Soma uzi huu ujifunze na uwafahamu vumbe wajulikana nao kama Alliens

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
946
Mfahamu Alien

Nikiumbe Kama Kinacho Fanana Na Binadamu Ila Wao Wanaishi Galaxy Nyingine Na Hii Tunayo Ishi Sisi Yaani Ukiachana Na Jumla Ya Sayari 8 Zinazo Zunguka Jua Ambapo Binadamu Anapatika Kwenye Sayari Ya 3 Basi Kuna Galaxy Nyingine Wanahishi Hawa Viumbe Na Inasemekana Kuna Zaidi Ya Galaxy Million

Alien Wanauwezo Wa akili Mara 100 Ya Binadamu
Mara Ya Kwanza Alien Walidondoka Nchini Mexico Wakati Huo Mexico Ilikuwa Haina Technologia Yeyote Ilee Basi Jeshi La Mexico Moja Kwa Moja Lili Wasiliana Na Marekani Kwa Wakati Huo Marekani Ndiyo Nchi Iliyo Kuwa imeendelea

Jeshi La Marekani Lili Wasili Na Kuwachua Hao Alliens Ambapo Walikuwa 4 Wawili Walifariki Palepale Marekani Walivyo Wachukua Hao Alliens Waliwaifadhi Kwenye vyombo Vya Oxygen Kwakuwa Walikuwa Hawawezi Kutumia Hewa Oxygen Kwa Muda Mrefu Zaidii

Mmoja Alikufaa Kutokana Nakushindwa Kula Chakula Chaduniani P1 Na Hewa Akabakia Mmoja Yule Mmoja Akawa Anaonesha Ishara Kwa Kidole Kuonesha Kile Chombo Ambacho Ni U.F.O. Wanacho Kitumia Kusafiria

Basii Aliwasiliana Na Wenzie baada Yasiku Kazaa Walipokea Signal Kutoka Kwa Wale Wenzie Basi Walifika Waka Wakawachukua Wenzao Ila Wamarekani Wakaomba Na Wao Kutembelea Huko Wanapoishi Wao

Basi Walipanga Safari Zakianga Wanasansi Kumi na Mbili 12 Walienda Ila Wanavyo Dai Walikufa Wotee

Baada Ya Hapo Aliens Wakaingia Makubaliano Na Marekani Kwamba Tuna Wapa Technologia Ila Sisi Tuna Wachukua Binadamu Na Kuwafanyia Uchunguzi Ndiyo Maana Marekani Kuna Kipindi Camera Zilikuwa Zina Wanasa Alliens Kwenye Majumba Ya Watuu

Kuna Mama Mmoja Nchini Marekani Alikuwa Amemlaza Mtoto Wake Chumba Kingine Usiku Mtoto Akawa Anaongea Mambo Yaajabu Na Kupiga Kelele Akisema Mom Aliens Mom Aliens
Mamaliamka Na Kwenda Ila Hakukuta Kitu Na Mtot Alikuwa Salama

kesho Yake Aliangalia Kwenye CcTv Cammera Za Nyumba Hiyo Kweli Walimuona Huyo Aliens Akiwa Anaondokaa
Baada Ya Video Kusaambaa FBI Wakaipiga Puuuu Huo Mjadala P1 Na Mashirika Mengine Apo Marekani

=====Mwisho=====
FB_IMG_1591513642867.jpg
 
Umesema tulipokuwa sisi Galaxy moja ambayo ina sayari 9 na wao hawapo Galaxy hii kwamaana wanatoka Galaxy nyengine ambayo Logically inakuwa na masayari kadhaa kama yetu.

Sisi kwa kutumia rockets zetu tu bado kutoka sayari moja mpaka nyengine tunaweza ila kwa kujikakmua sana, mpaka leo kutoka Earth to Mars bado tuna Hustle.

SWALI
Sasa wao wamewezaje kutoka Galaxy yao mpaka yetu ambapo Logically wanapita masayari 15+ umbali mrefu sanaaa.
 
Umeambiwa wana akili 100 times ya akili ya binadamu. Kama binadamu wametengeneza rocket ya kuweza kufika Mars, sasa hawa Aliens ni mara mia zaidi ya uwezo huo! Umepata picha?
 
Hizo ni stori kama stori nyingine za kwenye vijiwe vya kahawa na draft.

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Hao alien wanaongea kinyakyusa au kisukuma.?namaanisha lugha wanayoongea.
Kwamujibu wa movie hawaongei wanatoa ishara tu. Kaangalie Koil mil gaya ya Hrithik Roshan 2003 dk 3-20.

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Hao alien wanaongea kinyakyusa au kisukuma.?namaanisha lugha wanayoongea.
Hizo ni stori kama stori nyingine za kwenye vijiwe vya kahawa na draft.

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
mkuu alliens wapo.
mwaka 2017 mwezi mwezi september walifika dodoma, wakashambulia human being maeneo ya area D, baadae kidogo jeshi la polic liling'oa CCTV camera za eneo lile, nadhani wamepeleka kwa CIA kwa ajili ya uchunguzi.

