Can light push object..?

Can light push object..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,850
Reaction score
86,802
I think mpo good wadau,

Ningependa kwa anaefahamu kuhusiana na hilo swali hapo juu anijuze. Binafsi nimejiuliza but nimeambulia hollaaa. I hope humu nitapata majibu.

Kwa lugha yetu pendwa; Je, Mwanga unaweza kusukuma kitu?

Karibu
 
Kwa ufahamu wangu mimi, haiwezekani, ila kwa kuwa humu kuna wataalam zaidi watatujuza. Kama ungekuwa unaweza kusukuma tungekuwa tunasukumwa na mwanga wa jua kila siku, but tuwasubiri wajuvi zaidi
 
kwa haraka haraka nimefikiri mwanga unaweza pale tu patakapokuwa na energy convertion from light to mechanical energy.

ntapita baadae ngoja tuangalie huko duniani wanasemaje. mada fikirishi
 
ndio mwanga unaweza ku push object hata kama hauna rest mass, einstein ali propose na ikawa proved kweli kua photons zilizo ktk light zina momentum given by E/c ambapo E ni energy ya photon na c ni speed of light!!!! kama una momentum basi u can push object
 
practical ilifanyika..?
 
kwa haraka haraka nimefikiri mwanga unaweza pale tu patakapokuwa na energy convertion from light to mechanical energy.

ntapita baadae ngoja tuangalie huko duniani wanasemaje. mada fikirishi
Karibu tena mkuu
 
Mada fikirishi Sana hii ila Kwa upewo wangu nathani light can push object but jinsi ya kuelezea sasa nashindwa
 
Pushing object=== doing work, it requires energy
What is work? Work is the Force multiplied by the distance moved by the object in the DIRECTION OF FORCE. No distance moved, no work. Ukibeba jiwe la kilo 100 halafu ukawa umesimama pale pale, workdone inakuwa zero because NO DISTANCE IS MOVED
So, energy does work, not LIGHT
Therefore LIGHT will only do work, when it is converted to LIGHT ENERGY, e.g. LASER light. Mwanga kama mwanga hauwezi kufanya kazi, mpaka uwekwe kwenye aina fulani ya nishati, e.g. nishati ya mwanga wa jua!

Therefore light cannot push an object, because light as light cannot do work if it's not first, converted to some form of light energy
 
ndio mwanga unaweza ku push object hata kama hauna rest mass, einstein ali propose na ikawa proved kweli kua photons zilizo ktk light zina momentum given by E/c ambapo E ni energy ya photon na c ni speed of light!!!! kama una momentum basi u can push object
 
I think mpo good wadau,

Ningependa kwa anaefahamu kuhusiana na hilo swali hapo juu anijuze. Binafsi nimejiuliza but nimeambulia hollaaa. I hope humu nitapata majibu.

Kwa lugha yetu pendwa; Je, Mwanga unaweza kusukuma kitu?

Karibu
Ndiyo inaweza na majaribio yanfanyika huko australia kwasasa wameshaweza kumove viparticles vidogo hewani
 
Pushing object=== doing work, it requires energy
What is work? Work is the Force multiplied by the distance moved by the object in the DIRECTION OF FORCE. No distance moved, no work. Ukibeba jiwe la kilo 100 halafu ukawa umesimama pale pale, workdone inakuwa zero because NO DISTANCE IS MOVED
So, energy does work, not LIGHT
Therefore LIGHT will only do work, when it is converted to LIGHT ENERGY, e.g. LASER light. Mwanga kama mwanga hauwezi kufanya kazi, mpaka uwekwe kwenye aina fulani ya nishati, e.g. nishati ya mwanga wa jua!

Therefore light cannot push an object, because light as light cannot do work if it's not first, converted to some form of light energy
Kufanya kazi na kusukuma ni vitu ambavyo vina uhusiano wa karibu lakini si kila ukisukuma basi kazi ionekane
 
Ni kweli. Kile ulichokisukuma kisipoweza kusogea na kutoka pale kilipokuwa awali, kisayansi hapo kazi ni hakuna
 
Back
Top Bottom