April 29 mwaka huu, dunia itaponea chupuchupu kugongana na kimondo

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
232
643
Jamatano ya April 29 mwaka huu, dunia itaponea chupuchupu kugongana na kimondo kilichopewa jina Asteroid (52768) OR2 1998 chenye kipenyo cha kilomita 4.1 kilichogunduliwa mara ya kwanza 24 July mwaka 1998 na shirika la utafiti wa masuala ya anga la Marekani (NASA).
_
Tangu kugunduliwa kwake kimondo OR 1998 kimekuwa kikiikaribia dunia mara kadhaa kutokana na njia yake (orbit) kukaribiana na orbit ya dunia. Mwaka 2004 kilikaribia kwa umbali wa maili milioni 4.5 kutoka uso wa dunia.

Kimondo hicho kinachozunguka kwa spidi ya maili 19,461 sawa na kilomita 31,319 kwa saa au kilometa 8.7 kwa sekunde kimetajwa kuwa hatari zaidi kati ya vimondo vilivyopo angani (most hazardous asteroid on space) na kinaweza kusababisha madhara makubwa kama kitagongana na dunia.

Hata hivyo hakiwezi kugongana dunia kwa sasa. April 29 kitaikaribia dunia lakini kitapita umbali wa maili 3.7 milioni sawa na kilomita milioni 6 kutoka dunia ilipo. Mwaka 2031 kitapita mbali zaidi (kilomita milioni 19) kutoka uso wa dunia na mwaka 2048 kitapita umbali wa kilomita milioni 11 kutoka dunia ilipo.

Kwa mujibu wa NASA, April 16 mwaka 2079 kimondo hicho kitakaribia zaidi kwa kupita umbali wa chini ya kilomita milioni 1 kutoka dunia ilipo. Ukaribu huo utasababisha mvutano unaoweza kufanya kigongane (colide) na dunia, mtikisiko unaoweza kuifanya dunia ihame kwenye orbit yake. Ikitokea hivyo huo ndio utakuwa mwisho wa ustaarabu wa dunia (end of human civilization). Ikitokea vinginevyo basi maisha yataendelea kama kawaida.!
Screenshot_2020-04-19_183920.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile nimechoshwa na madhara ya Covid-19, natamani ingegonga tuone hali ingekuwaje. I mean natamani kuona kitu kipya, I don't like it here anymore.
Mbona vitu vipya vipo!!
Hujataka kuvitafuta tu.. elimu duniani ipo vitu vipya vipo vingi tu ni wewe kujibiidisha kuvitafuta!

Halafu usiwe mkatili kiasi hicho unataka kigonge dunia madhira yake utayaweza..?
 
Nataka kitu kipya ambacho sio lazima nikitafute.
Mfano madhara ya Covid-19, yanajileta yenyewe bila kutafutwa.

Hata hivo usichukulie kila kitu siriazi.
 
Eti kimondo chenye kipenyo Cha 4km kisambaratishe na kihamishe dunia kwenye orbit yake Kwanza kabla hakijatua kitaungua labda mawe makubwa makubwa yatatuua lakini kutumaliza siyo!

Labda liwe kubwa Kama mwezi
Mkuu iyo kitu inatembea na kasi ya 8.7KM per second! Yaani ikitua hapa duniani impact yake sio ya kitoto, itatengeneza shockwave ambayo itaua kila kiumbe duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamatano ya April 29 mwaka huu, dunia itaponea chupuchupu kugongana na kimondo kilichopewa jina Asteroid (52768) OR2 1998 chenye kipenyo cha kilomita 4.1 kilichogunduliwa mara ya kwanza 24 July mwaka 1998 na shirika la utafiti wa masuala ya anga la Marekani (NASA).
_
Tangu kugunduliwa kwake kimondo OR 1998 kimekuwa kikiikaribia dunia mara kadhaa kutokana na njia yake (orbit) kukaribiana na orbit ya dunia. Mwaka 2004 kilikaribia kwa umbali wa maili milioni 4.5 kutoka uso wa dunia.

Kimondo hicho kinachozunguka kwa spidi ya maili 19,461 sawa na kilomita 31,319 kwa saa au kilometa 8.7 kwa sekunde kimetajwa kuwa hatari zaidi kati ya vimondo vilivyopo angani (most hazardous asteroid on space) na kinaweza kusababisha madhara makubwa kama kitagongana na dunia.

Hata hivyo hakiwezi kugongana dunia kwa sasa. April 29 kitaikaribia dunia lakini kitapita umbali wa maili 3.7 milioni sawa na kilomita milioni 6 kutoka dunia ilipo. Mwaka 2031 kitapita mbali zaidi (kilomita milioni 19) kutoka uso wa dunia na mwaka 2048 kitapita umbali wa kilomita milioni 11 kutoka dunia ilipo.

Kwa mujibu wa NASA, April 16 mwaka 2079 kimondo hicho kitakaribia zaidi kwa kupita umbali wa chini ya kilomita milioni 1 kutoka dunia ilipo. Ukaribu huo utasababisha mvutano unaoweza kufanya kigongane (colide) na dunia, mtikisiko unaoweza kuifanya dunia ihame kwenye orbit yake. Ikitokea hivyo huo ndio utakuwa mwisho wa ustaarabu wa dunia (end of human civilization). Ikitokea vinginevyo basi maisha yataendelea kama kawaida.!View attachment 1423874

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasayansi wana vituko sana. Ila poa tu.
 
Nina swalo dogo, hawa jamaa hizi taarifa za kitu kabla hakijatokea wanazipata vipi na hizo namba wanazipataje ?
 
Estimation tu wanatumia kwamba kwenye satellite zao wameona comet inakuja ina size fulani ina spidi fulani Kwahiyo wanapiga hesabu kuwa kwa spidi hii basi itafika eneo fulani siku hii na impact yake itakua hivi.

Ni estimation tu za hisabati kulingana na mazingira. Ikumbukwe sio mara ya kwanza hizi vimondo kuanguka duniani hata mbeya pale kilianguka so ni issue inayoweza tokea huko mbeleni tena.
 
Mkuu iyo kitu inatembea na kasi ya 8.7KM per second! Yaani ikitua hapa duniani impact yake sio ya kitoto, itatengeneza shockwave ambayo itaua kila kiumbe duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
We bwege usitutishe na hiyo taarifa yako ya mabeberu yani mnaogopa kitu msichokijua achana na story za kusadikika wacha kishuke tuone hiyo speed yake sitishiki na vitu nisivyovijua
 
Back
Top Bottom