Hello Scott it's President Obama

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Ni sauti ya Raisi wa Taifa la Marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde ni low orbit satellite Obama siku chache kabla ya mwanasayansi wa space Scott Kerry kurejea katika uso wa dunia alimpigia simu na kuongea nae kadhaa.

Mwanasayansi huyu wa anga yaani astronaut atakuwa ndio mwanaanga wa kwanza kukaa kwa muda mrefu katika kituo hicho cha anga amekaa ndani ya siku 340 amerejea juzi Machi moja huku akiwa na report kibao za huko ikiwemo makala za kivipi ali manage kuweka afya sawa kwa muda huo nje ya dunia. Kutokana na kurejea kwake tayari shirika na NASA limezidi kusisisitiza kupeleka Watu mars mnamo 2030.
0156c0ab57374835b1477e5a436e26c6.jpg
 
Scott Kerry alikuwa na Warusi wawili na yeye alikuwa Mmarekani pekee katika Soyaz.
 
nazidi kusisitiza kwamba nitakuwa binadamu wa mwisho kuamini kama kuna mtu yoyote kutoka duniani aliyewahi kukanyaga mwezini.
Hakuna binadamu aliekanyaga mwezini hii habari wala haina uhusiano na mwezini hii ni simu ya obama kwenda Ktk maabara inayoeleinayoelea ISS
 
Yap.. nimeisoma habari na kuielewa na haina uhusiano na kufika mwezini, sema nilikuwa nafanya kumsistizia Jemena kuwa hata mimi nina imani kma zake kuhusu binadamu kufika mwezini.. ila ni vizuri pia kuwa na mtazamo sawa na mimi, the moan landing is hoax na hata pia hili la huyu mtu kukaa huko angani kwa zaidi ya siku 300 nalo pia nina doubt.... huyo binadamu huu muda wote aliishije? kwa maana ya kupata mahitaji yote ya binadamu, kama vile chakula? Uwezo wa hizo life supporting devices unaweza kumaliza muda wote huo?
 
Hilo la kukaa ni uhakika mkuu vitu kama vyakula hupelekwa na Rocket
 
ila ni vizuri pia kuwa na mtazamo sawa na mimi, the moan landing is hoax na hata pia hili la huyu mtu kukaa huko angani kwa zaidi ya siku 300 nalo pia nina doubt.... huyo binadamu huu muda wote aliishije? kwa maana ya kupata mahitaji yote ya binadamu, kama vile chakula? Uwezo wa hizo life supporting devices unaweza kumaliza muda wote huo?
Unajua kuna watu wanaamini kabisa kuwa watu wote wenye hela ndefu hapa duniani wanamafungamano na freemason au illuminant...hii ni kutokana na kufananisha mbinu zake za utafutaji fedha na za wengine,anafananisha akili zake na za wengine,anafananusha mazingira yake na mazingira ya wengine.Hao watu siwezi kusema mnaweza kufanana kwa namna gani ila unaweza kuwa katika kundi lao hilo.

Just simply,HATUFANANI akili na fedha.
 
Alikia anakula mini siku zote hizo
Mkuu vipo vyakuls huko ktk maabara kama biscuits na vyakula vingine vya kukaushwa ila pia kuna vidonge special vinavyotoa Energy ya kutosha ktk mwili uvimezapo
 
Unajua kuna watu wanaamini kabisa kuwa watu wote wenye hela ndefu hapa duniani wanamafungamano na freemason au illuminant...hii ni kutokana na kufananisha mbinu zake za utafutaji fedha na za wengine,anafananisha akili zake na za wengine,anafananusha mazingira yake na mazingira ya wengine.Hao watu siwezi kusema mnaweza kufanana kwa namna gani ila unaweza kuwa katika kundi lao hilo.

Just simply,HATUFANANI akili na fedha.
Umemaliza kila kitu mkuu. Tumetofautiana namna ya kifikiri.
 
USA Baby? hivi unajua asilimia kubwa ya hiyo modules za ISS zimetengenezwa na Russia na soyuz pia inamilikiwa na warussia. Sidhani kama kuna haja ya kuikuza USA kwenye hili maana ni joint project.
 
Back
Top Bottom