R.Kelly: Freemasons wakikasirika

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
738
Mpaka hii leo kuna watu ambao ukiwaeleza habari za freemasons huona tu kama ni hadithi za kufikirika na kwamba hazina uhalisia wowote katika maisha ya kawaida.

Well, kama wewe ni mmoja wa watu wenye imani hiyo nikwambie tu uanze kuifuta dhana hiyo kichwani mwako maana THIS THING IS VERY REAL. Freemasons wapo na wana nguvu na ushawishi mkubwa kwa kila kinachofanyika duniani kwa namna ambavyo huwezi kufikiria. Hawa watu ndio wanacontrol uchumi wa dunia, hawa ndio wanacontrol KILA KITU KINACHOHESHIMIKA DUNIANI kuanzia viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, wanamichezo na hata wanamuziki wanaoheshimika zaidi duniani.

Issue inayoendele hivi sasa kwa msanii mkubwa sana duniani Robert Kelly aka R.Kelly ni mfano tosha kabisa kwa wale ambao walikuwa na hofu na uwepo wa hawa watu lakini zaidi sana nguvu za hawa jamaa na influence yao.

Je nini kilisababisha R.Kelly kukutwa na yanayomkuta? Hilo nikipata muda nitaliandikia uzi wake lakini kwa leo ningependa tu kukuambia wewe usiyeamini uwepo wa hawa watu umuangalie R.Kelly.
Mtu ambae alifikia mahali akapewa mfalme wa R&B duniani, mtu ambae ana mashabiki mamilioni kwa mamilioni kote duniani, hivi tunavyoongea hakuna hata mtu mmoja duniani anayefurahia kusikia jina R.Kelly masikioni mwake. Nini kimetokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Iman si Mimi Tuambae haijui hii issue ya R.Kelly mleta mada tafadhali tuhabarishe

R. Kelly kwa sasa anahangaika. Ukimsikiliza kwenye interviews na mitandaoni unamwona kabisa anaongea mpaka analia kwa uchungu kujitetea.

Anataka wanaoshabikia hizo habari watumie tu common sense kutafakari huo uzushi na framing anayofanyiwa lakini ni kama watu hawajali.

Subiri afe sasa usikie ngonjera za kinafiki.

Walimwengu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Influence ya hao jamaa ndo inamtoa huyu jamaa kimaisha
tapatalk_1551972826167.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freemasons wapo, wana influence sana kwenye siasa, dini, uchumi, sanaa na biashara.

Kuna mmoja namfahamu fika maisha yake si kama nilivyomfahamu kabla alikuwa choka mbaya baada ya kujoin brotherhood huko Accra, saivi ana push Range brand new, BMW, Etc.

Aliniambia nijiunge ila kuna fees unatoa around 2000$ kwenye Grand lodge yeyote kama ile ya Posta.

Alinificha mengi na majibu yake ni shortcut.

Baada ya kuwaza mbali niliamua nitulie kwanza.

Watu hawachelewi kupigwa hapa...ha ha
 
R. Kelly kwa sasa anahangaika. Ukimsikiliza kwenye interviews na mitandaoni unamwona kabisa anaongea mpaka analia kwa uchungu kujitetea.

Anataka wanaoshabikia hizo habari watumie tu common sense kutafakari huo uzushi na framing anayofanyiwa lakini ni kama watu hawajali.

Subiri afe sasa usikie ngonjera za kinafiki.

Walimwengu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa! Hata me baada ya kufuatilia unterview zake, nipo katikati. Inawezekana amefanya au hajafanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom