Bank M, full Massonry

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Nimepata taarifa za ndani kutoka Bank M kwamba wamiliki ni mlengo wa Freemason. Mtoa taarifu aliambiwa wanataka damu ya watu.

Mmoja kati ya Wamiliki aliisha shika nafasi ya juu serikalini na pia kuna ushahidi kwamba ni mwanachama wa Rottery ambayo ni tawi la Freemason.

Napata corroboration zaidi kutokana na ushirikiano wa karibu kati ya Rottery na Bank M. Naddhan mtakumbuka kwamba walitangaza hapa Jf kwa pamoja kufanya mbio za ridhaa.

Andy Chande, ambaye anafahamika kuwa ni Freemason wa degree za juu ana uhusiano wa kaibu sana na mmoja wa wamiliki wa Bank M.
 
Mkuu hii si ndo ile bank ya bwana HAND wa musoma vileji? Jamaa kitambo naye anatajwa kuwa ni masonry mkubwa tu hapa nchini.
 
jamaaaaani hiii si ndo bank ya yule naniliu....................aaaaaaarrrrrrrrgggggggghhhhhh
 
Naomba kuuliza, hivi Mwananchi wa kawaida kama mimi ninaruhusiwa kufungua akaunti hapo? au mpaka niwe member wa freemason?
 
kama damu itoke ukwereni, ikiwezekana iwe maeneo ya msoga, eee! kila mwenye uhai subjeted to death, kwani nini mbaya apo jamaangu!
 
Hakuna cha damu,waafrika p w botha alisema kwenye speech yake cc ni wazuri wa kupiga makelele,washamba sana,kila cku freemason
 
hahaha kwani wewe huwezi kuhitaji damu? :)

Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.

Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
 
Andy Chande, ambaye anafahamika kuwa ni Freemason wa degree za juu ana uhusiano wa kaibu sana na mmoja wa wamiliki wa Bank M
Kwani ndugu,ukiishi na mchawi nyumba moja,ni lazima na wewe uwe mchawi? Tusiwe na imani hafifu ndugu.
 
Freemasons are devil worshpers and nothing else. Kama unataka kumuabudu shetani sisi hatuwezi kukuzuia. Nakushauri ufahamu kwanza, usije ukapima kina cha maji kwamiguu miwili.

Kuna msaafu wao unaitwa Morals and Dogma utakueleza who are Freemasons. Ni msaafu ambao upo online.

Pia kabla ya kujiunga google the secret behind secret societies itakusaidia kuelewa
 
Andy Chande, ambaye anafahamika kuwa ni Freemason wa degree za juu ana uhusiano wa kaibu sana na mmoja wa wamiliki wa Bank M
Kwani ndugu,ukiishi na mchawi nyumba moja,ni lazima na wewe uwe mchawi? Tusiwe na imani hafifu ndugu.

Mkuu ninachofanya ni kutoa taarifa za kushadadia ushahidi. Hapa si suala la kukaa na mchawi tu ila kuonekana umembebea mikoba ya uchawi wake.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom