Matukio ya 2019 duniani

Matukio ya 2019 duniani

Vw Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
377
Reaction score
343
Nitachangia kutokana na ufahamu wangu wa mambo hasa kutokana na hii dunia kuendeshwa kwa siri kubwa sana ..

Kila mchoro hapo umewekwa kurepresent jambo flani kulingana na umuhimi wa mchoro au mhusika alionao kwenye ulimwengu unaonekana...

Picha ya Trump inaonekana ,pia Putun anaonekana ,kuna picha ya Fibonacci inaonekana,na wanayama wanaonekana...

Labda nigusie kidogo kuhusu picha ya Trump na Putin kuonekana hapo...

Hii inadhihilishwa kuwa mwkaa 2019 ni mwaka wa kiuongozi ambapo dunia itaendeshwa kwa ushindani wa mataifa mawili U.S.A na Rusia hasa katika final say ya mambo mengi ya kidiplomasia na maswala ya kuingilia migogoro mbali mbali duniani na wao ndo wataonekana kuwa vinara katika ulimwengu huu kutokana na mvutano utakaokuja kutokea hapo badae ( ndani ya 2019)..

Picha ha hao watu wengine sijawatambua vizuri lakini principle code za Fibonacci hasa kwenye Golden ratio ambayo imetymika kuchora na kudisplay code za watu na vitu hapo ndo zinaenda kuamua juu ya utumizi wa code katila mwaka 2019 ambao ni mwaka unaoenda kuongozwa kwa mbinu ya usawa katika mizani iliyofichwa kwa makini ...Fibaonacci alikuwa ni mtu aliyetumia taaruma yake ya uchoroji kama alivyokuwa Da vinci na mambo mengi walifichwa kupitia michoro hivyo basi kama ni mtu wa kufuatilia michoro basi mwaka huu wa 2019 utakuwa ni mwaka ambao michoro itaportray mambo flani..

Ukitazama picha ya huyo mtu aliebeba mizani ( mchoro kutoka kwa Da vinci huo huwa una maana kubwa sana ) katika upande wa kushoto inaonesha kuwa dunia inaenda kuwa katika usawa na mizani...

Mtu atahukumiwa kwa mizani manake nini...utapewa nafasi kulingana na uzito wako mwenye nafasi ya kuamua jambo ni yule mwenye uzito wa maamuzi.....

Mwenye nafasi kubwa atakuwa na uzito mkubwa hasa katika kufanya maamuzi manake ni mwaka wa kuamuliwa kutokana na mizani ya uwezo ulionao huku Rusia na U.S.A kuonekana kuwa na maaamuzi makubwa kwenye mambo yote au issure zote zitakazosoviwa kwenye dunia hii hasa 2019...

Hiyo picha ya majani upande wa kulia wa huyo mtu unaonesha kuwa mfumuko wa bei wa mazao ndo unaenda kuamua uchumi kwa baadhi ya nchi duniani..

Kilimo cha madawa ya kulevya kama bangi kinaenda kuhalalishwa duniani kote huku nchi nyingi zitatoa tamko la kuruhusu bangi kuwa zao la kawaida...na ndo itakuwa kama economic issue ya baadae

Ukitazama upande wa kulia jamaa kashikilia simu ( smartphone) hii inadhihilisha kuwa mwaka 2019 ni mwaka ambao kutakuwa na revolution na inversions nyingi za simu huku soko la ushindani wa simu litashika kasi sana...

Simu mpya nyingi katika matoleo tofauri zitashika kasi na dunia nzima itakuwe kwenye mfumo wa simu nyingi hasa smartphone,manake nini smartphone zinaenda kuongoza kwenye soko la mauzo ya bidhaa za kielectroniki hasa kwa watumiaji wake na dunia nzima itakuwa kiganjani kwa kila mtu ...

Kuna picha ya gari hapo linaonekana kutumia plug ya umeme...
ni techolonia mpya toka japani na China ambapo inaenda kupewa nafasi kwa mara ya kwanza kuingiza ushindani wa utengenezaji wa aina mpya za magari ambazo nazo ninaenda kutikisa mfumo wa maisha ya watu katika mwaka 2019..gari zenye kutumia umeme zitafanyiwa majaribio mengi sana mwaka mpya wa 2019.

Kuna picha ya sanduku la kura hapo chini likionesha bendera ya South Africa nahisi inaonesha kuwa uchaguzi wa Rais South Africa unaenda kutikisa dunia huku ukitawaliwa na Intelligensia kali sana...nahisi ndo uchaguzi ambao dunia kama dunia itauangalia kwa jicho la tatu huku ukionesha kuwa na nafasi kubwa sana hasa katika mambo ya diplomasia ya hali ya juu sana...

Pengine ndo ukawa uchaguzi wenye mfano wa kuigwa kwa figisu au haki ya hali ya juu sana ..pengine tusubiri tuone itakuwaje....