Hao alliens ni wabaya sana na awamu hii walionekana kupenda sana TZ na kuwashtukiza baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wa upinzani
 
Umesema tulipokuwa sisi Galaxy moja ambayo ina sayari 9 na wao hawapo Galaxy hii kwamaana wanatoka Galaxy nyengine ambayo Logically inakuwa na masayari kadhaa kama yetu.

Sisi kwa kutumia rockets zetu tu bado kutoka sayari moja mpaka nyengine tunaweza ila kwa kujikakmua sana, mpaka leo kutoka Earth to Mars bado tuna Hustle.

SWALI
Sasa wao wamewezaje kutoka Galaxy yao mpaka yetu ambapo Logically wanapita masayari 15+ umbali mrefu sanaaa.
unaambiwa wana akili mara100 zaidi hivyo inawezekana wamefika
 
Mimj ili nikuamini nipgie video call ukiwa unakula nao faru john
Tofaut na hapo we bado limbukeni tu wa movies.
 
Mfahamu Alien

Nikiumbe Kama Kinacho Fanana Na Binadamu Ila Wao Wanaishi Galaxy Nyingine Na Hii Tunayo Ishi Sisi Yaani Ukiachana Na Jumla Ya Sayari 8 Zinazo Zunguka Jua Ambapo Binadamu Anapatika Kwenye Sayari Ya 3 Basi Kuna Galaxy Nyingine Wanahishi Hawa Viumbe Na Inasemekana Kuna Zaidi Ya Galaxy Million

Alien Wanauwezo Wa akili Mara 100 Ya Binadamu
Mara Ya Kwanza Alien Walidondoka Nchini Mexico Wakati Huo Mexico Ilikuwa Haina Technologia Yeyote Ilee Basi Jeshi La Mexico Moja Kwa Moja Lili Wasiliana Na Marekani Kwa Wakati Huo Marekani Ndiyo Nchi Iliyo Kuwa imeendelea

Jeshi La Marekani Lili Wasili Na Kuwachua Hao Alliens Ambapo Walikuwa 4 Wawili Walifariki Palepale Marekani Walivyo Wachukua Hao Alliens Waliwaifadhi Kwenye vyombo Vya Oxygen Kwakuwa Walikuwa Hawawezi Kutumia Hewa Oxygen Kwa Muda Mrefu Zaidii

Mmoja Alikufaa Kutokana Nakushindwa Kula Chakula Chaduniani P1 Na Hewa Akabakia Mmoja Yule Mmoja Akawa Anaonesha Ishara Kwa Kidole Kuonesha Kile Chombo Ambacho Ni U.F.O. Wanacho Kitumia Kusafiria

Basii Aliwasiliana Na Wenzie baada Yasiku Kazaa Walipokea Signal Kutoka Kwa Wale Wenzie Basi Walifika Waka Wakawachukua Wenzao Ila Wamarekani Wakaomba Na Wao Kutembelea Huko Wanapoishi Wao

Basi Walipanga Safari Zakianga Wanasansi Kumi na Mbili 12 Walienda Ila Wanavyo Dai Walikufa Wotee

Baada Ya Hapo Aliens Wakaingia Makubaliano Na Marekani Kwamba Tuna Wapa Technologia Ila Sisi Tuna Wachukua Binadamu Na Kuwafanyia Uchunguzi Ndiyo Maana Marekani Kuna Kipindi Camera Zilikuwa Zina Wanasa Alliens Kwenye Majumba Ya Watuu

Kuna Mama Mmoja Nchini Marekani Alikuwa Amemlaza Mtoto Wake Chumba Kingine Usiku Mtoto Akawa Anaongea Mambo Yaajabu Na Kupiga Kelele Akisema Mom Aliens Mom Aliens
Mamaliamka Na Kwenda Ila Hakukuta Kitu Na Mtot Alikuwa Salama

kesho Yake Aliangalia Kwenye CcTv Cammera Za Nyumba Hiyo Kweli Walimuona Huyo Aliens Akiwa Anaondokaa
Baada Ya Video Kusaambaa FBI Wakaipiga Puuuu Huo Mjadala P1 Na Mashirika Mengine Apo Marekani

Mwishoooi
View attachment 1470712
Hizi ni picha za kusadikika za kuchora. Halafu pia siyo lazima alien afanane hivyo
 
Hahaha eti alien yaani na wewe umeamini uongo wa Marekani kwamba area 51 Kuna alien ujinga huu basi na hao kina Spider-Man na wenzake avengers wapo eti?
 
mkuu alliens wapo.
mwaka 2017 mwezi mwezi september walifika dodoma, wakashambulia human being maeneo ya area D, baadae kidogo jeshi la polic liling'oa CCTV camera za eneo lile, nadhani wamepeleka kwa CIA kwa ajili ya uchunguzi.

Hao alliens ni wabaya sana na awamu hii walionekana kupenda sana TZ na kuwashtukiza baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wa upinzani
pia nakumbuka kuna wengine walikuja na kusepa na staff mkubwa sana wa mambo ya benk benk... mpaka leo hawajamrudisha atupe mautundu
 
Back
Top Bottom