Imani Katika Majina

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Hii ni kozi kabisa niliisoma ikisema kwamba ukiona unapewa jina la babu yako ni imani ya kale kabisa kwamba wanaokufa huwa wanarudi tena na wewe ndiye yule babu au bibi aliyekufa amerudi ingawa sasa hivi tunatoa majina ya aidha mama au baba zetu kama mapokeo tu bila tafakuri ya kina.

Belief in kinship with or a mystical relationship between a group or an individual and a totem. 2 : a system of social organization based on totemic affiliations.
 
Totemism is belief in the kinship of a group of people with a common totem. The word totem is derived from the Ojibwe (Chippewa) word 'odoodem' meaning "his kinship group" signifying a blood relationship.
 
hivi jaman katika hili naomba kuuliza, mfano nimepewa jina la babu then nkitaka kubadirisha si ntakua nimejivua maagano au?
 
KAMA Umezindikwa sawa , utagundua beki tatu wengi siku hizi wameachiwa madude na hiyo ndiyo scenario
 
sijakuelewa mkuu,
kama umepewa jina la babu na hilo jina limezindikwa ama kuwekea mavituz ukilivua utakua umekiuka maagano na imani inaweza kukuthiri uon mikosi yote ni kutokana na kulivua jina hilo
 
Duuuuh umenikata stimu.
 
so why do you want to change
Nope,I don't wanna change it! vile maisha yangu yanaenda yanareflect mambo mengi hasa tabia alizokuwa nazo! it's just that I have to leave aside some behaviors, otherwise am gonna be one of the greatest men...God bless
 
If you wanna be great like him, work hard along his footsteps.
Usibweteke ukadhani kuitwa jina lake kutatosha kukufanya wewe great like him.
 
that's what am on!! I really work hard trying to follow his steps coz I believe it's 1 of my ways to success, it's just that there are some habits I have whilst he didn't...am trying ma best to live them aside so as to keep the legend's name alive...am sure I will. Jah bless
 
Kama bado hawajaga je!??
Mfano, mtoto wangu nikampa jina LA babu yake, na babu yake bado yuko hai, so kuna kuwa na wawili au!??
 
that's what am on!! I really work hard trying to follow his steps coz I believe it's 1 of my ways to success, it's just that there are some habits I have whilst he didn't...am trying ma best to live them aside so as to keep the legend's name alive...am sure I will. Jah bless
Great!!
 
kama umepewa jina la babu na hilo jina limezindikwa ama kuwekea mavituz ukilivua utakua umekiuka maagano na imani inaweza kukuthiri uon mikosi yote ni kutokana na kulivua jina hilo
Mkuu nilipewa hilo jina nilikua,na matukio mabaya sana nikiwa,na,miaka 7 nilibadilishwa jina na matukio hayakuwepo tena
 
Back
Top Bottom