Picha ya tenis hapo nahisi inaonesha kuwa kutakuwa na uvunjaji na uwekaji mpya katika medani ya michezo hasa tenis pengine huenda kukawekwa record mpya ya mtu mashuhuri katika michezo au kuvunja record nyingine mpya...tusubiri tuone..

Hiyo picha ya mbwa wa kisasa zaidi kwa nchi za ulaya pengine huenda ndo ukawa mwaka wa ustarabu ( new civilization ) zaidi hasa kati ya binadamu na mbwa wa kisasi ,huenda 2019 ndo ukawa mwaka ambao watu wengi wanaenda kuupa ustarabu huo nafasi kubwa zaidi kuliko wanyama wengine..

Picha ya mizani upande wa kushoto inaonesha watu tofauti pande mbili na hii inaonesha kuwa kuna kundi la watu au race flani itaenda kuamua usawa katika maisha ya watu duniani....migogoro ya haki inaenda kuamuliwa na kundi flani wa watu na hao ndo watakuwa na nguvu katika final say ya jambo flani juu ya mgogoro flani..ndo mana mzani umeegemea upande flani wa watu richa ya kuwa na watu sehemu zote mbili...means kuna mataifa yatalazimisha haki flani itendeke juu ya uonevu au jambo flani kwa raia...

Picha ya kwanza kushoto juu inaonesha Ungo la satilite hii inaonesha kuwa mwaka 2019 ni mwaka ambao space inaenda kufanyiwa exploration kubwa sana huku mataifa mengi hasa kutoka nchi mbali mbali ikiwepo China ( Asia nzima) ,Africa na Ulaya pamoja na nchi za magharibi zinaenda kufanya ushindani katika mambo ya Anga ..

Kutakuwa na taarifa nyingi za mambo ya anga kutoka nchi mbali mbali na nchi nyingi zinaenda kufanya exprolation za kutosha hasa katika space colonization...tumeona nchi nyingi zimesema zitaanza kufanya majaribio ya kupeleka watu au viumbe katika sayari zingine..huenda mwka huu wa 2019 ukawa mwaka wenye mapinduzi makubwa na SPACE EXPLORATION.

Nimejaribu kuelezea kutokana na ufahamu wangu pengine na mwingine anaweza kusema chochote ila mwaka 2019 ni mwaka ambao ni namba 3 ,namba hii ni namba ambazo zina nguvu sana hasa katika kuleta impact ya jambo lolote..

Namba hiyo inakuja baada ya kusum up namba zote kwenye jumla ya namba zote kweny hii 2019 ambao utapata namba moja ambayo ni tatu
2019 = (2+0+1+9) =3

mbili jumlisha sifuri unapata mbili,theni jumlisha na moja ,utapata tatu,sasa jumlisha hiyo tatu na tisa utapata kumi na mbili hiyo kumi na mbili (12) sasa hiyo 12 ni sawa sawa na kuchukua 1+2 utapata 3 ...

So 3 ni namba kubwa sana kimaaumuzi..refer great numbers that posses code ...namba zingine ni 6 na 9

ndo mana Tesla anakwambia if you want to understand how the universe works think about these three numbers 3 ,6 and 9

Mwingine anaweza akaendelea kumalizia na interpretation ya hiyo kitu ambayo the economist wameitoa kupitia website yao ya jarida lao ..

Sent as received,,,,,
IMG-20190104-WA0024.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana Da'Vinci atabaki kua mtu wa ajabu na aina yake kuwahi kutokea ulimwengu huu!! Imagine ni miaka 500 toka awepo lakini kazi zake zimebaki kua Mdaharo wa dunia! Watu wanakaa wanajaribu to uncode the code that are coded 500yrs ago..
Live long ma Mentor
 
Sent as received,,,,,View attachment 985603

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uhuni uhuni wa ku paste bila kutoa compliments kwa muandishi mtaacha lini? Toa heshima kwa lifecoded as lifecoded ndiye muandishi wa hii katika uzi Fulani! Acheni uhuni,mnakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana Da'Vinci atabaki kua mtu wa ajabu na aina yake kuwahi kutokea ulimwengu huu!! Imagine ni miaka 500 toka awepo lakini kazi zake zimebaki kua Mdaharo wa dunia! Watu wanakaa wanajaribu to uncode the code that are coded 500yrs ago..
Live long ma Mentor
Lakini alikuwa shoga. Tena ni bottom. Daamn!

Si mimi bali ni history ndivyo inavyosema. Kwa hiyo ni fact hiyo.
 
Asantee sana mkuu kama utaweza elezea baadhi ya vitu ulivyo viacha kama mnyama wa zamani sana dainasoli pia kuna tembo , dubu na pia kuna ndege kama amebeba kifurushi na kuna watu wapo kwenye farasi wamebeba siraha kama ya izlaeli mtoa roho. Na pia mimi nilivyo elewa kuhusu kwenye picha inayoangaliana na trump ni inahusu facial recognition na hapo kwenye hicho chombo cha space ni inahusu kuelekea mwezini kwa chombo hicho,ni wazo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uhuni uhuni wa ku paste bila kutoa compliments kwa muandishi mtaacha lini? Toa heshima kwa lifecoded as lifecoded ndiye muandishi wa hii katika uzi Fulani! Acheni uhuni,mnakera

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah....Ila sishangai kaamua kunicredit public kwa kuportray ujumbe wangu kwenye ile thread somewhere... ... tumpe hongera zake anastahili pengine kwa maoni yake..

