Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia...
14 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za mchana wakuu! Ni kweli dunia imekua ikishuhudia kuibuka kwa viruses tofauti tofauti ambao husababisha vifo vya watu wengi! Now dunia nzima inatikiswa na ugonjwa wa Covid-19, sidhiaki...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kusoma nyota ni kuangalia historià ya mtu na kesho yake Ila wengine wameoneshwa makuu hivyo unaweza kuta mtu kaona Mwangà yaani Nuru sasa kwa ule mng'ao ukija kuuona lazima upofuke pale...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Kwanini baadhi ya watu walio hai hawawezi kuelea majini lakini mwili wa mtu aliyekufa huibuka na kuelea majini? Ni nini faida yake katika Sanaa ya uchunguzi? Wahusika wa matukio ya mauaji ya...
28 Reactions
29 Replies
9K Views
Swali langu siulizi kwa mazingira ya Tanzania tu, bali linaweza kuwa hata kwa nchi zingine. Kuna tofauti gani, kimafunzo, kimbinu na kimajukumu kati ya Maafisa Usalama wa Taifa (IOs) kwa nchi...
19 Reactions
453 Replies
88K Views
ATCL acquires two aircraft daily news; friday, december 29, 2006 @00:03 Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) has leased two aircraft from Celtic corporation based in Canada. One of the...
1 Reactions
578 Replies
79K Views
Heshma kwenu wadau. Nimekuwa nikijiuliza maswali meng ni kipi kilicho katika namba 40. Najiuliza hvo kwa kuwa inasadikiwa(sina uhakika) kuwa huwez kuwa rais wa tanzania hadi uwe na umri wa...
3 Reactions
116 Replies
51K Views
Mimi sio mganga wala mlokole, ni mtu wa kawaida ila ninao uwezo wa kuongea na mtu aliyekufa kabla hajazikwa na ni jambo la kawaida sana. =========== Michango ya wadau Mkuu sio uchawi ni elimu...
10 Reactions
398 Replies
94K Views
Hatari ya video - gushi kutokana na maendeleo ya kieletroniki yanaweza kutumiwa vibaya ili kuchafua haiba ya mtu anayeheshimika na jamii inayomzunguka. Mfano wa Deepfake / Video - Gushi mtu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
UTANGULIZI Wasalaam ndugu zangu, Naomba watalaamu mnijuze hili swali linalonitatiza kwenye maisha yangu kila siku. Kama binadamu tumetokea sehemu moja kwanini tuwe na utofauti mkubwa hasa kwenye...
45 Reactions
199 Replies
60K Views
Hivi kwanini watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko wewe unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua...
11 Reactions
83 Replies
30K Views
John Hugh Smyth-Pigott (1852–1927). Around 1890 Smyth-Pigott started leading meetings of the Agapemonite community and recruited 50 young female followers to supplement its aging population. He...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
WARNING: This thread is highly Critical: 1. Eva aliongea na Shetani ana kwa ana, akatuletea tu Tunda...tukaonekana tumemsaliti Mungu wetu, Je, ni nani Msaliti halisi? 2. Ni wapi nitapata...
29 Reactions
273 Replies
45K Views
UTANGULIZI: Kuna uzi uliwahi kuanzishwa na Ndugu Mwanahabari Huru Ambapo aliwasilisha mambo ambayo Bwana Evarist Chahali aliwahi kuyazungumza kuhusu hali ya Usalama hapa nchini. Japo dhumuni la...
74 Reactions
287 Replies
42K Views
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imenilazimu kuanza kibarua kingine ku "supplement" ajira yangu kuu. Gharama ya nyuma, makadi kibao, na vitu vingine ninavyolipia ambavyo hata sivihitaji...
8 Reactions
100 Replies
19K Views
Uumbaji una mengi na yanayostaajabisha kwa mfano Daktari anapothibitisha mtu amepoteza maisha ni sawa na kusema ndani ya dakika mbili au tatu ubongo umekufa lakini bado sehemu kubwa ya seli za mtu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Salute Comrades Warning: Kuna Computus (Calculations) Kwajina Anaitwa St. Dionysius Exiguus (Dionysius the the humble) tamka Dionisi. Kazaliwa mnamo mwaka 470 na kufariki mwaka 544 A.D, kazaliwa...
23 Reactions
144 Replies
19K Views
SEHEMU YA KWANZA Watu wengi wanashindwa kutofautisha dunia na ulimwengu. Dunia ni hii sayari tunayoishi ya earth na Ulimwengu (Universe) ni hii dunia tunayoishi na sayari zote na kwenda zaidi ya...
9 Reactions
65 Replies
13K Views
Jinsi ya kujua namba yako ya bahati Chukua tarehe yako ya kuzaliwa andika sehem alafu zijumlishe mpaka upate namba.moja. Mfano Date20 = 2+0= 2 Month03 = 0+3=3 Year 1988= 1+9+8+8=26 = 2+6= 8...
3 Reactions
91 Replies
57K Views
Back
Top Bottom