for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,396
- 4,437
Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya
Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria
Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa Syria na Uturuki, Kikosi cha Urusi kina uwezo wa kujua kila kinachoendelea upande wa Uturuki kwa kutumia hiyo ndege yenye uwezo wa hali ya juu
Ndege hiyo ijulikanayo kama TU-214 spy imefika kituo cha Latakia kilichopo Syria siku chache zilizopita
Ndege hiyo ina mfumo mzuri wa kuona vitu vya mbali na rada ambazo zinaweza kufuatilia harakati za kijeshi nchini Uturuki
NOTE:Tovuti ya Urusi imeweka wazi kwamba inapenda kujua kila kinachoendelea Uturuki