huyu amkimbie, lakini pamoja na kumkimbia huku siku alipovumbua tu simu neno la kwanza katika simu lilikua ni kutaja jina la mpenzi wake HELLO na hapo ndio utamaduni wa kuanza na neno HELLO kwenye simu ulipoanzia, japo watu wa kizazi hiki wanachukulia kama ni fashion lakini neno HELLO lilitajwa na mtu aliyekuwa na emotion breakdown wakati huo .
  • Martin Luther huyu alikua na tatizo la misongo ya mawazao iliyotukuka (chronical depression), lakini pia alikua ni mtu mwenye "mizuka ya ajabu, siku akiamka kichwa kimemtuma kufanya kazi anaeza fanya kazi hata 48 hrs non-stop, siku kichwa kikimtuma kusoma anaweza kusoma hata 36 hrs non-stop. Mwaka 1517 kichwa kilimtuma kuandika Thesis za kupinga namna Kanisa Katoliki linavyoendeshwa, aliandika thesis 95 alipoona hawamuelewi akaamua kuzibandika mlangoni mwa kanisa la Wittenberg halafu akasepa, na hapo ndipo ikaanza movement ya protestant churches.
  • Wapo wengi kama Thomas Edson, Leonardo da Vinci, Michelangelo Buonarroti, Theodore Roosevelt,John Nash,Michael Faraday, Henry Ford na wengine kibao ambao historia zao zinapatikana kiurahisi, wote hawa wameonesha kuwa na degree fulani ya ukichaa ambayo ni tofauti na mtu wa kawaida kama ambavyo sayansi ina-define na wengi wamekuwa na tabia ya kuongea wenyewe muda wote.
Kuna vitabu vimeandika research ya hii kitu na wakafanya clinical trials wakagundua kuwa asilimia kubwa za watu wenye akili nyingi au ma-genius familia zao pia kuna vichaa wengi au watu wenye upungufu wa akili au wehu.
Moja ya kitabu kizuri ni cha mwanamama Nancy C. Andreasen, M.D., Ph.D. kinaitwa "The Creating BRAIN, Neurosciences of Geinus" kimejaribu sana kutafiti kwa kutumia technolojia nzuri ya MRI bongo nyingi za ma-genius na kimegundua zinafanana neuro-arrangement zake na kua sehemu za brain zao haziko developed kabisa.

Swali hapa linakuja je kuna uhusiano gani kati ya kuwa na Intelligence kubwa au kuwa genius au kuwa highly creative na UKICHAA??
 
Ni hulka ya mtu tu,na sehemu aliyokulia

Ukiangalia maisha aliyoishi Sir Isaack newton na mazingira aliyokulia,utagundua kuwa,

Mazingira yanajenga tabia.

Kitendo cha mama yake,kuolewa na baba yake wa kambo kilimuathiri sana Newton

Nakuanza kumchukia kila mtu,hata rafiki yake wa karibu John Locke[?]

Kwa Einstein,ni ugojwa uliokuwa unamsumbua angali mdogo
[Asperge's syndrome]

Lakini ukimwangalia mtu kama,Richard P Feynman au Werner Heisenberg

Ni smart and yet ni msafi

So mazingira ndio huchangia mtu kuwa kama alivyo.
 
Ni hulka ya mtu tu,na sehemu aliyokulia

Ukiangalia maisha aliyoishi Sir Isaack newton na mazingira aliyokulia,utagundua kuwa,

Mazingira yanajenga tabia.

Kitendo cha mama yake,kuolewa na baba yake wa kambo kilimuathiri sana Newton

Nakuanza kumchukia kila mtu,hata rafiki yake wa karibu John Locke[?]

Kwa Einstein,ni ugojwa uliokuwa unamsumbua angali mdogo

Lakini ukimwangalia mtu kama,Richard P Feynman

Ni smart and yet ni msafi

So mazingira ndio huchangia mtu kuwa kama alivyo.
Lakini taifiti zinaonesha katika koo za hawa watu mara nyingi vichaa hawakosekani na huwa inakwenda generations tatu hadi nne hivi tofauti na watu wa kawaida.
Brain scan inaonesha pia kuwa kuna baadhi ya regions za brain hazijawa developed kwa wengi wa ma-genius.

Sasa tunaweza kujenga hoja kuwa uchaa wao ni sababu ya nurture na sio nature ?? au ni hereditary ishu??
 
asigwa said:
Lakini taifiti zinaonesha katika koo za hawa watu mara nyingi vichaa hawakosekani na huwa inakwenda generations tatu hadi nne hivi tofauti na watu wa kawaida.
Hapa sina uhakika kama kila ugojwa wa akili unaweza kurithiwa

Magojwa ya akili yanayoweza kurithiwa ni Schizophrema na Bi polar,Ingawa chance ya kuyapata ni ndogo sana

Brain scan inaonesha pia kuwa kuna baadhi ya regions za brain hazijawa developed kwa wengi wa ya ma-genius.

Sasa tunaweza kujenga hoja kuwa uchaa wao ni sababu ya nurture na sio nature ?? au ni hereditary ishu??
Mimi nafikiri ni background ya mtu mwenyewe.

