Mtu huzaliwa na akili au anazipatia duniani ?

Mimi kwa uelewa wangu akili hupimwa kwa uwezo wa mtu kupambana na changamoto na akashinda. Mfano mitihani ya darasani au ya maisha yote ni changamoto. Hivyo basi, akili ni lazima iwe manifested and proved hapa duniani.Kwa mantiki hiyo, yule anaye ionesha na kuidhihirisha hiyo akili basi anayo wala hajaikuta hapa duniani. Vinginevyo ingekua embe kila mtu anaweza kutungua akala nyumbani kwake.
 
Mara nyingi Akili naona inatokana na kurithi kutoka kwa baba au mama kwenda kwa mtoto na nyingine kurithi kutoka kwa baadhi ya ndugu,,,


Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi Akili naona inatokana na kurithi kutoka kwa baba au mama kwenda kwa mtoto na nyingine kurithi kutoka kwa baadhi ya ndugu,,,


Sent using Jamii Forums mobile app
baba yako alitoa wap utasema nae alirithi sio😅 kama wewe ni mkristo turudi kwa Adam as the first man on earth tuanzie pale au wewe unasemaje?
 
Intelligent Ability

Ni kama Vipaji vingine..

Mfn kipaji cha mpira.. unawez ukawa una kipaji ukafanya vzr lakin kama hauna Jitihada za mazoez unaweza ukaua kipaji (kwa upande wa Intelligent kama huendelezi Kipaji chaako cha akili kwa kuongeza maarifa zaidi basi ule uwezo unaudumaza)

Tunarud ktk kipaji cha mpira..

Wapo wanaolazimisha mpira kwa jitihada binafs na wanafika mbali.. (kwa upande wa Intelligent area.. wapo watu wanapiga msurii balaa na wanafaulu darasan kwa kutumia nguvu nying na muda mwingi kusoma) hawa wako tofaut na wale wenye vipaji asili.. ambao hawatumii nguvu nying kuelewa jambo.

Kitu kingine cha ziada..


Jinsi mtoto anavyizaliwa na malezi yake ndio yanayoleta mtu BRILLIANT AU TUTUSA katika jamii

So jitahidini watoto wenu muwalee vzr tangia akiwa ananyonya kwa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazaliwa nayo ila uelewa wa kuitumia unaukuta duniani ndo maana tunatofautiana akili na ufikiri ingekuwa tunaikuta duniani tungeishi Kama maroboti mpaka tupigwe mfumo endeshi ndo tuelewe nakubalia na wanaosema elimu ya darasani inaflash akili ya kuzaliwa ya mwanadamu matokeo yake tunajikuta tunakaririshwa utaratibu na uelewa wa watu fulan fulan walokaa mezani wakajiandikia ndoo maana Karne yetu wabunifu wanapungua wanacopy na kumodifly na kupest ko kuzaliwa unazaliwa na akili zako ni Kama kuzaliwa mwanamke ila umalaya unaukuta duniani kila kitu kina alpha na omega


Sent from my I phone
 
Back
Top Bottom