Mwaka 2019 ni mwaka wa hamasa na kutakuwa na uhamasishaji mwingi sana wa Advanture( Hasa kwenye mambo ya maliasili pamoja na utembeleaji wa mbuga za wanyama na maeneo mengi ya vivutio).

Nchi zenye vivutio kama wanyama ,milima na wanyama ambao ni nadra kuonekana sehemu mbali mbali zitapata fedha nyingi za kigeni kwani mwaka 2019 ni mwaka wa hamasa ya Advanture and Tour ndo mana kuna wanyama na milima imewekwa hapo...

Lakini mbali na hapo ni mwaka ambao dunia kama dunia inaenda kutumia codes za Fibonacci na Leonardo Da vinci katika enumaration ya mambo mengi sana...
Manake nini kutakuwa na utapeli wa hali ya juu sana hasa kwa watu ambao hayujui kutumia code,means that, ni mwaka ambao coding system nyingi zitakaaa kwa stail ya michoro...you have to think about numbers to savive kwenye ulimwengu huu..

Tumeshaona Kampuni toka Space X technology wameanza kupokea order toka kwa matajiri wakubwa ambao wanataka gari za umeme ,kampuni ya microsoft imetoa order ya gari nyingi sana hasa kwa wafanyakazi wake ambao wapo kwenye credibility kubwa ya kutumia technology hiyo..

Hata bongo huku nimeona mtu flani mkubwa sana kapeleka order yake kule nadhani kila mtu anafahamu...

Hii dunia kila kinatakiwa kifuate sequence flani kwa codes ambazo zilishawekwa ,yani binadamu anafanya kuuncode tu na kusoma sequence ya coding tu ndo anasavaivu...hivyo basi ni ujumbe tosha kuwa coding has been a way to reach civilization ambazo mwanadamu hajafikia..

Mwaka 2019 ni mwaka ambao kuna kiongozi mkubwa sana mwanamke anaenda kuitikisa dunia hata katika mambo ya kidiplomasia na kimaamuzi...yupo kwenye hiyo picha hapo wamemuweka...

Lets start seing kimoja kimoja...tesla wameshaanza kutoa promotion zao..

Na jama Nchi ya china kupitia kitengo chao cha Space exprolation wametoa taarifa kuwa tayari wataalamu wa Genetics wameshaotesha mimea special kwa ajili ya kwenda kufanya atmospheric air balance kwenye baadhi ya maeneo ya sayari za mbali ( beyond our space )..

Ngoja tuone tena Shirika la Afya duniani ambalo muda si mrefu litatoa ratiba ya kuazimisha magonjwa makubwa duniani kama Diabetic mellitus( kisukari) na mengine mengi na namna ya kujikinga nao kwa kufanya mazoezi pamoja na Advanture( Tour) za kupanda milima n.k ambapo upandaji milima kama sehemu ya kufanya mazoezi ndo inaenda kupewa hamasa na nasikia kuna nchi moja duniani inataka kutengeneza artificial mlima ( mlima bandia) unaenda kupewa kipaumbele kikubwa mwaka 2019 na kutakuwa na mashindano kwa wale watakaokuwa wamevisit nchi nyingi duniani watapewa tuzo ....
Ni mengi sana ya kuelezea ila ni mwaka ambao ni balaaaa kutakuwa na timbwili nyingi sana hasa katika middle semester of the year..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana Da'Vinci atabaki kua mtu wa ajabu na aina yake kuwahi kutokea ulimwengu huu!! Imagine ni miaka 500 toka awepo lakini kazi zake zimebaki kua Mdaharo wa dunia! Watu wanakaa wanajaribu to uncode the code that are coded 500yrs ago..
Live long ma Mentor
Mentor gay are you sure?

A philanthropist
 
Ni kawaida mkuu, binadamu hakosi mapungufu hata wewe tukiyasema yako hutaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapungufu nitakuwa nayo ila siyo kuwa gay tena bottom. Ijapokuwa alikuwa painter, sculptor, architect, inventor, military engineer na draftsman ila alikuwa ana' downloadiwa na sishangai kwani Waitalia ndiyo michezo yao hiyo.

Kumbukumbu ya Florentine court inaonesha da Vinci na wenzake 4 were charged with sodomy in 1476.
 
Mbona kuna uchafu zaidi ya huo mkuu. Mathalani wewe mimba ulizowahi kuzitoa tu ni unyama wa hatari.

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Pia naona hilo lijitu la miraba ameshika mmea wa marijuana kwahiyo ndo inamaanisha sisi watumiaji ndo tunaelekea kuwa huru??? lifecoded
 
Back
Top Bottom