Maana ukichaa haurithishwi na wenye tabia hizo sio wote
 
Ma genius ni abnormal .....hawako normal
na wenye matatizo ya akili pia hawako normal

mtu yeyote ambae ama akili zimezidi au zimepungua basi hayuko normal

ni mgonjwa wa akili.....
Kuna theory moja inadai ukichaa wao ndio unaowasaidia kuwa ma-genius.

Miaka ya 1800 hivi ma-genious wengi walikusanywa ili kupewa psychiatric treatment, ajabu ni kuwa wengi walitoroka wakiogopa kuwa wakitibiwa tu u-genious utaondoka na watakuwa "watu wa kawaida".

Seems hawa watu wanajua kuwa u-genious na ukichaa vinaendana mno
 
akili timamu ni hali tu ya akili yako kui balance
ujue yapi ya kutumia mda mwingi yapi uyafanye saa ngapi..
unaenda na jamii inavyo enda

hao ma genius wengi wao akili zao wana concetrate na kitu kimoja zaidi...
hatoi nafasi kwa mengine

ndo maana wapo watu hata ukimwambia mbili mara mbili
anatoa calculator ....hataki kichwa kisimbuke na mambo ambayo anaona hayana umuhimu....

ana conctrate kwa ya muhimu tu
 
j. nash kahudhuria sana mirembe za marekani.
upload_2016-3-24_13-3-28.png

Yap ndiye huyu, mwana mahesabu aliyetukuka na mtaalamu wa Muziki na Engineering

Here are three comments from fellow students:-

>>Nash was out of the ordinary. If he was in a room with twenty people, and they were talking, if you asked an observer who struck you as odd it would have been Nash. It was not anything he consciously did. It was his bearing. His aloofness.

>>Nash was totally spooky. He wouldn't look at you. he'd take a lot of time answering a question. If he thought the question was foolish he wouldn't answer at all. He had no affect. It was a mixture of pride and something else. He was so isolated but there really was underneath it all a warmth and appreciation of people.

>>A lot of us would discount what Nash said. ... I wouldn't want to listen. You didn't feel comfortable with the person.

>>He was always full of mathematical ideas, not only on game theory, but in geometry and topology as well. However, my most vivid memory of this time is of the many games which were played in the common room. I was introduced to Go and Kriegspiel, and also to an ingenious topological game which we called Nash in honor of the inventor.

Kuna mahali nimesoma wanamtuhumu alikua na tabia ya kupenda wavulana "ma-handsome boys" wakati yuko shule na alikua na tabia ya kuwabusu hadharani, japo hakuna evidence ya ushoga aliyokuwa nayo
 
akili timamu ni hali tu ya akili yako kui balance
ujue yapi ya kutumia mda mwingi yapi uyafanye saa ngapi..
unaenda na jamii inavyo enda

hao ma genius wengi wao akili zao wana concetrate na kitu kimoja zaidi...
hatoi nafasi kwa mengine

ndo maana wapo watu hata ukimwambia mbili mara mbili
anatoa calculator ....hataki kichwa kisimbuke na mambo ambayo anaona hayana umuhimu....

ana conctrate kwa ya muhimu tu
katika ubora wako:):)
 
Hapa sina uhakika kama kila ugojwa wa akili unaweza kurithiwa

Magojwa ya akili yanayoweza kurithiwa ni Schizophrema na Bi polar,Ingawa chance ya kuyapata ni ndogo sana

Mimi nafikiri ni background ya mtu mwenyewe.

Maana ukichaa haurithishwi na wenye tabia hizo sio wote
Depression unaweza kuridhiwa?
 
Sio wote, wengine hawajitambui
Ni kweli sio wote ila asilimia kubwa ya watu walioleta mapinduzi kwenye huu ulimwengu walikua na uchaaa, list ya ma-genius ambao historia inaonyesha walikua na uchaa ni kama John Nash, Isaac Newton,Einstein, Faraday, Friedrich Nietzsche, Leo Tolstoy, Virginia Woolf, Samuel Johnson, Jonathan Swift, Ernest Hemingway, Abraham Lincoln, Theodore Roosevelt, Oliver Cromwell, John Stuart Mill, Robert Schumann, Gaetano Donizetti, Ludwig von Beethoven, Robert Lowell, Graham Greene, John Berryman, Anne Sexton, Vaslav Nijinsky, JoanMiró, and many more.

Hawa wote walikua na uchaa kwa sababu za coincidence??
 
basically wehu na ugenius ni two opposing sides.

kama tutachukulia akili ya mwanadamu kama standard reference then wehu ni kuwa bellow standard na genius ni kuwa above standard.

sasa yawezekana nature ya hali hii ni moja kwa maana kile kinachosababisha akili ya mwanadamu kuwa bellow standard ndio hicho kinasababisha akili ya mwanadamu kuwa above standard.

maana yake ni kwamba yawezekana kuna sababu nyingi zinasabisha mwanadamu kuwa katika hali hiyo ya mental state lakini katika sababu hizo ipo moja wapo ambayo inauwezo wa kusababisha hali hizo mbili.

Back
Top Bottom