Masokwe
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 454
- 685
what about contagion???Hapo hakuna coincidence. Covid-19 ilianza mwaka 2019 na ndio maana ikaitwa Corona Virus Disease of 2019 (COVID-19). Hiyo dollar ni ya mwaka 2020. Sasa coincidence iko wapi?
Kwaiyo ilitingenezwa na kuzinduliwa mwaka huu huu na kuanza kutumika?Hapo hakuna coincidence. Covid-19 ilianza mwaka 2019 na ndio maana ikaitwa Corona Virus Disease of 2019 (COVID-19). Hiyo dollar ni ya mwaka 2020. Sasa coincidence iko wapi?
Hiyo dollar imeandikwa 2020. Unafikiri imetengenezwa lini? Mwaka 1885 baada ya Berlin Conference? Basi sawa!Kwaiyo ilitingenezwa na kuzinduliwa mwaka huu huu na kuanza kutumika?
Mkuu hivi vitu naamini walivipanga somehow
Sababu kuna ile movie Contagion it's about ugonjwa kama corona, ulienea dunia nzima kuna lockdown kama ambavyo inaendelea sasa hivi, yaani kila kitu but fun thing movie ilitoka mwaka 2011 another coincidence!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kwenye hio movie solution ikawaje mwishone?Mkuu hivi vitu naamini walivipanga somehow