Happy Sunday
Kwetu wanasema utwa mundungu,
Ila kwa taratibu za Watanzania tunasema habari ya Jumapili.
Naamini muwazima wa afya njema kabisa
siku kadhaa niliongea mambo mawili juu ya Maajabu ya...
Preamble: Let me admit that this is the best analysis I have seen in years regarding the myth of overpopulated Africa. Please read it carefully with an open mind, and get the points straight. The...
Ujinga ni kinyume cha elimu. Huu ujinga umegawanyika sehemu mbili :
1. Ujinga ambao dhidi yake ni elimu.
2. Ujinga ambao dhidi yake ni hila
Aina zote hizi mbili nimezizingatia katika mada yangu...
DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake.
Trump ni mtu...
1. They have few friends
They might have lot of acquaintances, but they are careful to choose friends who are at their level of intelligence.
2. They hate small talk
They prefer deep and...
wakuu habari
leo ningependezwa kama tungemjadili mfanyabiashara maarufu toka viunga vya magharibi mwa kingston Jamaica
si mwingine bali ni christopher dudus coke mzaliwa wa Jamaica huku...
Waholanzi Watengeneza Virusi Vya Kuua Wanadamu
Wataalamu wa Uholanzi wametengeneza virusi vinavyotishia maisha ya nusu ya watu wote duniani. Habari hiyo imefichuliwa na gazeti la Corriere della...
Nimesikia watu Fulani..maeneo Fulani wakisema mecca ndio katikati ya dunia...
Km ni kweli dunia ni spherical shape huo ukatikati unatoka wapi?
Namanisha sphere ina center kweli?
Nafikiri km...
Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani...
Kwanza naombeni radhi nitachanganya lugha,kwa wenzangu na Mimi tafsiri ya kichwa cha habari ni hii
"Je,kasi ya kani mvutano inazidi/itazidi kasi ya mwanga Kama..?"
Hili ni swali na linaweza...
Nimeangalia hii video inayotabiri uchumi wa dunia baada ya miaka 2100 nimekuja kushangaa Tanzania ipo kwny top 20 dunia
Nchi za afrika zilizokuwepo ni nigeria,Ethiopia na Tanzania tu
Tanzania...
Rafael Caro Quintero
Achana na Pablo Escobar, kuna huyu gwiji mwingine wa kuuza madawa ya kulevya kutoka Mexico, huyu anaitwa Rafael Caro Quinteto maarufu kama "Narco of Narcos" au ukipenda muite...
Im asking and looking for information if it is posible for a person to in crease his inteligence and also abilite to think fast,please any one to help.
kwa nini neno hili utumika
kisa
Abraham Lee Shakespeare (April 24, 1966 – c. April 7, 2009) was a casual laborer from U.S.A. who won a thirty million dollar lottery jackpot in Florida...
MWANZO WA SIKU ZA MWISHO NA UTIMILIFU WA NYAKATI KATIKA KITABU CHA UFUNUO.
Leo 13:15pm 15/03/2020.
Leo tunaanza kukiri ya kwamba Mungu wa Mbinguni ndiye Muumba wetu na mwokozi wetu baada ya...
Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo...
Assalam alayqum wana JF, ni matumaini yangu mmeamka salama.
Niende kwenye kichwa cha thread, kuna hiki kitu nimeshakifanyia utafiti ikiwemo hata mimi mwenyewe, kuna uhusiano gani mwanamke...
Habari za mchana, nitawaletea kidogo habari za mwanateknolojia aliyeitingisha jeshi la Marekani pamoja na serikali kuanzia mwanzo wa mwaka 2000.
Gary McKinnon ni nani haswa? Huyu ni mtaalamu wa...
Habari
hii ndoto imenitisha kidogo
usiku kuamkia Leo nimeota nimeua/nimekill jamaa ukimtizama ni ana bonge la bodi yaan mwili mkubwa then nikamkata kidole gumba nikakifukia mahali alafu mwili...