Je, itawezekana lini Afrika kuweka ukoloni katika mataifa yaliyoendelea?

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
405
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...

Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza, marekani na hata India?

Tutawezeshaje hili?

What goes around jamani.. na sisi tukomae tukawatawale wazungu, wachina na wahindi

Ntarudi kujibu hoja..
 
Sioni sababu kuu ya kuwatawala hao watu maana hata rasilimali wanachukua kwetu
 
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...

Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza, marekani na hata India?

Tutawezeshaje hili?

What goes around jamani.. na sisi tukomae tukawatawale wazungu, wachina na wahindi

Ntarudi kujibu hoja..
Hiii ni sawa na mkojo kusukuma gogo au ccm kukataa posho bungeni, it is beyond of imaginary dream.
 
Mpk dunia iumbwe upya labda,yaani kiama kije na ufufuo mpya uje tena labdaaaa namaanisha labdaaa
 
Ili colonization itokee,Jamii moja inatakiwa iwe Advanced kuliko nyingine

Pia,inategemea ustaarabu wa wakati huo

Mathalani,Marekani ni Superpower ukiilinganisha na nchi kama Burundi

Ina jeshi kubwa,na teknolojia ya maana lakini haiwezi kui-colonize Burundi kwasababu Ustaarabu wa karne hii hauruhusu hicho

Sasa kwa nchi za dunia ya tatu,kama Tanzania,haziwezi kufanya ivo leo wala kesho

Kwasababu ya teknolojia mbovu na ustaarabu wa wakati huu unazizuia pia

Na hatutaweza kuwafikia.Siku tukifanikiwa kutengeneza Nuclear power plants zetu

First world countries zitakuwa zime-adopt njia mpya na nzuri ya kuvuna nishati

Probably Antimatter reactors ambayo ina ufanisi mkubwa kuliko nishati ya nyuklia

But on the bright side,labda itokee Mass extinction ambayo itawaondoa binadamu wote pamoja na teknolojia yao

Then,sequence ya Evolution ianze mwanzo
[From stone age to modern world]

Na Afrika ibahatike kuwa taifa la kwanza lilostaarabika

Hapo ndio tutaweza kuwatawala
 
Tafuteni hela kwanza ndo muanze kufikiria kutawala mataifa matajiri. Bila hela kwenye dunia hii hakuna kinachowezekana tena
 
Itawezekana tu Yesu yupo njiani alituambia atarudi nasi tusichoke kusubiri hapa duniani tunapokezana.
 
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...

Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza, marekani na hata India?

Tutawezeshaje hili?

What goes around jamani.. na sisi tukomae tukawatawale wazungu, wachina na wahindi

Ntarudi kujibu hoja..

Hivi unajua hadi hapo ulipo bado upo utumwani?
 
Ndg, Huyu Bill of quantity hayuko utumwani. Ameshakomboka kifikra na kimwili. Anachowaza yawezekana wewe bado kufikia kiwango chake cha UAMSHO:

Hi Dunia imepita katika matukio makubwa sana yaweza kuwa yakimaumbile na yakupangwa na sisi wenyewe: Nikianza kukujuza kwanza. Hapo nyuma hapakuwapo hawa watu wanaitwa Wazungu, Wahindi Weupe , wachina weupe na wala wanaojiita Waarabu ambao ni fake hawakuwapo lakini sisi weusi ndio tulikuwapo na hata kalenda zao zinaonyesha historia ya uwepo wao hauzidi miaka 6600 kutoka leo.

Lakini mtu mweusi alikuwapo kuanzia kuwapo kwa uhai.
Ukweli usiopingika ni kwamba Hivi vizaji vilivyokuja baadae vilikuta tayari mtu mweusi kajaa dunia yote na ameweka mifumo yote ya maisha, kiutamaduni na Kielimuu. Ustaarabu ulishokuwa designed tayari.

Na kifupi tu hivi vizazi zilitokana na sisi. Hivyo sisi hatuna haja ya kujiuliza uliza kuhusu hivi viumbe. Hawa tunauwezo wa kuwatawala tena sio kwa njia ya vita ya masilaha ya kemikali. Ni vita ya maarifa ya ufahamu na hekima ya kiuumbaji. Maana sehemu ambayo wameshindwa kutawala ni UBONGO. Hivyo kuwatawala tena ni rahisi mno.

Tufahamu kuwa sisi ni Nature na wao ni denature. Hivyo huwezi pingana, wala kupigana na nature. Ukumbuke hawa jamaa wametuchelewesha Miaka mia 5 na bado wanatuhitaji katika maisha yao. Lakini sisi hatuwahitaji. Bado sisi ni bora kwao kwa nyanja zote.

Hivi wewe unatakiwa uamke kwenye kufikiria kama haya mageuzi ni ndoto bali nyakati haiwaruhusu tena. Ndio maana unaona siku hizi JUA linawapiga, Wahamiaji haramu wanaenda kuwagenocide genetically. Huu ni mwanzo tu na wao wanajua kuwa Dunia si yao tena.
 
Acha vitu vya kufikirika ww

Afrika bado ipo utumwani tena utumwa tulio nao sasa ni mbaya na hatari zaid kuliko Wa mababu zetu. Hakuna utumwa mbaya kama Wa kifikra. Na kuna hakuna kitu hatari zaid katika ulimwengu huu kama ujinga

Huo uzao unazungumizia ww hivi unajua kuna watu wanakupangia ww uzae watoto wangapi kwa sababu wameshaathiri akili yako.

Mkuu kuna vitu bado hujaviju
 
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...

Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza, marekani na hata India?

Tutawezeshaje hili?

What goes around jamani.. na sisi tukomae tukawatawale wazungu, wachina na wahindi

Ntarudi kujibu hoja..

Utakuwa una akili kubwa, ubunifu wa juu, mjasriamali , ndio wanakuwa na wazo tofauti kbs na walio wengi, anza kujitambua ili uwekeze hiyo akili yako kwa mambo yenye tija zaidi hasa personal km kiuchumi, uongozi n.k
 
Acha vitu vya kufikirika ww

Afrika bado ipo utumwani tena utumwa tulio nao sasa ni mbaya na hatari zaid kuliko Wa mababu zetu. Hakuna utumwa mbaya kama Wa kifikra. Na kuna hakuna kitu hatari zaid katika ulimwengu huu kama ujinga

Huo uzao unazungumizia ww hivi unajua kuna watu wanakupangia ww uzae watoto wangapi kwa sababu wameshaathiri akili yako.

Mkuu kuna vitu bado hujaviju

Ndg, wewe ndio uko utumwani. watu hatuko kabisa utumwani tena tunaogopeka mno kimaarifa hasa unapojutana na hawa watu.
Watu bado hamjaamka. Mpaka sasa nina watoto 4 na bado nina miaka 40. nataka watoto 7 na wote wanasoma shule nzuri na sekondari zenye elimu bora na wao wote wana uelewa juu sana kimasomo.
Pia hawa watoto hawajawai kushiriki swala lolote la kidini za ulimwengu wa sasa. Kwa maana wanapractice 42 Negative Confessions of MAAT. upo hapo? kwanza unazijua na kama huzijui basi wewe upo ubabeli bado.

HIVYO KUANZIA MIMI HADI FAMILIA YANGU HATUJUI KITU UTUMWA WA KIAKILI. TUMESHAKUWA WATU HURU KAMA TULIVYOZALIWA HURU. NINA MASHAKA NA WEWE NDG YANGU.
 
Mzee ebu ifafanue zaidi kdg kuelisha jamii "42 Negative Confessions of MAAT" naona km kunanukia maarifa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom