Je, bomu la nuklia likipigwa Marekani au Ulaya, Tanzania tunaweza kufikiwa na mionzi yake?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,187
2,000
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
================================
Update: 18/02/2018
Dunia nzima itaangamia
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,294
2,000
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Hapana! Kumbuka Japan ilipigwa wakati wa vita kuu ya pili lakini mionzi haikusambaa nchi nzima!
 
master09

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
787
1,000
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Hatuwezi kufikiwa na mionzi kwanza huko ni mbali sana .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,791
2,000
Hapana chief haiwezi kuwa na direct impact kwetu. Hata ndani ya jiji husika impact itategemea na ukubwa (magnitude) ya bomu husika.

Nuclear bomb inaweza ku blast Beijing na kuna sehemu za Beijing zisifikiwe na radiation.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,280
2,000
Inategemea na uzito wa kichwa chake
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,177

Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,280
2,000
Inategemea na uzito wa kichwa chake
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
 
Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,440
2,000
PAKISTAN HAS CHINA, INDIA HAS?

1. USA (full support India if china support Pakistan)

2. ISRAEL (Indian side)

3. JAPAN (Old friend of India)

4. RUSSIA (Diplomatic) but towards India side

5. UK (Not on any side) but can support Pakistan secretly

6. France (Not on any side)

7. SAUDI ARAB (can support Pakistan,but secretly) will pretend to support India

8. Indonesia (old friend of Pakistan)

9. China (It will not join PAK in war,but will give weapon or money)

10. NORTH KOREA- North Korea will not participate from any side, But it will support INDIA for the sake of export/ import friendship.

11. South Korea- India don’t need their help,neither Pakistan because they themselves are in big danger ;)
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
4,656
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom