Makajuvi
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 167
- 235
Wakuu heshima zenu.
Naomba kujua kuhusu protocal za ulinzi wa rais, hawa huwa wanateuliwaje? Maana katika pitapita zangu leo nimebaini kwamba aide-de-camp wa Rais Magufuli, ndiye yuleyule aliyekuwa pia aide-de-camp wa Rais Kikwete ingawa inaonesha aliingia baada ya aliyekuwepo awali kustaafu.
Lakini pia hawa jamaa wa usalama, yule anayekaa pembeni ya rais akiwa katika nguo za kiraia, alikuwa pia katika kikosi cha usalama wa Rais Kikwete ingawa inaonekana hakuwa katika rank ya juu kama sasa.
Naomba kujua, kwanza kuna tofauti gani kati ya yule anayevaa kombat na wale wanaovaa za kiraia? Wanateuliwaje kwa maana sifa na vigezo vyao huwa ni vipi? Nategemea wajuvi wa mambo mtanielewesha.
With due respect!